tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Alloyce PR

    Tanzania na uimara wa Ulinzi

  2. Zack Abdul

    Tanzania na Angola Kukubaliana Kuunganisha Reli Zao, Kufungua Njia ya Usafirishaji Kati ya Bahari ya Atlantiki na Hindi

    Tanzania na Angola zimekubaliana kuunganisha mitandao yao mikubwa ya reli ili kutengeneza njia ya usafirishaji inayovuka bara la Afrika na kuunganisha Bahari ya Atlantiki na Bahari ya Hindi. Makubaliano hayo yametangazwa na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na Rais wa Angola...
  3. M

    Mbeya ni moyo wa siasa za upinzani! Inaongoza harakati, hawana tamaa ya asali na si waoga. Kungekuwa na chama chenye mizizi Mbeya, CHADEMA ingepotea

    Niliwahi kuishi Mbeya na kuna jambo moja nililoligundua kuhusu watu wa eneo hilo: wana viashiria vingi vya kuwa na nguvu kubwa ya kisiasa na uwezo wa kuendesha harakati za mabadiliko. Tatizo lao si ukosefu wa ari, ujasiri au dhamira ya kupinga mifumo isiyo ya haki. Tatizo kubwa ni kukosekana kwa...
  4. Yoda

    Vitu gani vitatu ungekuwa na uwezo ungeviondoa kuifanya Tanzania kuwa bora ?

    Ondoa vitu vitatu kuifanya Tanzania kuwa bora 1. CCM 2. Dini 3. Machawa 4.Ushoga 5. Rushwa 6. Muungano 7. Ukosefu wa ajira 8. Gharama kubwa za maisha 9. Uoga
  5. C

    Mbunge Mwalunenge: Tanzania ya Rais Samia ni kama Ulaya

    Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha ujenzi wa Mji wa Serikali, akisema kuwa hatua hiyo inatekeleza mojawapo ya malengo yaliyokuwa yamewekwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Amesema hayo wakati akieleza kuhusu ziara...
  6. vivian

    Nilichokutana nacho leo kwenye Mataa ya Morocco kimenitafakarisha sana Kuhusu Askari Polisi wa Tanzania

    Leo, tarehe 30/10/2026, majira ya saa 12:00 asubuhi, nilikuwa napita maeneo ya mataa ya Morocco. Kama tunavyofahamu, kutokana na shughuli za ujenzi zinazoendelea katika eneo hilo, mara nyingi nyakati za asubuhi taa za kuongozea magari hazifanyi kazi, hali inayosababisha madereva kutumia utashi...
  7. B

    latest Safety Jobs in Tanzania 2026

    🔥 Trending jobs on Best Talent Reach 1. Safety Officer — Tanzania, Lake Cement Plant 2. Safety Coordinator — Tanzania, Dar es Salaam 3. Safety Coordinator — Tanzania, Dar es Salaam 4. Safety and Environment Protection Supervisor — Tanzania, Dodoma 5. Health, Safety and Environment (HSE Officer)...
  8. B

    latest Jobs in Dar Es Salaam 2026

    Explore Latest Trending Jobs in Dar Es Salaam, 2026 Apply Faster and conveniently with besttalentreach platform 1. Storekeeper & Procurement Officer — Tanzania, Dar es Salaam 2. Accountants - 2 posts — Tanzania, Dar es Salaam 3. Marketing Manager - 1 post — Tanzania, Dar es Salaam 4. Sales...
  9. F

    PostGE2025 Majeruhi wengi wa Oktoba 29, 2025 waliopelekwa hospitali za Wakatoliki wapo hai, tusirudie makosa

    Hili liwe fundisho, Ukijeruhiwa Kwa dhulma za hawa vibaka wanaojiita walinda amani, kamwe usiende au usipeleke ndugu yako hospitali hizi wanazodai zao, Siku Ile mbaya, ndugu zetu wengi walipojeruhiwa, tulipowafikisha hospitali hizo, tuliamini watakuwa salama, cha kusikitisha hata miili Yao...
  10. K

    Tanzania tunauzwa na Wazalendo koko

    Tanzania tunauzwa na Wazalendo koko. Wanajifanya Wazalendo kwa kuendeleza uchawa yaani Mzalendo gani atashangilia au kunyamazia watu wasio na hatia kubambikizwa kesi au kutekwa. Eti wewe ni Mzalendo halafu unajaribu na kujipendekeza kila wakati kutoa sababu za kuwafurahisha watekaji...
  11. Q

    PostGE2025 Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania waomboleza mauaji ya 29/10

    Today, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation...
  12. Panga Makalikuwili

    Hata kama Tanzania ikiongozwa na Likud, Haitapiga hatua kubwa za maendeleo.

    Raia hatutimizi wajibu wetu wa kuipambania nchi yetu. Wachache wanajaribu ila kundi kubwa la watanzania wanajiona hawahusiki juu ya hilo.Leo raia wa Tanzania wamewaachia wakatoliki wafanye maombi, kwao imetosha.Kwa ukubwa wa kilichotokea Oktoba 29 2025kweli hii ndio taswira yake!? Kwa hali hii...
  13. TIB RASILIMALI

    Elimu ya HISA: Mwongozo wa kuanza kuwekeza katika soko la hisa la Dar es Salaam

    1. UTANGULIZI Elimu ya fedha ni nyenzo muhimu katika kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kuhusu akiba na uwekezaji. Miongoni mwa fursa zinazopatikana katika masoko ya mitaji ni uwekezaji katika hisa, ambao humwezesha mtu kumiliki sehemu ya kampuni na kushiriki katika matokeo ya biashara...
  14. ChoiceVariable

    Subscribe hii Post: Kwa Makundi ya CAF yalivyo, ukweli mchyngy ni kwamba hakuna Timu hata Moja ya Tanzania itaingia robo fainali.

    Ukweli mchungu ni kwamba sio Yanga,Simba Wala Azam wayavuka makundi licha ya kujifariji,makundi yamewakalia vibaya sana. My Take Ambae hataki kukutana na vigogo akashiriki Kagame CUP
  15. H

    Rais wa Angola awasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu

    Rais wa Jamhuri ya Angola, Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço, amewasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu inayolenga kuimarisha uhusiano na ushirikiano kati ya Tanzania na Angola. Rais Lourenço amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam, ambako amepokelewa na Waziri...
  16. K

    Tanzania, Tanzania. Nakupenda Kwa Moyo Wangu Wote." Sasa "Tazama Ramani..."

    Siku hii ya leo ni vizuri tukumbushane, na tuazimie kuwa, Tanzania Itasimama tena kwa Heshima miongoni mwa mataifa duniani. Tanzania will rise again. Tanzania, Tanzania Nakupenda kwa moyo wote. Nchi yangu Tanzania, jina lako ni tamu sana. Nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni heri mama wee...
  17. K

    Utekaji utaishia kuangusha viongozi Tanzania

    Utekaji utaishia kuangusha viongozi Tanzania maana hata viongozi sasa baada ya Nchimbi kuwekwa kizuizini na utekaji kuendelea mpaka Kenya hii serikali sasa inajifatutia majanga sio tu kwa Tanzania bali sasa hata wakina Rutto watakuwa maadui wa watekaji
  18. britanicca

    My Tanzania weeps tears of blood

    In the epoch stretching from Nyerere to Mkapa, whenever the National Anthem was intoned, one's entire corporeal being would be permeated with a profound, visceral surge of patriotism from within. Yet in these contemporary times, its rendition evokes nothing but profound melancholy and...
  19. C

    Tanzania yajiunga na mpango wa WHO wa kukomesha unene uliopitiliza

    Tanzania imejiunga rasmi na Mpango wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wa Kuharakisha Hatua za Kukomesha Unene Uliopitiliza (WHO Acceleration Plan to Stop Obesity), ikiwa ni sehemu ya juhudi za Serikali kuimarisha mapambano dhidi ya uzito uliozidi, unene uliopitiliza na magonjwa yasiyoambukiza...
  20. Mhandisi Mzalendo

    Passport ya Tanzania imeanza kuzuiliwa kuingia na VISA on arrival kwa baadhi ya nchi za Africa e.g Madagascar

    Habari wanabodi!! Naleta taarifa hii ili mamlaka zinazohusika waweze kutolea ufafanuzi nini kinaendelea huko ndani. Baadhi ya nchi za Afrika wameanza kuzuia watanzania kuingia na VISA on arrival. Nina uhakika wa asilimia 100 kwa nchi mbili e.g Madagascar. Kwa Madagasca ilikua ni kuingia na...
Back
Top Bottom