tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Nasoma Maoni wakuu: Ni kitu gani kinavunja Demokrasia? na Kipi kifanyike kurejesha Demokrasia ya Taifa letu?

    Wakuu wa JF habari zenu, Leo nimetafakari sana suala ya mapambano ya Kuhamasisha kuwepo kwa Demokrasia kwa nchi yetu, kuna viashiria vinavyotushawishi kusema Taifa hili lina Misingi ya Demokrasia au la. Tuweke pembeni suala la vyama vya siasa kisha tujiulize tu kuwa kulingana na kiashiria cha...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania kuanza kutumia Robot kwenye upasuaji wa moyo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, amewapokea wageni kutoka Hospitali ya Apollo ya India waliotembelea taasisi hiyo kwa lengo la kuimarisha ushirikiano katika sekta ya tiba utalii na huduma za kibingwa. Dkt. Kisenge amesema kuwa JKCI imeanzisha...
  3. JamiiForums Tanzania Absa Announces 5 New Jobs in Tanzania for August 2025

    Absa Group Limited, a powerhouse in Africa’s financial services sector, is thrilled to announce five dynamic job openings in Tanzania. Listed on the Johannesburg Stock Exchange, Absa is one of the continent’s largest diversified financial groups, offering a wide range of services including...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania yazindua teknolojia ya kipekee ya DNA

    Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) imezindua teknolojia mpya ya kisasa inayotumia kipimo cha DNA kubaini magonjwa ya wanyama na binadamu, visumbufu vya mazao, na kutoa majibu ya kitaalamu kwa uchambuzi wa kiuchunguzi (Forensic Analysis). Akizungumza na wanahabari jijini...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania haikustahili kuwa moja ya wenyeji wa CHAN 2024

    Yaani nchi mwenyeji watu wachache kama wako ugenini? This is not a good move. Watanzania wanawaza Simba na Yanga zao tu badala ya utaifa🇹🇿 CAF waipe hata Rwanda badala ya Tanzania, hovyo kabisa. Nb: Mimi ni Mtanzania kabisa.
  6. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania Bado sana wanasafari ndefu

    Vyama vya upinzani Tz vinafeli sana , kila siku wanapokea mamluki hawajifunzi , Mpina ghafla tu ACT wanamuamini kugombea nafac ya juu !
  7. JamiiForums Tanzania Unabii wa mwezi Julai 2025 Tanzania na Duniani kwa ujumla

    Hello Shalom Najua kwasababu ya upofu walionao watu ni rahisi sana mtu anayeitwa nabii kuchukiwa. Hata kanisa linalojinasibu kuhubiri Injili siku ukiitwa nabii au ukijiita nabii tayari umeshatangaza vita. Hii ni kwasababu watu wengi wanapenda mavazi ya Kimungu na kufanya kazi za Mungu lakini...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Exim Bank Tanzania, JKCI Zashirikiana Kuimarisha Afya ya Wafanyakazi

    Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania, Stanley Kafu (kushoto), Afisa Masoko Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Irene Mbonde, na Mkurugenzi wa hospitali ya JKCI-Dar Group, Dk. Tulizo Shem wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa zoezi la kufanya vipimo vya moyo na...
  9. JamiiForums Tanzania Why TTCL Should Be Transformed to Tanzania Telecoms Group

    Tanzania stands on the cusp of a digital revolution, with a strategic vision to become a major player in the regional and global digital economy. At the core of this transformation lies the Tanzania Telecommunications Corporation (TTCL), our nation's foundational telecommunications company. To...
  10. JamiiForums Tanzania Orodha ya Watu 10 Matajiri zaidi Tanzania, Mo Dewji aongoza kwa Tsh. Trilioni 5.5

    Mtandao wa Billionaires.Africa umetaja majina ya watu 10 matajiri zaidi nchini Tanzania, ukizingatia vigezo vya uwekezaji, ushawishi, na mchango wao katika maendeleo ya uchumi wa taifa. Orodha hiyo, inaonyesha mabilionea hao wanatoka katika sekta mbalimbali zikiwemo viwanda, mawasiliano...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuanza Biashara ya Dhahabu Tanzania — Mwongozo Kamili!

    Biashara ya dhahabu ni fursa kubwa, lakini ili kufanikiwa ni l azima ujue taratibu za kisheria, wapi pa kupata dhahabu, na mbinu za kuhakikisha unanunua dhahabu halisi. Katika sehemu hii, utajifunza hatua zote muhimu za kuanzisha na kuendesha biashara ya dhahabu kwa ufanisi. 3. MAHITAJI YA...
  12. JamiiForums Tanzania Mikataba ya mangungo katika jina la Uwekezaji

    Je, hoja ya Martin Maranja Masese ina ukweli kiasi gani? Je, kama ina ukweli ina madhara au faida kwa kiwango gani? Je, ni nani mchochezi hapa? Je, ni Masese? Ni hao 'waliouza' mali au rasilimali za Watanzania au askofu aliyeposti andiko hili la Masese? Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania mfumo wa Kidikteta unashidwa CCM amkeni TZ sio China wala Cuba

    Tanzania mfumo wa Kidikteta unashidwa CCM amkeni TZ sio China wala Cuba. Utamaduni wa Tanzania tunapenda uhuru na hatufananini kwenye imani, elimu, makabila huwezi kufanikiwa kwenye mfumo kama wa CCM wanaoutaka wa Cuba na China. Lakini kingine hata viongozi wa CCM wanapenda maisha ya kifahari...
  14. JamiiForums Tanzania Lijue kundi la Wanamtandao. Kundi linalosemwa kuiongoza Tanzania tangu 1995 hadi sasa

    Amani iwe nanyi wanabodi Ukiambiwa kuhusu uwepo wa kundi hili unaweza kusema hizi ni stori za Kusadikika. Ila Ukweli ulio wazi ni kwamba hizi sio stori za kusadikika, sio series za kihindi, kituruki wala kikorea. Ili kulifahamu kundi hili unapaswa kuufahamu mfumo wa Chama cha Mapinduzi wa...
  15. JamiiForums Tanzania PICHA: Kumbe Tanzania inauza umeme nje!

    === Akiongea na wanahabari Mkuu wa Mkoa wa Kagera amesema Chini ya Rais Samia Serikali imetoa jumla ya TZS 103,376,838,198 kwa sekta ya nishati mkoani humo, ambapo vijiji vyote 662 sawa 100% na vitongoji 1,763 kati ya 3,665 (48%) vimeunganishwa na umeme, Miradi hii minne mikubwa ya umeme wa...
  16. JamiiForums Tanzania Breach of Pension Payments Data in Tanzania: An Urgent Concern

    It has come to our attention that a few weeks ago, there was a breach of pension payment data. This breach has led to a situation where some beneficiaries have been abducted, with the abductors demanding the pension money they were recently paid. For example, one woman was abducted at Mlimani...
  17. JamiiForums Tanzania Exploring Ajira Portal News, Portal Ajira, Ajira Portal Jobs in Tanzania, and Ajira Jobs Portal August, 2025

    The President’s Office Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) has announced several important updates on the Ajira Portal for job seekers and stakeholders. Job Vacancies Announcements The Ajira Portal is a centralized platform designed and managed by the Public Service Recruitment...
  18. JamiiForums Tanzania Artificial intelligence inaweza kutumika kutunza lugha,mila na destuli zinazotoweka Tanzania na kuzihifadhi

    Kuna baadhi ya mila, desturi na mila zinapotea kwa kasi, hasa makabila madogo. Mfano wachaga walikuwa na utamaduni wa kuchinja mnyama kisha zile nyama wakaziweka eneo la makaburi, asubuhi pakikucha wanaamini wazee wamekula kumbe mbwa wamepita nazo. Nashauri artificial intelligence itumike...
  19. JamiiForums Tanzania Oooooooooh Tanzania

  20. JamiiForums Tanzania Nahisi Tanzania inaongoza kwa furaha duniani

    Nchi Fulani watu wanapenda mpira na burudani muda wote kula bata Tu Kwa hiyo hamtaweza kumpindua mama Samia labda polepole ajage kufanya maajabu awe rais na polepole me namjua ninkweli mzalendo nakumbuka chuoni alituita viwanja vya mnazi mmoja watu wa uvccm kichuo..jamaa ana points vibaya mno za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…