Na. M. M. Mwanakijiji
Tumeyasikia tuliyoyasikia, tumeyaona tuliyoyaona, na yale yenye kuleta hofu yameshaleta hofu. Hadi hivi sasa hakuna chama cha upinzani kilicholipa gharama kubwa ya kudai mabadiliko Tanzania kama CHADEMA. Vipo vyama vingine vya "upinzani' ambavyo kwa kila kipimo vimekubali...
Inaonekana kuna watu wanataka sana maridhiano... wangependa sana wapige picha ya kuonesha mambo yako sawa.. hakuna watu wanaolalamika au kunung'unika...
Lakini hadi Sasa sijasikia au kuelewa hasa wanaotaka maridhiano wanasukumwa na kitu na matatizo gani wanayoyaona...
uchaguzi ulisha"fanyika"...
Naombeni hizi Wizara mbili zinijibu kwanini eneo la Road Reserve limevamiwa na Ujenzi wa Vituo vya mafuta na vitu vingine unaendelea??
Kama Magufuli aliwatoa hao watu kwanini sasa wanarudi kujenga ili badae mseme wa hati halali walipwe mpate dili au ni nini?? mfano kuna vituo vya mafuta...
Ndugu yangu,kabla hujaamua kwamba kiwanja kiko mbali, jiulize swali moja;Je, mji unaendelea kuelekea upande gani?
Kila mji una mipaka yake ya sasa, lakini ukuaji wa miji hauishii kwenye mipaka hiyo. Kadiri watu wanavyoongezeka, biashara zinavyopanuka na makazi yanavyohitajika, maeneo mapya...
Naomba mseme UKWELI nyie wenyewe je hii hukumu ya LISSU kisiasa mnaona imekaa sawa? Je mnafurahia katika ngazi ya chama kwamba mmeepata ushindi Kwa Kufungwa kwake?
Hebu ngoja niwakumbushe tu!
1. Uchaguzi wa 2025 Chadema hawakushiriki na Lissu alikuwa jela! Walioandamana walikuwa wanasema...
According to my view
Hii inasababisha;
1. Vyama vingine kutopata uhuru wa kisiasa.
2. Raisi anakuwa na maamuzi yanayoendana na chama.
3. Serikali inajaa viongozi wa kutokea chama kimoja tu.
Kwanini isiwe hivi;
Raisi akishachaguliwa awe ni mbali na chama yaani chama kisiwe na contact na yeye...
Ukichukua Chupa ya lita 1 au lita 1½ ya Plastiki yenye maji ya moto let say 30/35 au 40 degrees Celsius, ukaiweka kweenye ndoo yenye maji ya lita 20 ya baridi.
Utagundua kwamba hii chupa yenye maji ya moto baada ya kuizamisha kwenye ndoo ya lita 20 yenye maji ya baridi kwanza itaenda mpaka...
Yaani katholiki Sasa limekuwa ni dude kubwa kweli kila baya litapakaziwa. Ila niwaambie hamliwezi
Just imagine muislamu na machawa wenye chuki na wakatholiki Leo wanahoji Kwa nini hawakuwaombea waliouwawa wakati wa uchaguzi Mkuu WA mwaka 2000 kule pemba. Au mauaji ya mwembe chai. Je waislamu...
Asili na Kuanzishwa: Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) lilianzia mkoani Mbeya (Igale, Mbalizi) mnamo mwaka 1939, likitokana na uamsho wa Kipentekoste uliotokea Azuza nchini Marekani. [
Uongozi wa Kiasilia: Mwaka 1967, umissioni wa wageni ulikabidhi madaraka kwa viongozi wazawa, na...
Ndugu firstborn hapo kwa ur baba and ur mama... Nini kilikufanya ukaamini 💯% wewe ndio ulizaliwa wa kwanza kutoka kwenye viuno vya babayo na tumbo la mama yako?..je , haukuwahi kujiuliza kwamba Kuna bro wako mkubwa au sister yako mkubwa alikutangulia sema mimba yake ilikuwa aborted (unplanned...
Sijui ni mie ama Niko sensitive sana?
Ninapokutana nao katika maongezi nikipigwa Hilo swali najikuta na-blush huku ndani naumia, mchangayiko na aibu na huzuni. Natoa majibu ya hapana bado. wakiendelea najikuta nashindwa hata kujieleza napata kigugumizi.
Shida sio kupata mchumba, shida ni njia...
Kuna fumbo kuhusu maisha yetu ambalo sijui kama tutakuja kulielewa kikamilifu… 🤐
Wakuu, kuna mambo huwa nayatafakari kimya kimya na kila nikiyafikiria, najikuta na maswali mengi kuliko majibu.
Fikiria hivi…
Kuna kipindi ambacho hukuwa na kumbukumbu yoyote ya maisha yako. Leo upo hapa...
Kuna mada nimekutana nayo kuhusu kuwa sisi wanadamu ni namba na ndio maana namba zikizidi au kupungua sawa na ajari ya watu kumi masai mmoja.
Kwa nini mpaka vitambulisho vina namba na ukiangalia namba hizo ni lazima kuwa watu fulani.
Namba ni nini kwa elimu ambayo hata uzazi wanasema mtoto wa...
Toka nimejiunga jf 2012 kumekua na maoni ambayo binafsi na yachukulia kama utani .
Mara jf hakuna pisi , mara jf I'd zote madume jichanganye ukutane na mbupu😆, mara hakuna wanawake pisi atapatikana jf kwa nature ya mtando wenyewe unavyotaka watu wenye akili 🤔
Mara jf kuna majamaa ni...
Tunaweka mipango kwa ajili ya kesho, kujenga nyumba, kununua gari, kuanzisha biashara, kusomesha watoto na kuweka akiba.
Lakini kuna swali moja muhimu ambalo wengi wetu tunalisahau: “Kama kesho sitakuwepo au nitashindwa kufanya kazi kwa sababu ya jambo lisilotarajiwa, familia yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.