Ukiwa na mpenzi au mwenza wako kwenye marital bed, ni busara kuweka simu kwenye vibration. Mihangaiko ya mchana kutwa inachosha, na usingizi ni njia pekee Mwenyezi Mungu alituwekea kupunguza uchovu bure bila gharama.
Kuna wale wanaotegemea simu za biashara ya kazi na nyingine huingia hata saa...
Hayawi hayawi yamekuwa baada ya Mwamedi kuikacha team na hali kuwa mbaya huku vi akiba vikiisha kabisa,Said bagalile a.k.a Hamis Kigwangwala alitoa sharti kwamba wampigie simu kama wana shida yeye asaidie usajili na mengineyo .....yote hayo aliyasema huko jamhuri ya twitter katika juhudi zake za...
Mvulana mwenye umri wa miaka 17 anasakwa kwa tuhuma za kumuua binamu yake kwa kumchoma mshale upande wa kushoto wa kifua wakati wakigombania sehemu ya kuchaji simu zao.
Tukio hilo limetokea Mji wa Kaimosi Nchini Kenya ambapo, Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) imesema mshukiwa alimuua Josephat...
Inakuwaje mtu umechukua line ya mtandao fulani ukawa unatumia lakini kuna uwezekano kibinadamu kuna sababu mbalimbali kiuchumi hali ngumu au ukaugua muda mrefu kiasi kwamba huwezi hata kutumia simu kwa maana ya kununua hata vocha. Sasa baada ya siku au miezi kadhaa unaambiwa namba yako amepewa...
Jamaan wadau wa humu JF jukwaa la matangazo madogo madogo habari za muda huu
Kiufupi ni kwamba nahitaji simu nzuri upande wa camera, processor na storage kuanzia 64GB na pia iwe ina betri lenye uwezo wa kukaa na chaji muda mrefu yaani haiishi chaji kwa haraka angalau kuanzia...
Dar es Salaam, Tanzania, 06 Julai, 2022- TECNO Mobile Tanzania, chapa ya simu za kisasa na bora duniani ambayo imekuwa ikitoa teknolojia ya kisasa zaidi kwa watumiaji, leo imetangaza uzinduzi wa toleo lake la CAMON 19 kwa kushirikiana na Vodacom. Toleo la CAMON 19 limekuja ili kukabiliana na...
Yaani unamiliki Simu ya Tsh 700,000/= halafu unaingia Mghahawani Kula unakosa Hela ya 'Kiepe' na kusubiri 'Kudoea' kwa Shoga (Rafiki).
Na ndiyo hawa hawa hata ukikutana nao katika 'Daladala' wanatumia muda mwingi kutafuta "timing' ya Kumkwepa Kondakta ili tu asimlipe Tsh 400/= yake.
Na hata...
Habari za humu wanaJF
Niende moja kwa moja kwenye mada najua kuna bunifu mbali mbali zimekuwepo na zinaendelea kubuniwa na zinasaidia kiujumla,
Ila hii ya kwangu ni yakipekee na inahitaji tu maboresho
Niliwahi ipeleka shule moja ya ufundi hapa Dar ila waliipotezea
Huu ubunifu nilitumia muda...
Wakuu habari za masiku nilikua naomba msaada mimi ni fundi simu nilikua nimeandaa bajeti ya. Milioni 1 nataka kuboost ofisi vifaa navyotaka kuongeza NI UFI Box,Digital Power Supply na Short killer. Hiyo bajet kwa dsm naona kama haitoshi UFI Box tu kwa dsm ni 750000.
Nilikua naomba kujuzwa na...
Huu msemo origin yake ni nini na wapi? Nimekuwa nikiusikia mara kwa mara na una sound funny, nimetamani kujua ni sauti ya nani na umeanzia wapi!
Wakatabahu!
Habari ndgu wana jamii forums,
Niende moja kwa moja kwenye mada kama nlivyoanza kutoa tahadhari
Kwa ufupi ni hivi, usimpe simu janja yako mtu usiemfaham aitumie kwa namna yoyote ile la sivyo ikitokea unataka kumpa basi hakikisha unakua makini kwa kile afanyacho,
Je, unajua mtu anaweza kubeba...
Wanaoijua hii simu nahitaji msaada wenu,
Je, ni simu nzuri? nimeifuatilia mtandaoni inaonekana nzuri ila nahitaji wazoefu ambao wamewahi kuitumia kabla sijajilipua kuinunua.
Mtu mmoja alieyefahamika kwa jina la Mwidini SaidI (30) Mkazi wa Kitongoji cha Kitumbini, Kata ya Kivinje Wilayani Kilwa Mkoani Lindi amefariki mara baada ya kupigwa na kitu kizito Kichwani walipokuwa wanagombea simu ya marehemu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, ACP Mtatiro Kitinkwi amesema...
Najua kuna umuhimu mkubwa sana wa kulinda simu kwa password sio kwa WEZI tu ila kulinda data zangu pia.
Ila niwape taarifa wezi wote wa simu kwamba, mkiiba simu yangu hamtapata shida ya kwenda kuflash wala nini.
Mniibie tu
NINA UHAKIKA MKIIBA NITAIPATA TU TENA NIKIWA NIME RELAX.. UKIILETA...
Baadhi ya watu watabia ya kuongea na simu na wapendwa wao kwa muda mrefu. Licha ya kupata maumivu ya masikio, kichwa na matatizo ya macho, wataalamu pia wamebainisha madhara makubwa yanayoweza kutokea kupitia simu yako ya mkononi.
Shinikizo la damu
Ripoti iliyotolewa na watafiti kutoka Nchini...
Habarini wanajamvi.
Sijui humu ndani kama kuna mtu amewahi kushinda ama kupata hiyo bahati ya kushinda hela au magari wanayotangaza.Na sijui dhamira yao ni nini.Zimekuwa 'too much' Nani kawaambia kuwa si tunataka hizo bahati nasibu zao.
Hebu tusaidiane jinsi ya kuwablock hawa...
Habari wakuu.
Natumai mpo sawa kabisa, naomba msaada kama kuna App au njia ya kuzuia system apps kama vile calls na sms apps zisifanye kazi kwenye Infinix note 10.
Nimejaribu ku-freezer kwa app ya freezer ila umekataa inaandika not supported.
Kwa anayejua hiko kitu naomba anisaidie tafadhali...
Salaam Wakuu,
Katika kuendelea kukumbushana umuhimu wa kulinda taarifa binafsi, leo nimeona nieleze kwa ufupi suala la wizi wa taarifa binafsi unaofanywa kupitia nyaya za kuchajia simu (USB). Tazama kwenye picha hapa chini:
Picha> USB Cables za aina mbalimbali
Ni wazi kuwa kutokana na sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.