taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    KERO Kero ya TANESCO kukata umeme ovyo kiholela huku Kivule, Dar es Salaam

    Habari za wakati huu wadau wa JF, Huku Kivule tangu jana usiku saa 4, Tanesco wametukatia umeme mpaka saa 7. Sasa cha ajabu zaidi ni kwamba tangu muda huo wanakata umeme na kurudisha; haipiti hata nusu saa wanakata tena. Hapa ninapoongea, tangu asubuhi mpaka sasa wamekata umeme na kurudisha...
  2. Kaka yake shetani

    Marekani Yatoa Zawadi ya Hadi Dola Milioni 10 kwa Taarifa za Mshukiwa wa Ujasusi wa Mtandaoni.

    Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Department of State) kupitia mpango wa Rewards for Justice imetangaza zawadi ya hadi dola milioni 10 za Marekani kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kumpata Zhang Yu. Zhang Yu anatuhumiwa kufanya kazi kwa niaba ya Wizara ya Usalama wa Taifa ya...
  3. Parabolic

    Ujerumani, Tanzania wazindua Kituo cha Taarifa cha Serengeti

    SERENGETI. Tanzania na Ujerumani leo wamezindua rasmi Kituo kipya cha Taarifa cha Serengeti baada ya kukarabatiwa, hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano wa muda mrefu kati ya nchi hizo katika uhifadhi wa bayoanuwai, utalii endelevu na maendeleo ya jamii zinazozunguka Hifadhi ya Taifa ya...
  4. W

    Tumieni vitengo vya mawasiliano kufikisha taarifa kwa wananchi

    Taasisi za Sekta ya Maji zimetakiwa kuwa na mifumo ya dharura itakayo saidia kupunguza athari zinazoweza kujitokeza wakati wa mvua za El Nino kama ilivyo tabiriwa na Mamlaka ya Hali Hewa (TMA). Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Kundo Andrew Mathew (Mb) ametoa angalizo hilo akipokea taarifa...
  5. Wizara ya Ardhi

    Wananchi Kigoma wapokea kwa kishindo zoezi la uhakiki wa taarifa za uthamini, waliobaki wahimizwa kuhakiki

    KIGOMA: Wananchi wa Mkoa wa Kigoma wamehimizwa kutumia kikamilifu zoezi la kuhakiki taarifa za mali zao na kutoa maoni pale wanapoona kuna taarifa ambazo hazijaandikwa kwa usahihi katika mchakato wa uthamini. Mthamini Mwandamizi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rashid...
  6. Alexido jz instagram

    Nina mapenzi makubwa kuishi Kisiwa cha Mafia, msaada wa taarifa tafadhali

    Nilikua na ndoto tangu zamani kuishi kisiwan hapo, nadhani maisha yangu ningependa yakishie kule napapenda sana, japo sijawahi fika hua naangalia tu maeneo kule kupitia you tube insta na TikTok. Sasa basi naomba msaada WA mambo yafuatayo. 1. Bei za viwanja, nataka shamba karibu na beach ila...
  7. A

    KERO Benki hazitoi taarifa za kutosha kuhusu makato ya akaunti, kama vile ada za kadi na makato ya kila mwezi

    Benki hazitoi taarifa za kutosha kuhusu makato ya akaunti, kama vile ada za kadi na makato ya kila mwezi. Mara nyingi, mteja hushawishiwa kufungua akaunti bila kuelezwa kwa uwazi gharama zote, kisha hujikuta akikata pesa bila taarifa ya kutosha. Nilifungua akaunti CRDB miaka kadhaa iliyopita...
  8. M

    Mawaziri wapokea taarifa ya wataalam kuhusu mgogoro wa mipaka ya kiutawala na msitu wa Kazimzumbwi

    Timu ya Wataalam iliyoundwa kwa ajili ya kuchambua hoja za wananchi kuhusu mgogoro wa muda mrefu wa mipaka ya kiutawala na mpaka wa Msitu wa Kazimzumbwi, imewasilisha taarifa ya uchambuzi wa hoja zaidi ya 60 zilizowasilishwa na wananchi 22 kwa Mawaziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa...
  9. Kaka yake shetani

    Kuna kitu kimemshinda ila kuiga kubaya na raisi mwenye ufisadi mkubwa hata ripoti na taarifa zipo wazi.

    Kuna slogan moja kama wamejipa CCM kuwa hakiwa raisi muislamu basi maisha yatakuwa kama ya marehemu mzee mwinyi au jakaya. Ila huyu kila anacho shika kinakwenda vibaya sijui kama 2030 tutafika vipi.
  10. A

    KERO Malalamiko kuhusu kukamatwa kwa mama yangu Buza, bila uthibitisho wa makosa aliyoyafanya

    Jana nilipigiwa simu na mke wangu nikapewa taarifa kwamba mama yangu amekamatwa Buza kwa Lulenge na jiji kwenye eneo lisiloruhusiwa kufanya biashara, japo hapakuwa hata na uthibitisho kwamba anauza bidhaa yoyote. Wakawachukua na baadhi, wengine waliokamatwa wamechukuliwa pesa zao na wengine...
  11. S

    KERO MALALAMIKO YANGU DHIDI YA TALENTS SOLUTION COMPANY LIMITED

    Ninaandika haya ili kueleza uzoefu wangu kama mfanyakazi na changamoto nilizokutana nazo katika mchakato wa ajira na kusitishwa kwa mkataba wangu na Talents Solution Company Limited. Nilikuwa nimeajiriwa kwa mkataba wa mwaka mmoja, ambao kwa mujibu wa mkataba wangu ulipaswa kuendelea hadi...
  12. M

    Fundi simu aliuza taarifa za ndugu yangu kwa wachapisha umbea, zikachapishwa mtandaoni kumdhalilisha

    Fundi simu aliuza taarifa za ndungu yangu kwa wachapisha umbea, zikachapishwa mtandaoni kumdhalilisha. Alipeleka simu kwa fundi, alipoanza kuirekebisha akapata dharura akamuaga kuwa atarejea baadae, ila akasema inabidi atoe nywila kwani atahitaji kuifanyia majaribio. Mara baada ya kutoka huku...
  13. peno hasegawa

    Gazeti la Mwananchi halina taarifa ya kifo cha Mfanyabiashara Wicknell Chivayo na mke wake waliofariki kwenye ajali ya Helikopta Jana!

    Habari picha hizi hapa! Gazette la Mwananchi wao hawana habari hizi!
  14. Roving Journalist

    Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Taarifa kwa Wote, 28/09/2026

    Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Taarifa kwa Wote, fuatilia mijadala mbalimbali katika kuadhimisha siku hiyo... Ernest Sungura Pia soma ~ Kuelekea Maadhimisho ya IDUAI 2026: Unapataje Taarifa Sahihi katika enzi hizi za Kidijitali? “Changamoto yetu si uhaba wa taarifa, kwani...
  15. Kaka yake shetani

    Maisha haya kosi maswali wapi ulipopata taarifa.

    Kabla ya redio ukieleza habari utaulizwa hayo mambo umeyatoa kwenye vitabu. Ilivyokuja redio ukieleza utaulizwa umeyatolea kwenye redio. Ilivyokuja TV nayo hivyo hivyo. Ilipokuja internet nalo swali linakuja umeyatolea kwenye mitandao. Imekuja AI bado wanauliza lile lile swali. Sasa wewe...
  16. University of Dodoma (UDOM)

    Responded TAARIFA KWA UMMA: Ufafanuzi kuhusu madai ya ucheleweshwaji wa malipo ya Wanafunzi waliozidishiwa Ada

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu madai yaliyachapishwa katika mitandao wa kijamii hususani mtandao wa Jamii Forum kuhusu urejeshwaji wa fedha ya ada iliyozidi kwa baadhi ya wanafunzi baada ya kumaliza masomo. Chuo kinapenda kuufahamisha umma kuwa, kwa...
  17. Davidmmarista

    Halmashauri ya Wilaya Siha yadai Mwalimu Omari alilipwa stahiki za uhamisho lakini ameendelea kukaidi

    TAARIFA KWA UMMA KUKANUSHA TAARIFA YA KUDHALILISHWA KWA MWALIMU OMARI SALIMU ALLI Mwalimu Omari Salimu Alli ni mtumishi katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha aliyeajiriwa tarehe 01/04/2014. Baada ya ajira alipangiwa kituo cha kazi shule ya Sekondari Karansi ambapo amefanya kazi kwa muda wa miaka...
  18. ChoiceVariable

    Kwa Mujibu wa Chadema,Nchi vinara wa Demokrasia na Katiba Mpya USA & Ulaya Huwa Hawafichi Ukweli wa Taarifa za Serikali

    My Take Chadomo muwe mnadanganya wajinga mnaowaokota huko mtaani na wasiojitambua 😂😂😂
  19. Idugunde

    Hivi Mwanasiasa akiwekwa kifungo cha nyumbani wananchi huwa hawapewi taarifa? Nani huwa anatoa hii adhabu na kwa kosa gani?

    Ninashangaa juu ya hizi habari kuwa Nchimbi wa CCM yupo kifungo cha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Abdul Jumbe. Hii adhabu hutolewa na nani? Na kwa nini wananchi hawana taatifa kam
  20. M

    Taarifa Kwa Umma

Back
Top Bottom