taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Sasa nimeelewa: Lissu alitoa tu taarifa kuwa DCI amekataa kuwa shahidi wake, hivyo lilikuwa ni jukumu la mahakama kumtaka DCI afike mbele ya mahakama

    Baada ya kusoma maelezo ya wakili Matata, hiyo ndivyo nilivyoelewa. Kwahiyo, mpaka hapa, Lissu aliitega mahakama na mahakama ikaingia kingi ingawa nashindwa kuamini kuwa mahakama haikuona hii kasoro. Swali ambalo bado linaumiza kichwa changu, ni kuhusu CDF ns IGP kusemewa na DCI na...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Kufanya harusi na mwanamke aliyemeza mikia mingi ni kujichoresha na kujizima data

    KUFANYA HARUSI NA MWANAMKE ALIYEMEZA MIKIA MINGI NI KUJICHORESHA NA KUJIZIMA DATA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. ANGALIZO; Mada hii sio nzuri kwa watu ambao hawana bikira na hawajaolewa. Na pia waliooa ambao wanawake wasio bikira. Na vijana wenye wachumba ambao hawakuwakuta bikira...
  3. M

    Uzi huu tutakuwa tunapeana taarifa ya Matukio (Madhara) ya Super Elnino 2026/2027

    Wakuu kama tunavyojua TMA walitabiri kuwa mwaka huu Oktaba mpaka Desemba pia inaweza kuendelea mpaka February 2027 mvua kubwa za msimu wa vuli zitanyesha kupita kiasi (Super Elnino). Kanda ya Ziwa, Kaskazini na Pwani wanategemea hasa kupata mvua hizi. Aidha wataalam, serikali na viongozi wa...
  4. Chakaza

    Jee Serikali Yaweza Kufungua Shirika la Kuuza Bangi na Mirungi Kwavile Wao wana Kinga? Mbona Inatoa Hadharani Taarifa Binafsi Bila Kibali cha Mahakama

    Ndio tujiulize! Sasa hivi wao wanapuyanga tena mahakamani kwa kutoa taarifa za mtu za siri bila kuiomba mahakama kufanya hivyo? Jee itakuwaje kwa Hao waliotoa hizo taarifa? Hizi njia za mkato bila kujali sheria jee tutashangaa siku ikitokea serikali ikifungua Maduka ya kuuza mihandarati, Bange...
  5. Boss la DP World

    Namtafuta Ndugu Humphrey Polepole. Mwenye taarifa ya uhakika ya mahali alipo tafadhali

    Naomba mwenye taarifa zaidi anijuze mahali alipo na majina ya waliohusika kumpoteza kuanzia aliyetoa wazo mpaka watekelezaji wake. Asanteni.
  6. S

    Kutoonekana kwa Nchimbi: ACT huenda wa taarifa fulani kuhusu hatima ya Nchimbi

    Tunapoona ACT kama chama cha siasa wanatoka hadharani kuhoji ni wapi alipo Dr.Nchimbi, basi huenda tayari wana taarifa ya wapi alipo au ni nini alifanyiwa kiasi kwamba haonekani hadharani. Tusisahau mambo kama haya ni kete kwa vyama vya upinzani dhidi ya chama tawala hata kama ACT...
  7. aimi lyatuu

    DOKEZO sokoni Buguruni Wilaya ya Ilala tumechangiswa 100,000 kwa ajili ya kupangwa pembezoni mwa barabara

    sokoni Buguruni Wilaya ya Ilala tumechangiswa 100000 kwa ajili ya kupangwa pembezoni mwa barabara
  8. Megalodon

    Wakuu Tusipuuze ishu ya Dr. Emmanuel Nchimbi na taarifa zinazoitwa za Upotoshaji, mambo huwaga hivi hivi …..

    Well , taarifa za Dr. Emmanuel Nchimbi (PhD) kuhusukujiuzulu zilianza chinichini hadi Gazeti moja likapigwa ban , mwisho wa siku ni kweli Daktari Nchimbi akalazimishwa kuachia Ofisi - Ni taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli Kifo cha JPM kilianza kama drama na upotoshaji, baadae ni kweli JPM...
  9. M

    Taarifa ya kifo cha member wa Jamii Forum

    Kwa masikitiko makubwa nawataarifu kuhusu kifo Cha member mkongwe mwenzetu anayetumia ID ya Slave Katika uhalisia huyu alikuwa fundi simu wilaya ya kahama na alikuwa anafahamika kwa jina maarufu la Dokta Zedi Pia alikuwa mwenyekiti wa watu wenye uziwi hapo hapo wilaya ya kahama Alazwe mahala...
  10. masopakyindi

    Polisi taarifa za uongo zinawaweka rehani!

    Polisi hawajijui. Na hawajui kuwa katika miaka ya karibuni jeshi la Polisi limejijengea sifa hasi mbele ya jamii. Utekaji, ubambikaji kesi na taarifa zisizokuwa na ukweli dhidi ya wananchi kwa ujumla imeshusha sana imani ya watu kwa jeshi letu la polisi. Polisi kuhusika kiamilifu mauaji ya Okt29...
  11. Alexido jz instagram

    Taarifa ya Uchunguzi wa kifo cha aliyeongeza uume yatoka rasmi

    Igho au tiny influencer wa Nigeria aliekua akiishi London, alifariki akiongezwa uume sasa baada ya uchunguzi kukamilika unadai tiny aliilazimisha madaktari kum dunga sindano za mkupuo tofauti na utaratibu aliopewa, Jopo la madaktari lilimtaka tiny adungwe sindano hizo Kwa vipindi viwili...
  12. Manyanza

    SI KWELI Rais Samia kukaa mapumziko ya Eda siku 90

    Kumekuwepo na picha inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kuwa ni taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi. Picha hiyo inadai kuwa, kufuatia msiba wa mume wake, Mzee Hafidh Ameir Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahirisha...
  13. Zack Abdul

    Tupuuze, taarifa hii ni upotoshaji

  14. Taasisi ya Mifupa-MOI

    Kambi maalum na mafunzo ya matibabu ya maumivu ya magoti na mabega kuelekea michuano ya AFCON 2027

    KAMBI MAALUM NA MAFUNZO YA MATIBABU YA MAUMIVU YA MAGOTI NA MABEGA KUELEKEA MICHUANO YA AFCON 2027 Dar es Salaam: 07/09/2026 Uongozi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) unapenda kuutaarifu umma kuwa, kwa kushirikiana na madaktari bingwa na bobezi wa magoti na mabega kutoka Uingereza...
  15. M

    Kihongosi: Ni Ngumu kujua anayeteka Watu Nchini, Vyombo vya Ulinzi vikibaini vitaleta Taarifa, Wananchi waripoti taarifa

    Odemba: Taarifa hizo zipo, ndio na sisi tunaziona. Kwamba watu wanatekwa hapa nchini? Ndio, watu wanapata changamoto. Nani anayeteka watu hapa Tanzania? Kihongosi: Ni vigumu kujua jambo hilo ndugu Odemba, kwa sababu sisi kama Chama Cha Mapinduzi..." Odemba: Kama chama tawala mmeshindwa...
  16. R

    Meta AI inavyokusanya taarifa zako binafsi Mtandaoni

    Mama mmoja, kwa jina la Kalie Robins, ameibua wasiwasi kuhusu namna tool ya Meta AI inavyoweza kutumia taarifa zilizowahi kuchapishwa mtandaoni kukusanya na kuhusisha taarifa binafsi. Kwenye video hii Robins anasema alichapisha video iliyokuwa ikimuonyesha yeye na binti yake wakiimba ndani ya...
  17. Poppy Hatonn

    Taarifa za Bunge hazipatikani katika mtandao

    Hiki ni kikao cha Bunge cha Kumi na Tatu,Mwezi August, lakini Hansard ya mwisho katika mtandao ni ya June. Siyo Bunge tu. Mahakama pia. Haiwezekani ku download kitu chochote kwenye website ya Mahakama
  18. The Palm Beach

    Evarist Chahali (JasusiTV): Dr Emmanuel Nchimbi Yuko mahututi; Taarifa kamili hii hapa

    https://youtu.be/j3sXSrK1IgY?si=ciaUzrI93iD8PAfG Kwa mujibu wa Evarist Chahali, mfanyakazi wa zamani wa TISS aliyeko uhamishoni Uingereza, kwa taarifa zilizothibitishwa ni kuwa Vice President Dr Emmanuel Nchimbi aliye wekwa kwenye kizuizi cha ndani (House Arrest) Yuko mahututi.. Inasemekana...
  19. M

    Taarifa kwa Umma: Mtu yoyote usikubali kununua mali yoyote ya Rwakatare

    Kupitia Mawakili Tibe Kenneth Rwakatare, mtoto wa marehemu Mchungaji Dkt. Gertrude Pangalile Rwakatare, Nicholas Mugarura, Mwesigwa Muhingo na David Saire Manoti, wametoa tahadhari kwa umma kutonunua mali zinazodaiwa kumilikiwa na St. Mary’s International Academy Limited pamoja na mali za...
Back
Top Bottom