simu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Wale Matapeli wa "ile pesa tuma kwenye namba hii" Wanakula na baadhi ya wahudumu wa mitandao ya simu

    Amini nawaambieni! Wale matapeli wa ile pesa tuma kwenye namba hii wanapata taarifa kutoka kwa baadhi watoa huduma ya simu wasiokuwa waaminifu! Ukitaka kujua hilo! "Ongea dili lolote na mtu kwa simu mufanye kama mnapatana na kuelekezana kwamba akutumie" Baada ya kumaliza mazungumzo utashangaa...
  2. JamiiForums Tanzania Tigo Tanzania mna shida gani simu zinasoma "emergence call"?

    Ndani ya dkk 10 zilizopita mawasiliano yangu na mteja yamekatika nilijua ni tatizo la simu. cha ajabu nikitafuta watu watsap nao wananiambia line yao ya tigo ipo emergence call. Hii ndo line ya huduma ofisini kwangu ntakufaa njaa. Wahusika fanyieni kazi.
  3. JamiiForums Tanzania Kuweni makini na vibanda vya huduma ya pesa kwa njia ya simu, wengi hutoa hela mbovu

    Ni kama vile huwa wanaambiana au wanapeana semina. Hii imenitokea mara nyingi mpaka nilipo anza kuchukua tahadhari. Hii inawahusu zaidi wanao toa kuanzia laki 2, 3 na kuendelea lakini pia hata wanao toa chini ya hapo inawahusu pia. Ni hivi ukienda kutoa hela kuanzia lets say laki 2 au 3...
  4. JamiiForums Tanzania Zile risiti za baa mnazopewa na namba za simu msizidharau, zifanyieni kazi

    Kumezuka na wimbi jipya ingawa kwangu la zamani kidogo Ukienda sehemu ya kula na kunywa wakati wa kulipa unapewa billi Kwa juu imeandikwaa namba yanguu ni hii hapa. Kuna mdada leo amepatata kazi. Nilijaribu kumwombea kazi sehemu mbali mbali leo alipiga mchana njoo sehemu nikauliza kuna shida...
  5. JamiiForums Tanzania Simu zenye teknolojia ya dual speakers na dynamic port

    Katika ulimwengu wa leo wa simu smartphone, zimepelekea makampuni kulenga na kuunganisha teknolojia mpya ya muundo wa kisasa uitwao “sleek design”, huduma za juu kama uwezo mkubwa wa memory katika kuhifadhi vitu, sehemu ya “DYNAMIC PORT”, na umbo jembamba linaloonyesha jinsi teknolojia...
  6. JamiiForums Tanzania App gani za Tanzania unazo kwenye simu yako?

    Na Bwn Kenge! "Entire third world shall change when consumers turn into producers" Ni Maneno ya mwalimu mmoja aliyekua akijibu swali la Mwanafunzi aliye Uliza "Ni lini Africa(Dunia ya 3) itaacha kutegemea Dunia ya kwanza...Mwalimu huyo alijibu ni ile siku watumiaji(Consumer) wageukapo...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Je naweza kupata huduma ya E-sim kwa simu ya namna hii?

    Habari waungwana! Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Nahitaji kutumia huduma ya E-sim ambayo siku hizi makampuni yetu ya huduma za mawasiliano yameileta nchini. Je, kwa simu aina ya samsung A04 ina support kupata huduma hii? Nimeona nije kwa wajuzi wa haya mambo. Karibuni kwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania HESLB. Malalamiko kuhusu kubadilisha namba ya simu

    Habari Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo Cha utumishi wa umma (TPSC). Mimi ni mnufaika wa mkopo kwa bahati mbaya namba yangu ya simu ilikosewa wakati wa usajili, nmefatilia Sana bodi ya mkopo ili nibadilishe namba ya simu imeshindikana naambiwa watafanyia kazi lakin mpk leo Amna...
  9. JamiiForums Tanzania Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi

    Ndugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja. Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida...
  10. JamiiForums Tanzania Mke ajiua kwa sumu ya Wadudu baada ya kupekua na kusoma SMS kwenye simu ya mumewe

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma (ACP) Marco G. Chilya akielezea kuhusu tukio hilo Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Marietha Bosco Sagana (32) Mkazi wa Kitongoji cha Matarawe, Kijiji cha Marungu Kata ya Tingi Tarafa ya Mpepo, Wilaya ya Nyasa amefariki Dunia wakati anapatiwa matibabu...
  11. JamiiForums Tanzania Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Wapendwa week end inaendaje? Wanasema kizuri kula na mwenzako....na nomeona niwashirikishe fursa hii adimu hasa kwa wale wanaofika kariakoo na kujikuta wanauziwa bei ghali kuliko hata huku mtaani... [emoji117][emoji117][emoji117] SOMA HAPO UKIPENDA SAWA USIPOPENDA PITA KIMYA Ngoja nikupe...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye namba ya simu ya mkononi ya receptionist PSRS

    Habarini wadau naomba kwa mwenye namba ya mpokezi pale sekretarieti ya ajira anisaidie Juzi nilikuwa pale nilisahau kuchukua, lengo nataka niwe namwuliza maswala yangu ya ajira. Niliitwa katika taasisi hiyo nipeleke changamoto na malalamiko nilijibiwa vizuri ila tu nilichoona haswa nilipaswa...
  13. JamiiForums Tanzania Je, hakuna uwezekano wa mitandao ya simu kuruhusu kufuta au kuhariri ujumbe mfupi (sms)?

    Sina ujuzi wowote kwenye masuala ya mawasiliano lakini najaribu kuwaza kama kwenye WhatsApp kila siku maboresho yanafanyika why not kwenye jumbe za kawaida za simu? Kwani hakuna uwezekano wa kutufanyia tuweze kurekebisha ujumbe tunaotuma. Kwa mfano mngeweka mtu aweze kuhariri au kuufuta kabisa...
  14. JamiiForums Tanzania Warranty ya simu refubrished ina msaada kwa mnunuzi endapo muuza simu akikataa kuitimiza pale simu itakapohitaji warranty?

    Habarini wakuu wa tech Tanzania, Kulingana na nilivyouliza swali hapo juu kwa yule mwenye uzoefu aliyekwisha wahi kukutana na kadhia kama hiyo.
  15. JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya Tsh. 300,000/- naweza kununua simu gani nzuri mpya au used?

    Wakuu habari za muda huu, Kwa wale wajuzi wa simu naombeni mnipatie muongozo wa aina gani ya simu ninunue kwa bajeti ya 300,000/- mpya/used. Vipaumbele vyangu ni; 1. Battery nzuri at least kuanzia 2500Mah na kuendelea. 2. Simu iwe na display nzuri. 3. Iwe na camera nzuri. 4. Internal...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kutoa matangazo uchwara kwenye simu yangu?

    Kwema, Msaada jinsi ya kutoa matangazo uchwara kwenye simu yangu. Yaani nikiwasha data matangazo ya hovyo yanakuja mara 1× bet, yaani ya hovyo hovyo tu. 😫😫😫 Msaada please.
  17. JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi mzuri wa kuflash simu

    Habarini wanajamvi, nina simu BASIO KYV43 ambayo nilikuwa nahitaji kuiflash. Kwa bahati mbaya nimeenda kwa mafundi wawili wamehangaika mwisho wakashindwa. Kama kuna fundi (Dar es Salaam) anaweza kuflash simu hii basi anipm ili tufanye kazi. Pesa ipo mfuko wa shati
  18. JamiiForums Tanzania Mafundi simu (software) pitieni hapa

    Mafundi simu
  19. H

    JamiiForums Tanzania Kutuma pesa mitandao ya simu ya Tanzania ukiwa Kenya

    Habari wana JF Naomba uzoefu Kwa mtu ambaye amekuwa akisafiri kwenda Kenya na ana akaunti NMB je akiwa Kenya aliweza kutumia huduma za kwenye app ya NMB mfano kutuma pesa kwenda mitandao ya simu? Kwa kifupi issue yangu iko hivi nina akaunti NMB nitaenda Kenya hivi karibuni nikiwa huko nitakuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ogopa Mkopo wa simu Airtel ikishirikiana na Watu Credit, wamsababishia baba shida

    Wakati Baba anahudumiwa, aliambiwa atarejesha Tsh. 13, 600/= kwa wiki. Lakini Baba ametumiwa mkataba kwa njia ya mtandao, alipoufungua amekuta amesainiwa fomu yenye makato ya Tsh.14,300/= kwa wiki, tofauti na aliyofahamishwa, na mkataba haubadilishiki. Imekula kwa Baba.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…