swala

  1. Carlos The Jackal

    Mgeni toka Dubai kakutwa na pembe ya Faru, kalipa tu Faini

    Hii ndio Tanzania ambayo MH TUNDU LISSU anapigania. Watanganyikana sababu zaidi ya Bilioni ya kwann ni lazima muungane na LISSU . Watanganyika wangapi wapo Jela?? Kwa makosa ya Gram 2 za bangi, mara Nyama ya Sungura kilo Moja, sijui Ngozi ya fisi , watu wefungwa miaka 30. Leo Mgeni...
  2. R

    Swala la Fadlu na Simba linaweza kuibua yaliojificha

    Baada ya Simba kumshitaki Fadlu kwa kuvunja mkataba bila kuwalipa Fidia Simba wamefikisha swala lake Fifa. Huu ni utaratibu wa kawida kwani hata Fadlu alipovunjowa mkataba na Raja alilipwa fidia. Kipindi cha nyuma Simba ilikuwa na kocha anayejulikana kama kishingo, kocha huyo aliondoka baada...
  3. S

    Katika kuhangaika, chama cha kijani siku si nyingi wataitisha mikutano wa waandishi wa habari na swala la Lissu wataliongelea

    Naomba niwambie fu, hawa watu hawatakaa kwa amani hata kidogo baada ya kufanikisha dhamira yao ovu kwa Tundu Lissu Kwahiyo, katika kuhangaika, siku si nyingi wataitisha mkutano wa waandishi wa habari ambapo pamoja na mambo mengine, warazungumzia swala la Lisu. Moja ya jambo watalokujanalo...
  4. K

    Chadema kuweni makini fuatilieni ushahidi kwenye swala la Lema

    Chadema kuweni makini fuatilieni ushahidi kwenye swala la Lema. Watu wa CCM wanataka kuleta mchafuko kwa kumtumia Lema na kumsingizia. Habari za sirisiri ambazo wana harakati wanapewa wawe makini na hizo habari inawezekana kabisa wanao wapa habari wanawapandikizia mambo ya uzushi.
  5. R

    Tunaomba serekali iingilie swala la malipo kwa madereva waendao congo malipo ya mileage yawe yanaanzia dola elfu moja kwani tunalipwa kiasi kidogo

    Tunaomba serekali iingilie swala la malipo kwa madereva waendao congo malipo ya mileage yawe yanaanzia dola elfu moja kwani tunalipwa kiasi kidogo
  6. I

    Tusifanye swala la El nino kuwa la kisiasa, tusiwabeze TMA

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu tahadhari ya mvua za El Niño iliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Baadhi ya wananchi wameanza kuibeza TMA na hata Serikali kwa sababu mvua zilizotabiriwa kuanza mwanzoni mwa Oktoba hazijanyesha katika maeneo mengi...
  7. M

    Mtumishi Aomba Mawazo Kuhusu Uhamisho wa Dharura Baada ya Kusumbuliwa na Tatizo la Mguu

    Mawazo tafadhali: Mimi ni mtumishi wa Halmashauri X, nasumbuliwa na mguu (lymphedema-right leg) kwa kipindi kirefu, hivyo cellulitis imekuwa ikinirudia mara kwa mara. Nikatoka mkoani nikaingia DSM ili kujichanganya, lakini cha kushangaza hali ya mguu ilikuwa shwari kidogo, sioni kama ilivyokuwa...
  8. Etwege

    Kwenye swala la ndoa nakuelekezea silaha waziri Dk Gwajima.

    Wewe waziri Dk Gwajima kinachofanya mpaka leo ndoa za kimila hazina cheti halali ni nini? Kwa sasa ili ndoa ipate cheti ni lazima iwe ya kanisani, msikitini au kiserikali tu ,swala hili linasikitisha sana. Kuongezeka kwa single mothers, watoto wa mtaani sababu ni wewe waziri Gwajima na wizara...
  9. A

    KERO Walimu ajira mpya Halmashauri ya Mkalama tumelipwa TZS 250,000 badala ya 925,000

    Sisi walimu walioajiriwa mwezi Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Singida, tunaomba mamlaka husika zisaidie kufuatilia stahiki zetu za fedha za kujikimu ambazo tumekuwa tukizidai kwa muda mrefu. Tumekuwa tukipewa taarifa kwamba fedha hizo bado hazijafika. Hata hivyo, hivi...
  10. Eli Cohen

    Huwa napenda kuwaambia rafiki zangu wayatazame maisha kwa mtazamo wa bungani mfano wa fisi wanavyomuua swala kikatili kwa kumuanza kumla akiwa hai

    HAkuna utofauti wa sisi na ecosytem ya mbugani Ni basi tu Sisi ni wanyama tulio vaa nguo. Mjini na vijijini hakuna tofauti na mbugani. Bila ya ku-evolve kuwa kama fisi, utalika kikatili kama swala, unang'atwa nyama ya paja huku ukiwa hai ukisikilizia maumivu. Hakuna faraja ya mnyonge hapa...
  11. Jaji Mfawidhi

    Kuzika kabla yaswala ya adhuhuri ni mila au tumeiga Wakoloni?

    Tanzania, moja kati ya mataifa ambayo yameletewa dini na wakoloni. Waarabu walileta Uislamu ukanda wa pwani. WAjerumani wakaleta Ulutheri-dini ya Martin Luther. Wamarekani wakaleta ULokole-TAG Waitaliano wakaleta dini ya Kirumi ikaitwa roman Catholic. Wasabato wameanishwa na William Miller ...
  12. Ruwamangi

    Emmanuel Nchimbi kushiriki maziko ya mume wa rais zanzabar kabla ya swala ya Magharibi?

    Leo Zanibar kabla y jua kuelekea Magharibi kutakuwepo na ibada ya mazishi ya Mume wa Rais. Viongozi wakuu wastaafu na waandamizi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano na mapinduzi ya Zanzibar watafika zanzibar. Uvumi wa kutoonekana kwa Makamu wa Rais aliyejiuzulu Utafutwa?
  13. B

    Kwenye swala la uzazi wa Mpango Wazungu walijichanganya, Vizazi vyako na familia zao zimeparanganyika. Ingawa.....!!

    Ukweli usemwe Tu, Mimi sio muumini wa kuzaa watoto wengi wanaozidi Uwezo wa kuwatunza na kuwalea. Nimekuwa Wakili( Advocate) wa kuzaa kwa mpangilio na kuhimizia familia kuhakikisha wanafanya kazi ili kulea watoto wao kwa uzuri na kujenga Taifa Bora. Nimezunguka Nchi kadhaa duniani kama 10 tu...
  14. THE FIRST BORN

    Je Serikali ya Ccm na Samia ilikua imejiandaa kweli juu ya hili swala la shule za Amali?

    Habar, Kwa Mwaka huu kumeshuhudiwa ufunguzi wa shule nyingi katika sehemu mbalimbali ya Tanzani, Shule ambazo zinamuundo tofauti na shule hizi zingine za sekondari, shule hizi mtaala wake unasema Mwanafunzi atafundishwa elimu ya vitendo zaid kumpa ujuzi wa shughuli mbalimbali ambazo baada ya...
  15. Msanii

    Swala la Nchimbi limeongeza moto kwenye mageuzi. Sasa sio CHADEMA tu wanaogombana na Samia

    Kung'atuka kwa Nchimbi ni taswira ya mashindano na mapambano ya mageuzi ndani ya CCM, ambapo ni dhahiri wananchi na CHADEMA wanaungwa mkono na kundi la vigogo ndani ya CCM wenye kiu ya mabadiliko ya kweli. Sisi wananchi madai yetu ni pamoja na:- Katiba itokanayo na maoni na utashi wa...
  16. polokwane

    Swala la kumfukuza nchimbi sio la CCM ni la Samia na genge lake na ni kwa maslahi ya genge hilo tu sio taifa elewa hivyo.

    Na kwakuwa CCM wengine ni fuata upepo ukweli upo mioyoni mwao, Hiyo ndiyo habari iliyopo mezani
  17. N

    Kwenye swala la ajira ukweli niseme ameupiga mwingi.

    Wakuu Mimi siyo mtu wa siasa na Sina chama .ukweli niseme Kila mtu na mapungufu yake lakini tukiacha siasa pembeni, huyu mama kwenye swala la ajira kaupiga mwingi sana yan kaajiri watu wengi sana tokea nchi inapata uhuru haijawahi tokea.
  18. A

    KERO Waajiriwa wapya wa Wilaya ya Ileje, tumelipwa fedha kidogo sana za kujikimu kuliko tunachostahili

    Waajiriwa wapya wa Wilaya ya Ileje, mkoani Songwe, tunaomba Wizara na viongozi husika kutusaidia ili tulipwe fedha zetu za kujikimu na nauli kwa kiwango kinachostahili. Tumelipwa kiasi kidogo sana ambacho hakilingani na kiwango kinachotarajiwa, na pia ni tofauti na malipo yaliyotolewa kwa...
  19. Fbn

    Waziri katambi ina maana mpaka waziri wako mkuu kutumia chama na swala la mwenge umesitisha si umejumuisha CCM nayo.

    Wana JF wenye kudadavua maana mambo ya serikali yanatumia CCM. Na yeye kauli zake kadai mpaka CCM.Kama tukiamua msumeno utumike kweli japo katiba sijui kama ni muelewa maana hata wajibu wa sheria na katiba za nchi sijui kama anaelewa. kuanzania sasa mwiguru na wengine wote CCM mshakatazwa kama...
Back
Top Bottom