Wiki ya pili sasa kuelekea October 29 kumeibuka mfululizo wa nyuzi nying za ajabu ajabu za watu wanaojiona ni wazee wa busara wakibeza, kutisha na kukatisha tamaa raia wanaopanga au kuhamasisha kutoka na kupaza sauti kwa maandamano dhidi ya mfumo dhalimu na kandamizi wa haki. Utitiri wa hizi...
Nawasalimu nyote kwa isani ya maandamano ya amani 29 October
Watanzania ambao ni wanajeshi msikubali wanasaiasa wenye tamaa za madaraka kusababisha vita vya sisi kwa sisi
kakikundi kidogo chenye tamaa za madaraka na vitoto vya shetani vinatka kumwagilia mafuta wananchi na majeshi kumwagana...
Mnamo Machi 2022, manowari ya Felicity Ace iliyokuwa imebeba magari ya kifahari tupu ilishika moto na kuzama karibu na Azores, na kupeleka maelfu ya magari hayo ya kifahari kuzama kwenye sakafu ya bahari. Miongoni mwa magarii hayo ni baadhi ya brand zinazopendwa zaidi ulimwenguni na matajiri au...
Yani tangu hajaolewa hadi ameolewa bado ananililia mimi tu, halafu mimi moyoni hayupo. Kwa uzuri ni mzuri ila mimi tu sijamkubali.
Fikiria zaid ya miaka 10 ananitongoza tu na hachoki. Imefika mahati naona tu nimkubalie labda akishakutana na mimi atapunguza hamu zake
KAMA MWANAUME
Adui wa kwanza wa kupambana naye ni tamaa ya NGONO.
Mwanaume mwenye tamaa HII ya ngono
Ndani ya dk 5 anaweza poteza ndoto na malengo ya miaka 20 ijayo
Ndani ya ngono kuna
BARAKA
LAANA
UZIMA
MAUTI
KUPATA
KUKOSA
Nguvu ya msuli ulio ndani ya boxa
Unaweza kukufanya uwe kipofu kama...
Ukimtazama mwanamke kwa kumtamani, tayari umefanya naye uzinzi moyoni.
Yesu Kristo alitoa onyo hilo zito kuhusu dhambi ya uzinzi usioonekana kwa macho ya kawaida lakini unaotekelezwa ndani ya moyo wa mtu. Katika Mathayo 5:28 anasema hivi:
"Lakini mimi nawaambia, Kila mtu amtazamaye mwanamke kwa...
Habari wakuu,
Wahenga walisema " Masikini atabaki kuwa Masikini, tajiri ataendelea kuwa tajiri zaidi na zaidi" na Mimi nasema " Tumbo lililo zoea rushwa halishibi kamwe"
Wakuu hii tabia ya CRDB, kukata makato ambayo wateja wake hawaelewi jinsi yanavyo enda. Ni kuwakosea wateja kwa kweli.
Hivi...
Mimi ni mtumiaji wa Bank ya crdb kwa zaidi ya kipindi Cha miaka kumi na nne sasa.Lakini kwa mwenendo huu wa crdb bank hakika si bank rafiki tena kwa wateja.
Kwanza kila ukifika katika AMT zao unakuta wateja wamejazana na wote wanalalamikia huduma mbaya za kibank ndani ya bank yenyewe na hata...
Natumaini tuko poa wabongo tuache roho mbaya nipo godown la mbaazi kama karani kwa wachina
Unakuta mchina analipa kila gari kushusha mzigo 150k mbongo mwenzako kisa yeye salange anawalipa wenzake kila gari 50k inaumiza sana
Sioni sababu ya kuwasalimia kinafki wakati maisha yamekuwa magumu sana.
Hakuna haki wala hakuna uhuru wa kukosoa wala wakujieleza.
Hivi kwani angepungukiwa na nini kama angetuachia katiba mpya,wakati hakuwa na deni lolote akiwa kama ndiye top kwa kukaimu nafasi ambayo hana deni nayo kwa...
Wasomi wengi wameishia kuwa na huzuni ya ndani, hali ya kisaikolojia inayoitwa existential frustration, kwa sababu waliaminishwa kuwa vyeti ni tiketi ya maisha bora. Ukweli ni tofauti – dunia ya sasa haiangalii tu cheti, bali uwezo wako wa kutatua matatizo na kuleta thamani.
Elimu uliyonayo ni...
Naandika Kwa masikitiko sana.
Kuona taasisi nyeti na yenye heshima kubwa Duniani na Tanzania inaharibiwa na washirika wake wengi.
Jeshi la polisi Mara nyingi limehimiza wananchi kutoa taarifa, pale ambapo wanaona Kuna vitendo vya rushwa vinafanywa na polisi lakini pamoja na jitihada zote ambazo...
Serikali mmetufanyia dharau wakulima wa kahawa
Mwaka Jana tuliuza kahawa bei ya 7000+ Kwa kilo
Mwaka huu mmetoa bei elekezi ya kuanzia angalau sh 5500
Ila ajabu bei imeshuka
Jana mnada bei imetoka sh 3000 na inasemekana bei utashuka zaidi
Wanunuzi wengi wamesusa kununua kahawa, ikisemekana ni...
Donald Trump amesema amesikitishwa na Putin lakini akasema bado hajakata tamaa na Vladimir Putin, katika mazungumzo ya kipekee ya simu na BBC.
Rais wa Marekani alishinikizwa iwapo anamuamini kiongozi huyo wa Urusi, na akajibu: "Sina imani na mtu yeyote."
Trump alikuwa akizungumza saa chache...
Nime give up kabisa nakuoa na nimekuja kuamini ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani kila nikitafuta mke wa kuoa nakosa naambulia hawa wanawake wasioeleweka kabisa
Ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani nakaribia third floor halafu sioni dalili yoyote ile ya kupata mke kabisa aisee
Wakati Tanzania ikiendelea kujigamba kuwa nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi, takwimu haziungi mkono propaganda hiyo. Hii hapa ni grafu inayoonesha wazi takwimu kutoka mwaka 1995 hadi 2020 kuhusu:
1.Idadi ya watu (population)
2.Idadi ya waliojiandikisha kupiga kura
3.Idadi ya waliopiga kura...
Pamoja na sababu nyingi kwanini ninawakataza msioe wanawake wafanyakazi (wenye mshahara) leo nitawapa hii sababu moja.
Kuna pepo wanamsonga mtu kulingana na mazingira au shughuli zake.
Pesa kadri unavyoishika kiu yake inakuwa nyingi zaidi.
Mke wangu mama wa nyumbani nikimpa pesa kidogo tu moyo...
Kila zama na kitabu chake, na kondomu ilitengenezwa ili iweze kutumika mara moja tu na baada ya hapo kutupwa mbali kama uchafu hatarishi. Huenda hichi ndio kinaendelea vichwani mwa wabunge wa Covid 19.
Haijarishi watakuwa na hoja gani au watakimbilia chama gani, hakuna dalili yoyote kwa mbunge...
Katika maisha ya kila siku Kuna mapambano yanayoonekana, na kuna yale yasiyoonekana. Mapambano ya nje huweza kuangaliwa na watu, lakini yale ya ndani – vita kati ya roho na tamaa – ndiyo vita halisi ya maisha ya mwanadamu. Ukishinda huko ndani, umeshinda kila kitu.
Tamaa ni kivuli...
Mtu huyo ni Rais Samia!
Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani]. Ref: Uchaguzi 2020 - Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.