tamaa

Tammas is the first album by Samir Joubran duo with his brother Wissam Joubran, released in 2003 labelled "daquí", by Harmonia Mundi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msaada katika kipaji changu hiki, nimekata tamaa

    Habari ya uzima wapendwa, tumshukuru Mungu kwa kutupa uhai bure, kwa siku nyingine tena imenipendeza kuwaleteeni changamoto hii ambayo naona ipo juu ya uwezo wangu. Mimi ni kijana mwenye umri 25 years old,nimekulia maeneo ya kijijini, kipaji changu cha uchoraji kiligundulika toka nipo shule ya...
  2. JamiiForums Tanzania Taifa la waliokata tamaa maisha, ila hakuna namna mpaka mitano ikatike

    Biashara za Wananchi zimekufa, Wafanyabiashara wengi wamekata tamaa. Mzunguko wa pesa umedumaa, masoko yamesimama. Watumishi wa Umma hawana uhakika juu ya nyongeza ya mishahara, miaka mitano wamepigwa kimya. Wakulima wanalima, wakivuna soko la ndani halina bei, wanaambulia kupata chakula cha...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Gharama za matibabu ya homa inayosumbua inakatisha tamaa, wanyonge hatutoboi

    Habari kuhusu gharama za matibabu kwenye mahospitali makubwa nchini kwa watu wanaodhaniwa kuwa na Nimonia kali ni kubwa sana, serikali inapaswa kumulika hospitali hizi kuona kama hizi gharama ni halisi au zinapandishwa na wamiliki. Lakini pia ni muhimu kupata gharama elekezi kwa watu wanaopata...
  4. JamiiForums Tanzania Tamaa ya Pombe za bure inavyowaponza mabinti!

    Wewe binti Huna hela ya pombe, si utulie home? Kutwa kujichatisha WhatsApp na insta kwa waume za watu na kuomba hela ya Pombe, wengine tushachoka na stress za kwenye ndoa ukijichanganya sisi tunapiga tu Kama mwewe. Hakunaga habari ya kutulia na demu mmoja.
  5. JamiiForums Tanzania Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

    Habari wana JF, Mimi ni msichana wa miaka 24, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miaka mitatu, bahati mbaya mwenzangu akawa ananichit kwa kuanzisha uhusiano na ex wake, na mpaka nilipokuja kugundua ikabidi tubroke na mimi. Kwa hiyo kutokana na hali hiyo nimekuwa single kwa muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…