simu

  1. JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge Tulia Ackson ashitakiwa Kwa Wananchi , namba yake ya simu yawekwa hadharani

    Pamoja na mambo Mengine kwenye viwanja vya furahisha Mwanza Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amewaagiza wananchi kumpigia simu Spika huyo ili kumlazimisha awaondoe Bungeni wabunge 19 maarufu kama COVID 19 , ambao amedai wamewekwa bungeni humo kinyume cha sheria Mnyika amedai kwamba ni vema...
  2. JamiiForums Tanzania Suala la Waziri Mkuu kununua simu kwa mkopo Vodacom ametupiga

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika Mkutano wa Future Ready Summit, unaofanyika JINCC likifandhiliwa na Vodacom, Stanbic, WB nk amesema amenunua simu kwa mkopo kwa kuwa hakuwa na cash. Hili suala ametupiga, naona ni namna yake ya kusifia Vodacom ambao kwa hapa ndio wadhamini wakuu. Nakaa...
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi DCI na makampuni ya simu wanavyopata taarifa za maeneo ya Wakenya hata kama GPS na Data zikiwa zimezimwa

    Vyombo vya usalama na makampuni ya simu wanaweza kutumia teknolojia kupata mahali ulipo kwa madhumuni mbalimbali. Katika mazingira ambayo teknolojia ya kidijitali yanabadilika kila wakati, uwezo wa kubainisha eneo la mtu umekuwa zana muhimu kwaajili ya utekelezaji wa sheria kwenye idara kama...
  4. JamiiForums Tanzania Ukiona hupigiwi simu, status huwekwi, huna likes kwenye mtandao ya kijamii ujue thamani yako imeisha

    Ukitaka kujua watu wanakuchukulia vipi pindi umeishiwa au umefulia kabisa simu yako haipigiwi kama zamani, hata wale matapeli wa tuma namba hii nao wananyamaza. Kwenye mitandao ya kijamii napo ukipost unaweza kukuta like chache tena za wasiokufahamu. Kipimo cha maisha yako kwa sasa ni kidigitali.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na rafiki ambaye kila ukiona tu simu yake unajua ana shida na inakuwa kweli

    UMEWAHI KUWA NA RAFIKI AMBAYE UKIONA TU SIMU YAKE UNAJUA NI YA SHIDA. Taarifa mbaya kuhusu watu hao ni kuwa sio marafiki bali wanakutumia tu kwa maslahi yao mapana. SIFA ZA WATU HAO 1.Wakiwa hawana shida wanapunguza ukaribu kwako tena wanakuwa bize hatari. 2.Wakikaribia mazingira ya...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta: Nawezaje kucheza game ya kwenye simu yangu kupitia smart tv yangu

    Wakuu, Nina Smart tv hapa inch 32 ( Alitop ). Naomba kuelekezwa jinsi ya ku-connect simu na tv Ili nicheze game kwenye simu ila display ionyeshe kwenye tv. NOTE: Tv ni Alitop , simu ni Infinix hot 20i
  7. JamiiForums Tanzania Upacha mpyq wa mgao wa namba ya simu na mpango kazi wa maokoto

    Wanawake Mungu anawaona unakuta kadada kana sura na muonekano wa kilokole, thubutu !!! Kachatishe Whatsapp au normal text ndio utajua wanawake ni mashetani yaliojificha kwenye miili ya watu. Sasa msitulaumu tukiwanyanndua na kusepa nina hasira kuna pisi nilikuwa na mpango wa kukaa yenyewe...
  8. JamiiForums Tanzania Dokta Greyson: Kula huku unachezea simu hupunguza nguvu za kiume

    Dokta Greyson Babishomba akiwa anafanya mahojiano na Kituo cha Redio Times Fm, amesema kuwa tabia ya wanaume kula wakati wanachezea simu zao hupelekea tatizo la nguvu za kiume. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kama Makonda ana uthubutu, ajaribu kumpigia Nape simu akiwa jukwaani

    Haitokaa itokee Makonda akampigia Nape simu kama anavyofanya kwa mawaziri wengine. Kwa bifu lililopo kati ya Nape na Makonda sitegemei kuliona hili likitokea. Makonda akiwa RC wa DSM aliwahi kutoa amri haramu ya kumtoa utumbo Nape kwa bastola pale Ubungo Plaza. Shukurani zimwendee Maulidi...
  10. JamiiForums Tanzania SSP. Selestino Sylvester: Kupekuwa simu ya Mwenza wako ni kosa la jinai

    Upo msemo unaosema kuwa ili ndoa iweze kudumu kwa muda mrefu, mke usishike simu ya mme wako, na Mme usishike simu ya Mke wako. Lakini kwa watu wengine Mke au Mme hushika na kuperuzi simu za wenza wao. Mkuu wa Polisi Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu SSP. Selestino Sylvester kwa wenza, amefafanua...
  11. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Energizer imeanza kutengeneza Simu ya Smartphone Yenye Uwezo wa kukaa na Chaji kwa Muda wa usiopungua Siku 50 bila kucharge tena

    Simu kutokaa na chaji huwenda ikawani ni moja kati ya lalamiko kubwa kwa wamiliki walio wengi wa simu janja (smartphone). Vipi ukipata simu ambayo inakaa na chaji kwa muda mrefu, huwenda ikawa ni furaha ya kudumu kwako. Basi fahamu kuwa kampuni ya ''Energizer'' imekuja na aina mpya ya simu...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Suluhisho tatizo la simu kukwama (ku-stuck)

    Habari zenu wakuu, Simu yangu (Infinix Smart 6) inakumbwa na tatizo la ku-stuck mara kwa mara. Nifanyeje kuondoa tatizo hili??
  13. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukosea muamala wa kiasi gani kwenye simu yako?

    Habari za jioni wana JF.. Bila kupoteza muda tujikite kwenye mada, ulishawahi kukosea kufanya muamala wa shilingi ngapi kwenye simu yako? Na je, ulifanikiwa kuipata hela au ndio ilipotea mazima.? Kwa upande wangu, nilishawahi kukosea kutuma kiasi cha elfu themanini ila kwa bahati nzuri ile...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna Uhalali au ulazima kwa kampuni za simu kutoa namba za simu za mtumba (zilizotumika na watu wengine walio hai au kufa)?

    Wasalaam wana JF Nilikua nachangia kwenye uzi mmoja uliokua unajadili ulazima wa kuhifadhi number za simu za marehemu, nikawaza kwa maandishi, JE KUNA SABABU GANI YA KAMPUNI ZA SIMU KUTOA NAMBA ZA SIMU ZA MTUMBA? Kwangu mimi, kumiliki number ya simu ya mtumba (iliyotumiwa na mtu mwingine aliye...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dakika 6 za simu ya Makonda kwa Bashe akidai utatuzi wa bei ya sukari

    Sikiliza Dakika 6 za Paul Makonda akiongea na Bashe kuhusu sukari kwenye video hapa Chini: Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amewahakikishia Watanzania kuwa hali ya upatikanaji wa bei ya sukari itatengemaa ndani ya mwezi ujao akiwataka kutokuwa na hofu Waziri Bashe ameeleza hayo leo Januari 23...
  16. JamiiForums Tanzania Nimepoteza laini ya simu. Natoa ofa ya 100,000/= kwa mtu alieiokota

    Juzi nilidondosha Simu ndogo/Kitochi Nokia 3310.Mda wa saa Kumi jioni. Maeneo ya Mwera darajani Kibada(Kigamboni) kabla ya kulikaribia Daraja Au Baada ya Daraja Mitaa hiyo. Hiyo line Ni ya Halotel inapasswed. Kama Kuna mtu ameokota Natoa Offa ya Tsh 100,000/= #Nitaifuata hapo kwa Gharama za...
  17. JamiiForums Tanzania Line ya Simu Cm Card. imepotea Mtu ambayo ameokota. Kuna Offer Tsh 50,000/=

    Juzi nilidondosha Simu ndogo/Kitochi Nokia 3310.Mda wa saa Kumi jioni Maeneo ya Mwera darajani Kibada(Kigamboni) kabla ya kulikaribia Daraja Au Baada ya Daraja Mitaa hiyo. Hiyo line Ni ya Halotel inapasswed. Kama Kuna mtu ameokota Natoa Offa ya Tsh 50,000/= #Nitaifuata hapo kwa Gharama...
  18. JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali apiga Marufuku Watoa Huduma za Afya kuongea na Simu Binafsi Kazini

    Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Nagu, ametoa agizo la kupiga marufuku matumizi ya simu na mazungumzo ya kibinafsi kwa watumishi wa afya wakati wa kazi katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini. Agizo hilo limekuja baada ya ongezeko la malalamiko kutoka kwa wananchi kuhusu udumavu...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya mawasiliano ya simu mnapopunguza dakika vifurushi vyenu toeni taarifa pia

    Salaam humu. Kuna jamaa amekuja kwangu nimuungie kifurushi kwenye mtandao mmoja pendwa nikajifanya kama mjuaji sana na madoido yangu nikamuungia akaondoka zake. Baada ya dakika tano karudi analalamika nimemuungia kifurushi siyo chenyewe kuja kuangalia kweli dakika zimepungua nikatoa macho...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na simu haina bando la mawazo waweza stuka umelala saa kumi alfajiri, wewe ni mmojawapo?

    Muda huu ni saa tisa na nusu nipo kwenye internet tangu saa tano nilipoingia kitandani. Nahama mitaa ya reddit naingia youtube, naingia Twitter, naingia Netflix, sasa nimekuja kuchungulia JF Hali hii tunaipitia wangapi? MUHIMU: Sijaajiriwa nina biashara yangu nayoamua niende muda gani naotaka.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…