software

  1. Kama unahitaji kompyuta desktop, laptop, na software / programu

    Kama unahitaji kompyuta desktop na laptop ,na software / programu nicheki ,mkoa wa dar es salaam mikoani tunatuma kwa uaminifu
  2. M

    Ai IMEDONDOSHA BOMU LA NUCLEAR! 💣🔥 Mtu mmoja atumia Ai kutengeneza mbadala wa software za Adobe bure - Photoshop, Premiere Pro, Illustrator, n.k.

    Adobe imekuwa ikilalamikiwa na baadhi ya watumiaji wake kutokana na gharama za usajili na ada za kughairi huduma. Brandon Thomas ametumia uwezo wa AI kutengeneza programu zinazolenga kuchukua nafasi ya bidhaa mbalimbali za Adobe zitazokuwa bure na wazi, bila kuhitaji kulipia usajili. Watumiaji...
  3. M

    Ni tamaa za wahindi walioanza kuwa ceo wa makampuni ya tech au? kwanini sikuhizi software nyingi unalipia kila mwezi au mwaka badala ya moja kwa moja?

    Hapo zamani softwares nyingi zilikuwa za kulipia moja kwa moja, sikuhizi ni monthly / Annual. Na ukiangalia makampuni mengi sikuhizi ya Tech, Ma Ceo ni wahindi
  4. Leo ni siku ya Programmer's Tanzania

    Leo ni siku ya watu wanaogeuza mistari ya code kuwa teknolojia inayotumika kila siku. ❤️‍🔥 Kutoka kwenye Apps 📱, Websites 🌐, Games 🎮 hadi AI 🤖 nyuma ya kila teknolojia nyingi tunazozitumia kuna programmer aliyekaa chini na kuandika code. Na cha kushangaza? 😮 256 si namba tu… ni siku...
  5. SOFTWARE Tally accounting package software training course

    Module 1: Basics of Accounting Learn accounting principles, concepts, and conventions. Understand the double-entry bookkeeping system. Classify types of accounts (Real, Personal, Nominal) and rules of debit and credit. Module 2: Introduction to Tally & Company Setup Install and navigate the...
  6. SOFTWARE Project management Solutions- Microsoft Project Management Software

    Module 1: Getting Started & Interface Explore the user interface, ribbon tabs, and backstage view. Set up a new blank project and define project start/finish dates. Configure project calendars, working days, and non-working holidays. Module 2: Creating the Work Breakdown Structure...
  7. Software Developer natafuta fursa ya kazi, projects au washirika wa biashara - nina mifumo 6 niliyoiendeleza

    SOFTWARE DEVELOPER NATAFUTA FURSA ZA KAZI, PROJECTS AU WASHIRIKA WA BIASHARA – NINA MIFUMO 6 NILIYOENDELEZA Habari wana JamiiForums, Mimi ni Software Developer mwenye uzoefu wa kutengeneza mifumo ya kisasa ya Web Applications kwa ajili ya biashara na taasisi mbalimbali. Kwa sasa ninatafuta...
  8. Forwarding and clearing software

    Kwa wale wadau wa CLEARING AND FORWARDING COMPANIES AND AGENTS, Nimewaletea mfumo unaotatua matatizo yenu yote.. huu mfumo una kila kitu cha kukuwezesha kuwahudumia wateja wako kwa ufasihi, mteja anaweza kujua hali ya mzigo/container yake, picha inaanza: 1. Dashboard: hii inakupa summary ya...
  9. M

    Kati ya Computer science na software engineering ipi ni kozi nzuri

    Habari ndugu. Kama kichwa kinavojieleza hapo juu ipi ni kozi nzuri kati ya Computer science na software engineering
  10. I'm a Software Developer, I need help

    Hello bosses, Natumai mu wazima, na wagonjwa Mungu awajalie afya njema. Napitia mabadiliko makubwa maishani mwangu. Nilijiunga na kampuni fulani ya logistics mwaka jana kabla sijamaliza chuo. At first maisha yalikuwa mazuri sana; salary na bonuses. Ila kadiri muda ulivyoenda employees tuliona...
  11. Wadau wenye software ya office suite naombeni copy

    Nina shida na Microsoft office suite iliokamilika. Kama kuna link au source
  12. R

    Dini Pro - Kurani app ya Kiswahili

    Nimetengeneza app ya Kurani ya Kiswahili inaitwa Dini Pro Unaweza kufanya yafuatayo kwenye app yangu Kurani Tukufu (Soma na Usikilize): Soma Surah zote kwa urahisi na usikilize sauti popote ulipo. Mwelekeo Sahihi wa Qibla: Pata mwelekeo wa Qibla kwa haraka na usahihi mkubwa haijalishi uko...
  13. Video Editors na Content Creators: Una edit video zako kwa kutumia software gani?

    Wanaopenda kuedit video, for fun au kwa biashara. Unatumia software gani? Free, paid au cracked? Natumia Windows Laptop sio Mac. 16 GB RAM inatosha au nipande juu? Kwa sasa najifunza color grading, Natumia CapCut na LUT za watu najaribu kufanya mwenye mdogo mdogo, inafaa kwa kufanya manual...
  14. Mabadiliko ya Teknolojia na Nafasi ya AI katika Software Development.

    Kadri mabadiliko ya teknolojia yanavyozidi kushika kasi, ndivyo yanavyozidi kuleta athari chanya au hasi katika nyanja mbalimbali za maisha ya binadamu. Katika uwanja wa software development, mabadiliko haya yamejidhihirisha wazi wazi, hasa kupitia ujio wa Artificial Intelligence (AI) na ndio...
  15. Kuna madhara gani ya kutumia simu zisizopokea new software updates au security updates?

    Kama kichwa cha uzi hapo juu kinavyoelezea, tuchukulie mfano simu ya Samsung Galaxy S22 ultra ambayo mara ya mwisho imepokea system update mwaka jana huku ikitarajiwa kutokupokea tena security updates ifikapo 2027. Je simu kama hiyo na nyingine nyingi zisizopokea updates tena zina effects gani...
  16. Need Testers? Share Your Software Here | Weka Software Yako | Get Feedback

    Habari Developers, Kama una software/app/project na unahitaji watu wa ku-test na kukupa feedback, iweke hapa 👇 Include: Jina la app/project Link ya ku-download au ku-access Platform (Web, Android, iOS, Desktop, n.k.) Unachotaka kitestiwe (bugs, UI, performance, au vyovyote, n.k.) Testers...
  17. A

    Ndugu zetu wa Kenya wanataka integration ya software kama Haki za binadamu sio hardware kama passport

    Ndugu zetu wa Kenya wanataka integration ya software kama Haki za binadamu sio hardware kama passport au mambo ya common market, hayo yatakuwa Tu yenyewe tukiwa, tunataratibunnzuri za maisha.
  18. R

    Game la Drafti - Checkers/Draughts/Dama: Backrow Rush

    Kuna Game la Drafti linaitwa Backrow Rush ni zuri sana. Linapatikana Play store kwa jina Backrow Rush Naomba msaada wa kulijaribu na mnipatie maoni yenu kipi cha kuboresha na kuongeza. Kwa sasa inafanya yafuatayo. Wachezaji Wengi Mtandaoni (Online Arena) – Cheza na wachezaji kutoka sehemu...
  19. S

    Skybooks Software : Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Sahau kuhusu kalamu na daftari

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa urahisi kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
  20. Skybooks Software : Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…