tamaa

Tammas is the first album by Samir Joubran duo with his brother Wissam Joubran, released in 2003 labelled "daquí", by Harmonia Mundi.

View More On Wikipedia.org
  1. DustBin

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia ya mafanikio ina changamoto nyingi, usikate tamaa

    Njia ya mafanikio ina changamoto nyingi sana. Changamoto ambazo anahitajika mpambanaji ajizatiti kwa ngao ya kutokata tamaa na ajikinge kwa silaha ya uvumilivu. Vikatisha tamaa katika maisha ni vingi pia, ukiwa na moyo mwepesi huwezi kufikia malengo yako. Na kama ilivyo sifa ya mafanikio kwamba...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Sijakatishwa tamaa na uchaguzi wa 2020 hiki chama ninachokiongoza kina umri wa miaka 30 sasa

    Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema hajakatishwa tamaa na uchaguzi mkuu wa 2020, na kwamba Mageuzi ni swala la mchakato. Mbowe amesema chama anachokiongoza CHADEMA kwa sasa kina umri wa miaka 30 hivyo ni chama kikubwa na kitayafikia malengo yake ya kutwaa dola. Nawasalimu kwa jina la JMT.
  3. msovero

    JamiiForums Tanzania Kuna hali ya kukata tamaa kwa vijana baada ya ajira mpya za walimu

    Baada ya ajira za ualimu kutangazwa vijana wengi wameonekana kukata tamaa huku mioyo yao ikifunikwa na wingu nzito la huzuni na majonzi yasiyoelezeka. Miongoni mwa mambo yaliyochangia vijana kukata tamaa ni pamoja na Tamisemi kutumia suala la umri kama kipaumbele cha ajira. Kama tunavyofahamu...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nimechukia sana kukosekana kwenye ajira za jana. Nina jazba sana nimekata tamaa

  5. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi tumejikatia tamaa, tunaishi kwa kutegemea mikeka itiki

    Habari wadau! Kiukweli zama zimebadilika sana, kwa sasa Watanzania wengi tunaishi kwa kutegenea mikeka. Wanaume majumbani kwetu ndio usiseme, wife ukiona anakuzonga zonga unamwambia kuna mchongo huo naufukuzia ukitiki tu mambo yatakuwa poa kumbe mtu mzima una mkeka wako wa siri unangoja Odds...
  6. mngony

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi CCM ni wanafki,wenye tamaa na wasio na Uzalendo

    Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa wameweka maslahi binafsi kuliko Uzalendo. Tukichukulia mfano wa Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa miaka...
  7. mngony

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi CCM ni wanafiki, wenye tamaa na wasio na Uzalendo

    Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa wameweka maslahi binafsi kuliko Uzalendo. Tukichukulia mfano wa Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa miaka...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatujawahi kulala njaa kwa kukosa mkopo dhidi ya COVID-19, woga na tamaa ndiyo itakayotumaliza

    IMF imeitega Tz Kwa kutaka kuipa mkopo wa kupambana na C - 19 na kuielekeza jinsi inapaswa ifanye ili ipewe huo mkopo Ok, pale mwenye nacho anapotaka kumyang'anya zaidi mwenye kidogo, na Masikini Mtu jasiri akitaka kurogwa na Mchawi huanza kwa kutishiwa tishiwa, mara sijui kesho hutaiona...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naona wachawi wanaoitakia mabaya Simba wameshakata tamaa

    Mpaka muda huu kina generalist\all rounder na chizi maarifa wangekuwa wameshatupia nyuzi za kuiponda Simba na kuitabiria kushindwa! Lakini naona kimyaaaa! Hii ni dalili kuwa hatimaye utopolo wamekubali matokeo kuwa Simba si saizi yao! Naitakia Simba ushindi mnono huko kwenye nchi ya mzee Madiba!
  10. Athman Profesa

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumuoa mzazi mwenzangu, bado ninatamani wanawake wengine

    Mim nikijana nIna 26. Kuna dada nIlimpata chuo ananipenda sana kanizalia katoto kana mwaka 1.5 sasa. Mahusiano yetu yana miaka mi3. Na nimda sana ananipigia kelele kuhusu ndoa. Nami ninamthamini sana kwakuwa anamapenzi yakweli kwangu. Tatizo mimi ninatamaa sana ninawatamani sana wadada wengine...
  11. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na unachotamani, ukikipata unaweza usikihimili

    Dorian Gray, kijana mtanashati na mwenye mwonekano mzuri anachorwa picha yake na mchoraji Basil Hallward. Mchoraji huyo ana rafiki yake anayeitwa Lord Henry Wotton, ambaye anavutiwa sana na Dorian pamoja na picha yake. Lord Henry anamweleza Dorian jinsi ujana ulivyo kitu kizuri na muhimu, ila...
  12. Peril22

    JamiiForums Tanzania Kuna muda unakata tamaa mpaka mwisho ila baadae unakuja kupata njia

    Natumaini ni wazima wa afya ndugu zangu, Apr 2016 zinatangazwa nafasi za jtk kwa kujitolea mjomba anauza ng'ombe mmoja kwa 600k anahonga unapata nafasi, unapangwa kikosi flan cha jkt. Unafika kikosini mnaambiwa as you where mrudi nyumbani mpaka pale itakapotangazwa tena. Unarudi nyumbani...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nimeshaanza kukata tamaa na Tanzania tunayofikirishwa. Je, wewe?

    Kwa kweli hali tunavyofikirishwa na majilabu ya Chama tawala kuwa wataiboresha Tanzania kuwa ya aina yake! Nashangaa sana tunaaminishwa tupo kimaendelea tupo uchumi wa kati na jana juzi tunaanza kuaminishwa kuendea uchumi nambari moja, nikazidi kushangaa na kuwachwa kwenye mataa. Nina wasi na...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za maombolezo ziwe zile zinazotuimarisha badala ya kutukatisha tamaa

    Tusiomboleze kama watu tusio na imani na MwenyeziMungu. Eti utasikia nyimbo MTU anaimba sasa tutakimbilia wapi, tutaishije bila yeye, tangulia tu na sisi sote tutakufa na tutaonana baadaye, kwanini Mungu umemchukua, tutafanyaje sasa, hatatokea mwingine kama wewe, nk. Nyimbo hizi hazitufanyi...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu hizi sura za kukata tamaa zitawavunja mioyo wananchi

    Kiongozi ni kioo cha jamii, anatakiwa ajiamini na kuwapa matumaini anao waongoza.
  16. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Ni kama wapinzani wamekata tamaa na vyama vyao

    Nilijua wapinzani hasa CHADEMA wangeendelea kuisusia Serikali kwa sababu CCM ni ile ile ila Rais ndiye amebadilika, ila kila ninayemsoma humu kwenye mitandao basi anamsifia Rais na kumuomba afanye kitu fulani. Sasa nashindwa kuelewa wameamua kukubali kuwa CCM ni chama kubwa au wamekata tamaa?
  17. Mnabuduhe

    JamiiForums Tanzania Buriani Rais Magufuli - Kiswahili ni lugha ngumu

    Salaam! Tarehe 26/03/2021 Ni siku ya Kumpumzisha Aliyekuwa Rais wetu John Pombe Magufuli huko kwao Chato. Nawapongeza sana JamiiForums Facebook page kwa Kuelewa na Kumuenzi kwa Nukuuu Nkutu alizowahi kuzisema wakati wa uhai wake. Na moja ya nukuu hizo ina maneno haya "Siku moja mtanikumbuka...
  18. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tundu A. Lissu amekata tamaa ya kuja kuwa Rais wa Tanzania. Ataendelea kuwa Mwanaharakati Machachari wa Tanzania

    Busara na Hekima ya mtu hupimwa nyakati za 1. Taabu/ Mateso/ Majonzi/ Huzuni 2. Nyakati za Furaha/ Raha n.k Nyakati hizi Tundu Lissu anaweza akadhani anafurahia sana na kusheherekea kifo cha Mh. JPM na kumwongelea awezavyo. But baadaye akija kukaa na kupata akili akiwa ameweka jazba, mihemko na...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Mama Samia Suluhu: Rais anawasalimia, anasema tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu

    Leo Mama Samia ameanza ziara mkoani Tanga na akiwa kwenye kiwanda kimojawapo alichozindua kinachoshughulika na matunda wilayani Korogwe, alipata nafasi ya kusalimu wananchi baada ya kuombwa na mkuu wa mkoa wa Tanga ambapo alianza na salam kutoka kwa Rais Magufuli "Kabla ya kuwapongeza...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania CCM acheni kulialia, hizi ndizo siasa chafu mlizochagua

    Siasa chafu za ubaguzi mlizochagua kuitana wale si wenzetu wale wasaliti, wale si wazalendo ni mbegu mbaya mnayopanda, mnajenga jamii yenye mgawanyiko, mnaligawa taifa kwa matendo yenu. Lissu alipopigwa risasi serikali ilizuia watu kumfanyia maombi waliojaribu walikamatwa, wabunge wa CCM...
Back
Top Bottom