taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    John Heche: Kiongozi wetu alikamatwa akiwa mzima, hakuna taarifa hata moja tutaipuuza

    Kiongozi wetu na Mwenyekiti wetu alikamatwa akiwa mzima, Taarifa Kama hizi za kuhusu kujaribu kucheza na maisha yake hazitakubalika. Serikali hii dhalimu inapaswa kumuachia Lissu haraka. Sisi Tunafuatilia kila kitu na hakuna taarifa hata moja tunaipuuza.
  2. Picha ya dada aliyeiba mtoto Chanika sasa yawekwa wazi, atakayemuona atoe taarifa

    Unamkumbuka huyu mtoto? Aliibiwa katika hospitali ya NguvuKazi huko Chanika tarehe 06/07/2026. Mama yake alimuomba dada mmoja aliyevaa kama daktari/Muuguzi amsaidie kumshika ili aingie msalani. Alipotoka hakumuona na alipotoa taarifa kwa uongozi wa hospitali walisema hawamtambui. Baada ya...
  3. Taarifa ya kurudiwa kwa Written Practical Assessment (WPA), iliyofanywa na kundi la 42 na kundi la 40 waliofanya marudio

    TAARIFA YA KURUDIWA KWA WRITTEN PRACTICAL ASSESSMENT (WPA) ILIYOFANYWA NA KUNDI LA 42 NA KUNDI LA 40 WALIOFANYA MARUDIO (SUPPLIMENTARY) TAREHE 18-26 JUNI, 2026 Taarifa inatolewa kwa wanafunzi wa Kundi la 42 na watahiniwa wa Kundi la 40 waliofanya mitihani ya marudio (supplementary) kuwa; katika...
  4. A

    Mrejesho kuhusiana na taarifa kuhusiana na Kituo cha Afya Kigamboni: Hatua zimechukuliwa, asanteni JamiiForums

    Hello wanajukwaa, Nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa afya na uzima anaotupa kila siku, pia niwashukuru jamiiforums kwa kuwa karibu na wananchi kwa kupeleka kero zetu mahali husika na utatuzi kutolewa kwa wakati(Asante Team JF). Mwezi wa tatu ilipostiwa kero kuhusu kituo Cha afya Kigamboni...
  5. TANESCO: Tumepokea taarifa ya changamoto ya umeme jengo la biashara Mwenge, tunafanyia kazi

    Kuhusu hoja ya Mdau aliyezungumzia Dar: Jengo la Stendi ya Mwenge linakosa umeme mara kwa mara, inasemekana lina deni ufafanuzi umetolewa kutoka upande wa TANESCO. Asante kwa kutufahamisha kuhusu changamoto hii. Tumepokea taarifa yako na tunaichukulia kwa uzito. Kesho (Julai 15, 2026)...
  6. Kuna UFISADI NHC ila takukuru siwaamini kuwapa taarifa

    Kwa sasa naona kila mtu anajichukulia chake mapema before 2030. Takukuru kama mngekuwa na matokeo chanya kwenye kazi zenu ningewaamini na kuwapa taarifa juu ya kinachoendelea huko shirika la Nyumba la taifa (NHC). Kwa sasa limekuwa siyo shirika la nyumba la taifa bali ni ni shirika la nyumba...
  7. Kwa taarifa nilizonazo ilikuwa inapigwa simu pale mlimani city

    Ila ndo hivo watu wakamwaga mboga. Wao si wamemwaga ugali. Hii miaka mitatu ni mingi sana. Pia pia alikuwa anatazama live.
  8. R

    Mnyika: Tayari tulikuwa na taarifa mpango wa viongozi kulipwa kuzungumza na waandishi wa habari kuichafua chama

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 10, 2026 wakati akiwasilisha maadhimio ya Kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Katibu Mkuu wa Chama, John Mnyika, ametoa ufafanuzi kuhusiana na baadhi ya viongozi wa chama hicho ikiwemo katibu wa CHADEMA Mkoa Morogoro kusimamishwa kazi...
  9. Anthony Mtaka, Unasubiri Roho wa Bwana Akushukie Kukupa Taarifa "HUTAKIWI"?

    Yaliyotokea katika uchaguzi wa TOC ni Salam LOUD AND CLEAR kuwa ndani ya CCM lile kundi kubwa la wezi, wabadhilifu, watekaji, waongo na kila ubaya hawakutaki kabisa na sisi watu wa kawaida tunajua sababu nini. Unasema ukweli mno! Ona uchaguzi wa chombo tu cha michezo Gazeti la serikali...
  10. A

    KERO Kukosekana Maji Nandagala Siku 3

    Mamlaka ya Maji mkoa Lindi wilaya ya Ruangwa kijiji cha Nandagala, ni siku ya tatu sasa maji hayatoki na hakuna taarifa yoyote. Je wajibu wenu ni nini
  11. M

    TAARIFA RASMI: Maandamano ya Amani kwa Wasafirishaji wote Nchini, Sambaza ujumbe huu Kila Jukwaa na kila mtandao

    Ndugu Madereva wa Bodaboda, Bajaji, Daladala, Mabasi ya Mikoani, Wamiliki wa Magari, na Vijana wote wa Tanzania, Salamu za amani na mshikamano. 1. UTANGULIZI Hii ni taarifa rasmi kutoka kwa waandaaji UWADAR na vyama vyote vya wasafirishaji nchini kuhusu maandamano ya amani yatakayofanyika...
  12. N

    UZUSHI Taarifa ya maandamano ya 7/7 kwa wananchuo

    Je taarifa hii ni ya kweli
  13. Wakati wa utawala wa hayati JPM usalama wa taifa ilikuwa idara makini. Taarifa zilitoka kwa wananchi. Ndio maana hayati JPM alifanya kazi kwa ufanisi

    Utawala wa hayati JPM ulifanya kazi kwa ufanisi na uliweza kuwaridhisha wananchi kuwa upo makini na ulijali maslahi ya wananchi. Idara ya usalama taifa ilikuwa karibu na wananchi. Ndio maana hata kama ni kero ndogo namna gani rais alikuwa na taarifa nayo kwa undani. Kero za wananchi...
  14. M

    Siku ya 15 imetimia tangu Amos Lukinda apotee. Hakuna taarifa yoyote mahala alipo

    Ndugu na marafiki wamefuatilia kila kona na vituo vya polisi vyote lakini hakuna alimkuta. Maswali mengi yanaulizwa kuwa ni nani aliyemteka na kumpoteza. Je, alikuwa na uhasama na watu? Maana yeye ni msaidizi wa sheria yaani Paralegal. Je, ni polisi? Kama ni polisi alikuwa na kosa gani? Maana...
  15. Katika Kipindi cha Miaka 30 ya Uwepo Wake, TRA Yafanya Mengi, Makubwa, Muzuri ya Mafanikio, Mfano ni Hai ni Hii Taarifa ya Mwaka Mmoja Tuu!.

    Wanabodi, Naendelea na Makala maalum za Maadhimisho ya Miaka 30 ya TRA, hii ni taarifa ya TRA Wenyewe Niwatakie Jumamosi Njema. Paskali.
  16. M

    Gawio la Bilioni 61 za NIDA: Mteja wa Mwisho ni Wewe! Taarifa zako Binafsi zinapogeuzwa kitegauchumi na Serikali

    Tarehe 30 Juni 2026, Ikulu ya Dar es Salaam ilishuhudia hafla ya kila mwaka ya upokeaji wa gawio na michango ya taasisi za umma. Miongoni mwa waliopanda jukwaani ni Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa, NIDA. Cheki kubwa ilikabidhiwa mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan. Thamani yake: zaidi ya...
  17. Katambi: Ukitaka kuandamana, katoe taarifa Polisi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amezungumzia utaratibu wa maandamano na mikusanyiko ya hadhara kwa mujibu wa Katiba na Sheria, ikiwemo wajibu wa kutoa taarifa kwa Kituo cha Polisi saa 48 kabla ya kuandamana. Akizungumza leo Julai 2, 2026, Jijini Dar es salaam, Katambi amesema...
  18. Taarifa za kikachero!

    Nimepata taarifa za kikachero. Ni kwamba Uzi wa rikiboy, 'kula tunda kimasihara' unazidi kusaidia CHAPUTA kujipatia wanachama wengi zaidi. Duru zunadai kuwa new membaz wanazidi kuufufua Uzi ule na kila wanapousoma basi hupandwa na ashiki kiasi cha kuukwea mnazi kwa kono moko. Combo ya kula...
  19. Labda BAKITA itufafanulie upya maana ya Taarifa binafsi

    Waziri Katambi ameeleza kwamba NIDA sio taarifa binafsi, Umri sio taarifa binafsi, namba ya simu sio taarifa binafsi Huyu ni waziri mkubwa ndani ya baraza la mawari: Sina hakika sana na level ya elimu yake : lakini naishauri BAKITA kutoa tafsiri rasmi ya nini kinachoangukia ndani ya neno...
  20. Waziri Patrobas Katambi: Kitambulisho cha NIDA sio taarifa binafsi. Ni Public na ndio maana mnasheherekea Birthday

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema kutoa Kitambulisho cha Taifa (NIDA) unapotembelea nyumba ya kulala wageni hakumaanishi kuanika taarifa binafsi, kwani kitambulisho hicho si taarifa binafsi. Soma Pia: Waziri Katambi: Wamiliki wa Hoteli, AirBnB, Guest Houses na Lodge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…