Hapa kuna swali la msingi mno linalogonga ikulu ya fikra za kila mzalendo anayejitambua kufuatia mgomo wa madereva nchini na hatua za haraka zilizochukuliwa na serikali: Hii serikali inayotaka kuleta mabavu, ina hayo magari na madereva mbadala wa kutosha nchi nzima kutoa huduma? Jibu ni fupi na...
Hili jambo nimewaza muda mrefu na nimekuwa nashangaa watu hawajaweza kung'amua hili jambo.
Kipindi kile ambacho matukio ya watu kupotea na kuuawa yalipozidi, kauli iliyokuwa inatolewa na vyombo husika vya uchunguzi ikawa ni kuwa watuhumiwa na wahusika ni "watu wasiojulikana".
Imefika wakati...
Katika dunia ya sasa, watu wengi huzungumzia AI (Akili Mnemba) kama teknolojia inayobadilisha maisha kwa kasi kubwa. Hata hivyo, swali moja muhimu linaibuka: Je, ni AI kweli inayotawala maisha yetu, au ni algorithm zilizopo nyuma ya pazia?
Algorithm ni seti ya kanuni na maamuzi yaliyopangwa...
Swali la pili.
Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari.
Tanzania, mtu mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mamlaka haya yamefafanuliwa kisheria chini ya Ibara ya 32 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
Mambo ni...
Unakumbuka ulikataa kumsalimia Makonda tena msibani? Hukujua kuwa demokrasia ya haki Haina upande?
Kama uko sahihi, basi muombe radhi Paul Makonda, mana demokrasia Haina upande?
Mwili wa Mercy Maina Wachinga, 32, ulipatikana katika nyumba yake eneo la Lavington, Nairobi, ukiwa umeharibika baada ya kukaa ndani kwa takribani mwezi mmoja bila kugundulika.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, Mercy anadaiwa kujitoa uhai, huku polisi wakipata ujumbe ulioandikwa kwa mkono ambao...
https://youtu.be/aiKGF_wPISk?si=5kk8dH-yAG6vnAEB
Je, ni akina nani waliokuwa nyuma ya harakati za kudai uhuru wa Tanganyika kabla na wakati wa kuanzishwa kwa TANU? 🇹🇿
Kwa nini baadhi ya majina ya viongozi na wanaharakati waliokuwa sehemu muhimu ya harakati hizo hayatajwi kwa uzito unaostahili...
Hapo VIP!
Hili swali huwa sipendi ambao Wachaga wengi wanapenda kuiliza. Eti Wewe ni kabila gani?
Hawa jamaa wanamambo ya Kipuuzi sana..nadhani kwasababu wanaukabila sana ndio maana wanapenda sana hili swali.
Swala alionekana anakimbia kama kichaa, tembo akamuuliza "vipi ndugu yangu mbona unakimbia kama una kichaa?" swala akajibu kwamba "mbuzi wote waliopo porini wanakamatwa",
Tembo akashangaa na kuuliza lakini wewe sio mbuzi ni swala.? Swala akamwambia kwa mfumo wetu itanichukua miaka 10...
Je, Watanzania wote waliorejea nchini kutoka Afrika Kusini kwa msaada wa Serikali wana makazi ya kudumu?
Ikiwa si wote wana makazi ya kudumu, Serikali imeweka mikakati gani ya kuwasaidia kupata makazi pamoja na mahitaji muhimu ya maisha, ili waweze kuanza upya na kujitegemea?
Anonymous
Thread
africa
kutoka
msaada
nina swali
serikali
south africa
swali
watanzania
Nimekutana na hizi stories zisizo na facts kwamba nchi itatekwa kiutawala na Zanzibar
Yani Tanganyika yenye watu wengi mara 35 ya Zanzibar na ukubwa zaidi ya mara 300 ya Zanzibar itawaliwe na Zanzibar ? mnaota ndoto gani hizo ?
Kuna kelele kwamba Wazanzibari wanajazwa JWTZ. Kwa ajili ya...
Na. M. M. Mwanakijiji
Ni kweli Emanuel Nchimbi amekuwa kwenye CCM kwa muda mrefu sana. Wengi tunamjua toka akiwa Umoja wa Vijana wa CCM na kwa kweli hakuwa mtu ambaye tulimfikiria hata kwa mbali kuwa anaweza kuwa Makamu wa Rais. Ameweza kupitia sehemu mbalimbali lakini naweza kusema kuwa...
Kama akipata bwana mpya na huyo mwanaume akaamua kunipa 500,000 ili nimuache.... je nitakubali??
Nilicho kifanya, nimempa my account number niwekewe hiyo pesa chap....🤗
Au nimekosea wakuu...😎
Kwanini baadhi yenu mkisikia “baby baba akikwambia nitumie Control Number ya ada nimlipie mtoto” mnabadilika ghafla kuwa mbogo? 😂😂
Mtu anakuomba tu Control Number ili alipe ada ya mwanae, lakini majibu yanakuwa:
«“Kwa nini unataka Control Number?” na matusi mazito juu!
“Hiyo hela nitapanga...
Hawa wana ccm washawahi kufikiria kwamba wizi wa kura na kuchezea uchaguzi kunaweza kuhatarisha usalama wa nchi?
Nini kinachowapa ccm kujiamini? Je ni back up ya mchina au ya mnani vile? Anyway .. serikali huanguka kwa uzembe wa watu wachache sana wabinafsi.
Kuna jambo linahitaji mjadala wa wazi, bila ushabiki wa kisiasa wala kumhukumu mtu kabla ya mchakato wa kisheria kukamilika.
Wakili Peter Madeleka amekumbana na hatua za polisi katika mazingira yanayohusishwa na masuala yake ya kisheria. Wakati huo huo, mwaka 2023 mfanyabiashara Rostam Aziz...
kwa hii hali ya sasa nyuzi zinavyoanzishwa kwa fujo halafu bila mpangilio na maana yoyote halafu nyuzi zenyewe za hovyo nyingi zikiwa ni za wanafunzi walioko likizo na vijana wanaokaa kwa dada zao hali inayopelekea comments kuwa nyingi pia.
hii hali si itapelekea siku moja servers za JF zijae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.