Pichani ni wanadada Lacho na Temwa Chawinga, Mabinti wanaocheza Soka la kulipwa katika timu za wanawake nchini Marekani
Lacho ni raia wa Zambia wakati Chawinga ni raia wa Malawi
Ukipata mwanamke kama huyu utamuoa?
Shirikisho la soka nchini Kenya (FKF) siku ya Ijumaa limetangaza kuahirisha mechi ya Ligi Kuu nchini humo "Mashemeji Derby" baina ya Gor Mahia na AFC Leopards ambayo iliratibiwa kuchezwa Jumapili, Mei 11, 2025.
Kupitia taarifa iliyotolewa na shirikisho hilo ilieleza kuwa uamuzi huo umefanyika...
Niwapongeze YANGA kwa KUW ANA MSIMAMO WA HATUCHEZI
NAOMBA NIWAASE TU KOMAENI
KANUNI NA SHERIA WALIZOPANGA NA KUSAINI WENYEWE LAZIMA ZIHESHIMIWE
HAWA WANAZI WA BODI YA LIGI WANAOSHABIKIA SIMBA NAAPANLAZIMA WAAIBIKE
KAMA WALIHONGWA WATASEMA TU MWISHO WA SIKU PESA WALIZOPOKEA
NARUDIA...
In Sport betting, early payouts mean a bookmaker settles your bet as a win before the event is officially over—usually because your selection is in a strong position.
For example:
In football, if your team goes 2 goals up, the bookmaker might pay your bet out early, even if the game isn’t...
Kama kuna kitu cha kisanii kwenye soka basi ni suala la dakika za majeruhi au dakika za nyongeza ambapo muamuzi huzitoa kufidia dakika zilizopotea.
Ukichunguza kwa makini utagundua hilo suala huwa ni utashi wa kamisaa wa mchezo akishirikiana na mwamuzi wa katikati kwa maslahi yao.
Hakuna mtu...
Tumeona waamuzi wengi wamekuwa wakichotwa na propaganda za timu moja inayoishi kwa kudanganya mashabiki wao.
Ninashauri ili kulisaidia soka la Tanzania,sheria zote za mchezo wa soka zifuatwe ili vijana wajifunze kuwa na nidhamu kwenye soka na hata wakishiriki kimataifa wasipate shida kwa sababu...
Wadau na wapenzi wa mpira!
Niiombe TFF fanyeni kazi kwa misingi ya sheria na kanuni!
Ikibaninika na ushahidi ukapatikana aliyeusika kutoa na kupokea wapigwe Ban katika soka letu! Kwani hawa watu ndiyo wanarudishaa maendeleo ya soka letu!
Japo najua ni vigumu sana kuwakamata ila mkiwa wakali...
Ahoua kazi yake ni mcheza mpira,anajua kabisa kufunga goli kwake ni Pesa ,utajiri na maisha mazuri.
Anajua kabisa akifunga goli hasa katika michuano hii ya CAF atazawadiwa fedha nyingi, fedha za mama,mashabiki na wafadhiri.
Anajua jina lake litaandiikwa kwenye vitabu vya CAF,Clabu ya Simba na...
MBEYA KUMENOGA HASWAAA
Leo ndiyo ile siku ambayo uchaguzi wa chama Cha soka mkoa wa Mbeya ulitakiwa kufanyika.
Asubuhi majira ya saa tatu kulitakiwa kuwa na kikao Cha kamati Tendaji lakini baadhi ya wajumbe ambao wako upande wa Elias Mwanjala wakagoma kuingia Kwenye kikao hicho Cha kamati...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inaweza kukabiliwa na vikwazo ikiwa ni pamoja na kufungiwa na Shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya Rais wa Chama cha soka la wanawake nchini humo (LIFF), Kiloway Kiloway kukamatwa na kufungwa Machi 28, mwaka huu.
Olive Kiloha amezuiliwa katika Gereza la...
Mimi sielewi kabisa yaani timu inakusanya mashabiki wake hadi uwanja wa taifa kwenda kupiga zogo HATUCHEZI HATUCHEZI
Halafu wanafunguliwa geti kuingia ndani ya uwanja kupiga kelele hawachezi.
Upande wa pili timu inakusanya wachezaji wake kukwea pipa kwenda egypt kuiwakilisha nchi kwenye...
Naona wachambuzi uchwara wakiwabaga Simba na Yanga kuwa ni wazembe wanashindwaje kumiliki uwanja
Mashabiki kila msimu wanatoa pressure, wanataka timu zichukue ubingwa na kufanya vyema kimataifa
Kumiliki uwanja ni laZima simu ipunguze matumizi ya gharama za usajili, mishahara na benchi la...
Ukiwa shabiki wa soka bila kujali timu unaweza kuliona tatizo kubwa pale TFF ambalo linaweza kuwaingiza kwenye mtego viongozi wakubwa serikalini.
Karia ndiyo chanzo cha tatizo.
Karia ndiyo chanzo cha tatizo sababu amelewa sifa na kiburi.
Hataki kusikiliza au kukosolewa akikosea pale anapokosea...
Niliwahi kusikia kuwa Klabu ya Yanga huhonga Makocha wa Timu za Taifa za Kigeni ili wawaite Wachezaji wao kwa ajili ya Kuwaongezea Thamani katika Mauzo ya baadae na pia kuingozea Thamani Yanga SC Kibiashara na Kimichezo na kwa Kitendo cha Kocha wa Timu ya Taifa za Zambia kuwaita Wachezaji...
Wakristu na Washia kuuliwa Syria march 2025
Vita ilioletwa na wahuthi kusababisha njaa na utapia mlo hapo yemen
Waturuki kuwaua wakurdi kwa mashambulio ya ndege huko syria
Itikadi kali kuvamia kanisa na kuua waumini congo 2025
Magenge kutoka pakistan na nchi za kiarabu nyingine kufanya...
Erling Haaland ni Mchezaji wa kwanza wa Premier League kuhusika katika Magoli 100 akiwa na chini ya Michezo 100 zaidi. Amefunga Magoli 84 na kutoa Asisti 16 katika Michezo 94
Manchester City imefungwa Magoli 40, ni mengi kwa timu hiyo kuwahi kufungwa ndani ya msimu mmoja katika Premier League...
Ni mambo ya kijinga na ya AIBU YANAENDELEA kwenye SOKA LETU
Yaliyotokea Jana n jambo la AIBU SANA SANA kwa viongozi WA soka la Tanzania
Haitoshi nawiwaa na wasiwasi na waziri HUSIKA kukaa kimya SWALA kama hili ni kuendelea kudumisha ushenzi unaoendelea kwenye SOKA la Tanzania
Binafsi kama MH...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.