tamaa

Tammas is the first album by Samir Joubran duo with his brother Wissam Joubran, released in 2003 labelled "daquí", by Harmonia Mundi.

View More On Wikipedia.org
  1. Vien

    JamiiForums Tanzania Siri ya mafanikio hawaniambii wamefika vipi, wanasisitiza nisikate tamaa

    Mafanikio hayataki kelele nyingi. Watu wengi huona matokeo ya mwisho, lakini hawaoni mchakato uliomfikisha mtu hapo. Ukikutana na mtu aliyefika mbali, mara nyingi atakuambia “usikate tamaa,” lakini ukimuuliza amepitia nini mpaka akafika hapo, si rahisi kukueleza kila kitu. Kuna mambo aliyapitia...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mtoto Wa Zushu Na Diamond Anakaribia Kufikisha Billion Moja Alizopewa Kama Zawadi Ndani ya Wiki Moja Wakati CHADEMA Wanaelekea Kukata Tamaa Kukimbia

    Ndugu zangu Watanzania, Dunia Ina vituko kwelikweli, watu wakikuchoka wanakuchoka kwelikweli. Watu wakikukataa wanakukataa kwelikweli. CHADEMA Imechokwaa ni haija pata kutokea kwa chama cha siasa kuchokwa namna hiyo. Yaani Ni aibu aibu aibu na Fedheha kubwa sana . CHADEMA Wameomba Michango na...
  3. Mawazo255

    JamiiForums Tanzania Stori ya leo: Usikate tamaa

    STORY YA LEO: USIKATE TAMAA Kijana mmoja alikuwa anaomba kazi kila siku lakini hakupata. Watu walimcheka na kumwambia hana bahati. Badala ya kukata tamaa, aliendelea kujifunza, kufanya kazi ndogo ndogo na kuboresha uwezo wake. Baada ya muda, alipata nafasi ambayo ilibadilisha maisha yake...
  4. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Botswana na Namibia ni nchi tajiri zaidi barai Afrika, msikate tamaa tunaweza!

    gdp per capital income, >95% black countries (ukiondoa visiwa kama Shelisheli na Mauritius) are the richest in afrika, na ilipaswa kuwa hivyo, Botswana: 8,490 usd Namibia: 5,570 usd richer than egypt, morocco, tunisia, algeria, libya, indonesia, iran, india, pakistan, vietnam plus Botswana...
  5. Alder F 16

    JamiiForums Tanzania Usikate tamaa, hili nalo litapita

    Mambo vipi? Leo nikukumbushe jambo moja muhimu. Huenda kwa sasa unapitia kipindi kinachokuletea hofu. Labda ni masomo, changamoto za kifedha, biashara, kazi, uhusiano uliovunjika, au ndoto ambazo unaona kama hazitatimia. Pengine mawazo hayo yanakunyima usingizi na kukufanya uamini kwamba...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Sijui ni kwa nini watu wanakuwa na tamaa thamani ikishakuwa kubwa ndio wana nunua kwa bei kubwa wakati mwanzoni walikataa.

    Hii hipo dunia nzima kila jambo.Kuna maeneo mfano dar es salaam pale kigamboni na n.k au mmbwemi ilikuwa ngumu mtu kununua zaidi kuzidi chini ya laki tisa na zaidi kipindi cha zamani. Leo waliokataa kununua ndio wananunua kwa bei kubwa zaidi.
  7. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu usikate Tamaa ya maisha

    Hakika haya Maisha Hayana Huruma Kwa Sisi wanaume ndio mana tunatakiwa tuyatafute popote pale pale sababu bila huu mchezo wa Hela ya Dunia ya leo tunakuwa sio lolote Kwa jamii. Tunaonekana tumechanganyikiwa tukiwa tunatafuta haya Maisha. Tunaonekana tunaviburi tukiwa busy na kutafuta haya...
  8. Mjukuu wa mama

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa kwa madeni

    nimekata tamaa,madeni mengi ,, nisaidien dawa inayoua na inapatikana kwa uharaka
  9. M

    JamiiForums Tanzania Si kwamba ni wote au siwaamini, lakini wakala wa bidhaa original akiwa Mbongo hunifanya niwe na wasiwasi ataingia tamaa kirahisi kutuuzia feki

    Unakuta makao makuu ya kampuni yenyewe yapo Dar au kwenye majiji mingine, na ukifika huko unaona kabisa tofauti ya uendeshaji. Kila kitu kinafanyika kwa weledi, usimamizi ni wa kiwango cha juu, na mara nyingi mameneja ni watu wenye uzoefu mkubwa walioujenga ndani ya kampuni hizo kwa miaka mingi...
  10. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA TUNAPIGANIA MARIDHIANO YA DOLA NA Watanzania. Tusikate tamaa. Ndoto ya haki karibu itatimia

    Tunaamini katika ndoto ya kweli. Ndoto ya haki, ukweli na usawa. Sasa Chadema tutaifanya ndoto ya watanzania iwe ya kweli. Chadema hatupo kutaka kugawana madaraka na CCM ndio tuite maridhiano. Tunaamini katika maridhiano ya kweli. Walioamini kwenye maridhiano ya kugawana ela, vyeo na...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Viongozi wengi wa vijana wamejaa uoga, wanaongoza kundi la vijana waoga wenzao waliokata tamaa

    Askofu Dkt. Bagonza amesema viongozi wengi wa vijana wamejaa uoga unaoitwa utii, hali inayowafanya washindwe kusimamia maslahi ya wenzao. Amesema viongozi hao wanaongoza vijana wengi waliokata tamaa na wanaokimbilia majibu mepesi, ikiwemo kutegemea miujiza, njia rahisi za kupata utajiri na...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wamekata tamaa au wanahofu?

    Hamjambo wote! Bado natazama mambo kama yalivyo. Je wanaharakati wamekataa tamaa? Je watu wamekataa tamaa ya mapambano? Au wameogopa, wanahofu kutokana na vitisho vya vyombo vya Dola. Mitaani watu hawazungumzii haya maandamano. Lakini wanajua kuna jambo kama hilo. Juzi nilikuwa sehemu fulani...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa sio kazi shida mahari. Mnazo tupimia vijana nyie wazazi muwage. Mnafikiria

    Wazee, ipo hivi; kuna vijana tunahitaji sana, tena sana, kupata familia au kuanzisha familia na wenza wetu tunaowapenda. Shida inaanzia pale mzazi, yaani mkwe, unaponipimia mahari kama vile unanikomoa. Yaani sijui huwa mnafikiria kiukweli au huwa mnaamua tu kuropoka. Mnatufanya tuendelee kuwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tujiepushe na tamaa ya mali au kupenda fedha

    Tujiepushe na tamaa ya mali au kupenda fedha Kwa namna ya kawaida fedha haina ubaya wowote, ni nyezo ambayo Mungu aliiruhusu iwepo na itumiwe ili kuendesha kushughuli zote za kijamii: Mhubiri 19:19 “…Na fedha huleta jawabu la mambo yote”. Lakini kitendo cha kupenda fedha, hicho ndicho Mungu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tamaa binafsi za Mama ndiyo zinatuletea kukosa misaada ya Watanzania!

    Mama yeye ajali anakula pesa za kodi na madili kama hana akili vile. Lakini taifa tunapigwa kila kona. Sababu kubwa ni tamaa zake binafsi ili aonekane kashinda kwa 97% kura fake. Hadi waangalizi wa kutoka Africa wamesema uchaguzi ni fake Misaada ya EU na US imekatwa. Visa za US za aina karibu...
  16. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Waziri Mkuu: Usikate Tamaa

    Mheshimiwa Waziri Mkuu, Katika uongozi kuna siku za pongezi na kuna siku za lawama. Kuna siku watu watakushangilia na kuna siku watu watakosoa kila hatua unayopiga. Hayo yote ni sehemu ya safari ya uongozi. Lakini usikate tamaa kwa sababu ya kelele za wachache wanaodharau kazi unayoifanya...
  17. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Umepitia changamoto week moja tu kwenye biashara yako toka uianzishe umeshakata tamaa

    Ndugu zangu, biashara ni mchakato mrefu sana, nina shuhuda za baadhi ya ndugu jamaa na marafiki kuanza biashara kwa pupa kisha kuangukia pua. Mtu ana m10 yote anaitia kwenye biashara, matarajio yanakuwa makubwa sana kwa kipindi kifupi, kwenye hiyo biashara ambayo bado ni changa sana, ndio...
  18. bless on

    JamiiForums Tanzania Usikate Tamaa: Jifunze Kutoka kwa Wema Sepetu

    Yapo Mengi sana ,Nimejifunza kwa Muda mfupi sana , Wakati nikiendelea kuona majibizano ya wafuasi wa wema sepetu na Anti -wema sepetu, So sitaki kujiingiza huko katika Majibizano hayo , Ila Mimi natoa funzo muhimu sana katika Jamii , Mara Nyingi Watu wengi huacha ndoto zao kwa sababu ya...
  19. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hii Inaonesha Lissu Kajikatia Tamaa Kabisa na Kuvurugwa akili. Jela ni Mwalimu Hodari asiyefelisha Masomo Yake

    Ndugu zangu Watanzania, Usicheze na magereza hata siku moja . Kule siyo kwa mchezo mchezo,kule hata uwe Nunda kiasi gani utajikuta umebadilika kitabia na kuwa mtu mwema tu utake usitake upende usipende. Hakuna ujeuri kule wala ubraza men ama ujuaji. Ona sasa lissu amekaa mwaka mmoja tu lakini...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea kwa Faye na Sonko ni tafsiri halisi ya “tamaa ya madaraka”

    Tumeshuhudia wanavyonyukana kugombea nani awe na mamlaka ya mali ya umma Hili ni janga la Afrika ndio maana hadi leo hakuna muungano unaoeleweka Yale yale ya ukawa na siasa za Tanzania Bora kubaki na CCM kuna aina fulani ya utu na uungwana kuliko kilichotokea Chadema Lossu, Heche na...
Back
Top Bottom