Familia ya mpira⚽️ karibuni kwenye channel yetu ya whatsapp kwa maudhui ya kipekee kwa lugha ya kiswahili
Taarifa za mechi lini anacheza nani matokeo yamekuaje unaweza kupata popote ila taarifa zenye ladha na shule nyingi ndani yake ndugu zangu wa football ni hapa🙇
Kipindi hiki cha...
Hatimae kiungo bora mkabaji wa muda wote, Segio Busquets ametangaza kustaafu soka kufikia mwisho wa msimu.
Busquets ambaye huwa anacheza kiungo mkabaji, amefikia uamuzi huo katika umri wa miaka 37.
Ni mshindi wa Kombe la Dunia la mwaka 2010 akiwa na Timu ya Taifa ya Spain katika fainali...
Kipindi cha nyuma tuzo zilikuwa zikitolewa kwa wakati, ila kuna kiongozi akasogeza mbele utaratibu wa tuzo kwa kigezo cha kuboresha, sasa unajiuliza huyo kiongozi alikuwa.
Anafahamu sababu zilizosababisha tuzo hizo kutolewa mapema? Aliweka katika consideration na alitazama mbele kwamba kwa...
Miaka 90 si haba..! Kwa michuano ya ndani kama NBC na CRDB si haba inayo mafanikio pia ingawa inajulikana michuano ndani kuna janja janja nyingi, sasa Kimataifa tupoje.?
Simba yenyewe inaendelea kujivinjari nafasi za juu Ranking za CAF Kwa Ubora wa Kusakata Kabumbu barani Afrika, wakati fulani...
Barua husika hiyo OFFICIAL statement from CAF.
The body will release the same Next Week.
CAF DECISION STATEMENT
Following a thorough review of the FIFA match report, referee assessments, and official video footage of the CAF Africa Cup of Nations Qualifier between Kenya (Harambee Stars) and...
Ikiwa ni mwanzo kabisa wa msimu mpya wa mashindani mbalimbali ya soka ulimwengu, na baadhi ya mashindano makubwa na maarufu ya mchezo wa soka yakiwa tayari yameisha anza kutimua vumbi rasmi na mengine yakiwa mbioni kuanza katika siku chache zijazo. Sio vibaya kwa muda huu kufahamishana na...
TANGA; RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amemteua tena Athumani Nyamlani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa shirikisho hilo.
-
Kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Rais anateua wajumbe wanne wa Kamati ya Utendaji ambao wanathibitishwa na Mkutano Mkuu wa TFF na miongoni mwa...
Na nina uhakika CV yako kubwa na nzuri uliyoijenga huko Kwingineko inaenda Kuharibika rasmi hapa Tanzania. Mimi GENTAMYCINE ninayeandika hivi naijua Michezo michafu yote ya Simba na Yanga na ya Ligi Kuu ya Tanzania na ndiyo maana unaona nasema tena kwa Masikitiko makubwa kuwa nakuonea Huruma na...
Rais wa Yanga Eng Hersi Said ni genius katika uongozi wa football
Ni kiongozi Bora Taifa limepata Ameitengeneza Yanga imara sana
Leo tazama wachezaji maingizo mapya
1. Mohamed Doumbia
Huyu jamaa ni kama Pacome au zaidi ana akili ya mpira ameziba vyema pengo la Aziz ki
2. Andy Boyeli
Striker...
Wakati wazazi wao wakiwa ni maarufu kwa makubwa waliyoyafanya kwenye mchezo wa soka, wao wameshindwa kufikia angalau nusu ya mafanikio ya kile ambacho baba zao walikifanya walipokuwa wakicheza.
Enzo Zidane mtoto wa Zinedine Zidane ‘Zizzou’, Romeo Beckham mtoto wa David Beckham na Cristian Totti...
Nimekua nikitamani sana kuona wachezaji wenye asiri ya kiarabu katika nchi yetu bila mafanikio sijui kuna tatizo gani, kuna wakati simba walijaribu kidogo kwa golikipa ayoub na sijaona muendelezo wake,
Je hii ni kutokana na mazingira ya hali ya hewa, uchumi kuwa mdogo kwa vilabu vyetu hivi vya...
Timu za Simba SC, Al Ahly, Esperance, Mamelodi Sundowns na RS Berkane hazitaanzia hatua za awali kwenye michuano ya CAF Champions League msimu wa 2025/26.
Timu hizo pia zitapokea kiasi cha pesa Dola 100,000 kutoka CAF kwa ajili ya maandalizi ya mechi zinazofuata za michuano hiyo kuanzia msimu...
Kwa mara ya kwanza, China imeandaa mechi ya soka inayochezwa na roboti wa umbo la binadamu (humanoid robots) wanaojiendesha kikamilifu kwa kutumia akili bandia (AI), bila msaada wa binadamu wakati wa mchezo.
Kwa mujibu wa shirika la habari la Associated Press (AP), mechi hiyo ilifanyika...
Juzi palikuwa na msiba wa mzee Ally Pazi Samatta,,media zote zilitoka na kumuaddress kama baba mzazi wa Mbwana Samatta it's true but hamna anaekumbuka kuwa mzee Samatta ni gwiji mstaafu wa soka la nchi hii?
Amekuwa kamptain wa Simba na Taifastars for more than 5 years hilo...
Kwamba huyu Bwana ndo star wetu..!
Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ...
Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...!
Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea.
Lipo la kujadili hapa...
AMEANDIKA AHMED ALLY
Nimeona taarifa kutoka kwa @jemedarisaid kuhusu Nyuma Mwiko kumuwekea pingamizi Mgombea Urais wa TFF Wallace Karia, sina mashaka na taarifa zake lakini kamati ya uchaguzi ya TFF itatoa taarifa ya uchaguzi na tutathibitisha zaidi
Kitendo cha Nyuma Mwiko kumwekea Wallace...
Katika ulimwengu wa soka, mijadala ya nani ni bora kuliko mwenzake huwa haikwepeki. Kwa sasa, gumzo limekuwa kati ya wachezaji wawili mahiri: Pacoume Zouzou na Mpanzu. Wote ni wachezaji wenye vipaji, lakini katika makala hii tunachambua kwa undani sababu zinazomfanya Pacoume kuwa juu zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.