simu

  1. JamiiForums Tanzania Wakala wa Vipimo (WMA) kufanya uhakiki wa Mita za Umeme, Maji na Mabando ya Simu

    Wakala wa Vipimo (WMA) imesema kuwa ipo katika mpango wa kuanza kufanya uhakiki wa Mita za Umeme na Maji ambazo tayari zimefungwa kwa matumizi sambamba na kuanza ufuatiliaji wa kuhakiki wa mabando ya simu ambayo yamekuwa yakitolewa. Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa WMA, Alban Kihulla, akizungumza...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Anaejua soko la simu used bei kitonga

    Nataka kuanza kuuza simu used, anayejua soko au wapi wanauza bei ya jumla iwe ndani ama nje ya nchi anipe A to Z....🙏🙏🙏🙏
  3. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Simu za kukuokoa na chaji zinauzwa zipo kama apple Elfu 75 tu vinashape nzuri sana

    Elfu 75 tu. Specifications: WHATSAPP TU: 0687746474
  4. JamiiForums Tanzania Simu za mkopo pasua Kichwa

    Haki ya nani, Leo nimeingia duka la simu za mikopo, nimekuta simu ya 280k kesh. kwa miez 12 ni 420k yani nusu kwa nusu duh. Aisee.
  5. JamiiForums Tanzania nikipiga simu kwa mpenzi wangu akawa anatumika nakuwa na mwazo sana

    twajibiii mimi nikimpigia simu mtu wangu akawa anatumika nakuwa na mawazo na hasira juu nawaza vingi sana anaongea na nani? wanaongea nini? inamaana kuna mtu yupo wakumpigia simu na kuongea nae mda wote mm ananichukuliaje? na asipo jibu sms ndio kuzidi nahisi kuna mtu bora zaidi yangu...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza swali kwenu mawakala wa mitandao ya simu

    Je, wakala wa mitandao ya simu inawezakana kulipia bill ya Maji DAWASCO ama Kulipia DStv kwa kutumia M-pesa, Tigo pesa, Airtel Money, au Halopesa. Na je pia unaweza kununua umeme kwa kupitia njia hizo ukiwa kama wakala. Hapo anakuwa mteja amekuja ofisini kwako anaomba umpatie huduma hizo je...
  7. JamiiForums Tanzania TUNAFANYA EXCHANGE AU TOP UP ZA,SIMU PIA TUNATENGEZA VIOO VYA SIMU AINA ZOTE JIJINI ARUSHA

    Habari, Wakuu humu jamii forum Simu yako ya zamani au unayoitumia unaweza kubadilisha na kuchukua simu nyingine, kutoka dukani kwetu kwa kuongezea pesa kiasi ili upate simu nyingine iwe mpya au used. Simu tulizo nazo ni iPhone,Samsung,pixel,Oppo na nyinginezo TUNAPATIKANA ARUSHA, STENDI...
  8. JamiiForums Tanzania Unajisikiaje pindi unapopiga simu ya mpenzi wako na kukuta inatumika zaidi ya mara 5?

    Kwa upande wangu mimi naanzaga kuwaza negative.... sijui kwenu nyie wadau
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mahouse girl wanaongea sana na simu kama call centre/phone operator

    Toka hii dunia naifahamu nimeweza kujionea watu wanaoongea na simu mara nyingi sana, kwanza ni Hawa watu wa call centre /phone operators wa makampuni makubwa kama TANESCO na mitandao ya Simu, Hawa masaa ishirini na nne ni simu tu , hakuna kingine shift Kwa shift ni simu tu. Ukiachilia watu hao...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Simu ilipokelewa lakini hakusema chochote baadaye nilisikia miguno ya watu wakifanya mapenzi

    MY STORY; Simu ilipokelewa lakini hakusema chochote, badala yake nilisikia miguno ya watu wakifanya mapenzi. Siku tatu baada ya ndoa mke wangu kuniambia kuwa anataka kwenda kwao kumsalimia mama yake kwani anaumwa, nilimpigia simu mama yake na akaniambia kuwa hali yake si nzuri. Nilimruhusu...
  11. JamiiForums Tanzania Fundi simu nisaidie namna ya kubadilisha system file ya Tecno T301

    Shikamoo fundi. Kama wewe ni fundi simu utakuwa unaelewa nini nahitaji. Hapa nahitaji msaada wa kuwrite data (PAC system file (firmware. Na sio kutoa password wala ku Format. Je ni programu gani naweza tumia kwenye kuwrite data system za mediateck (MTK) Tecno 301 na itel 2160. Nimejaribu sana...
  12. Y

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI NINI ILI NIWEZE KUFUNGUA KIWANDA CHA KUTENGENEZA SIMU ?

    Natamani kufungua kiwanda cha kutengeneza simu.Najua kua kila component hutengenezwa nchi tofauti then kuunganishwa, nahitaji vitu gani ili niweze kufungua kiwanda cha Simu ?
  13. JamiiForums Tanzania Msaada simu za tigo

    Wadau naomba ushauri kati ya simu hizi mbili zinazouzwa kwenye maduka ya tigo IPI ni nzuri Energizer u652 na ZTE a35 ninataka kuchukua mojawapo
  14. JamiiForums Tanzania Simu Nokia 106 jumla tsh 19,500 na rejareja tsh 23,000

    WATEJA WANGU WANGUVU NIMEWALETA SIMU ZA NOKIA 106 FULL BOX BEI YA JUMLA TSH 19500 REJAREJA 23000 NIPO KARIAKOO UHURU PLAZA MIKOANI UNATUMIWA KWA UAMINIFU MKUBWA NIPIGIE 0713861567 / 0760081567
  15. JamiiForums Tanzania Tabia ya kupiga simu zaidi ya mara mbili inakera sana

    Upo kwenye shughuli yeyote inayokunyima uhuru wa kupokea simu Upo kazini busy na kazi kiasi cha kuepuka kupokea simu binafsi kwa sababu ni muda wa kumtumikia mwajiri ukihudumia wateja wake Umeamua kuchukua muda wa kupumzika, umechagua kutokusikiliza yeyote ili uache akili yako ipate utulivu...
  16. JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa Open Source ya Symbian: Jinsi Mwelekeo wa Android ulivyoibuka na Kutoa Msaada wa Kizazi Kipya cha Simu za Mkononi

    Symbian OS ilikuwa mfumo wa uendeshaji wa simu za mkononi ulioanzishwa mwishoni mwa miaka ya 1990 na mapema miaka ya 2000, kabla ya Android OS kuingia kwenye soko na ni mojawapo ya mifumo ya kwanza ya uendeshaji kwa simu za mkononi yenye uwezo wa kufanya kazi kama kompyuta ndogo. Iliweza...
  17. JamiiForums Tanzania Pangilia muonekano wa simu yako ya android uwezavyo.

    Hii ni simu yangu ya samsung, nimeifanyia customization kali sana kuanzia wallpaper, icon, renaming nk Ukicheki hapo juu ni scree ya simu yangu ilivyo...prety cool isn't it guys? Hap chini sasa ndio app zinavyo kuwa Una rename app na icon yake
  18. JamiiForums Tanzania Namba yako ya simu unayotumia sasa ulianza kuitumia mwaka gani?

    Mimi nilianza kuitumia mwaka 2008 enzi hizo unasajili bila NIDA na ndiyo laini yangu kuu mpaka leo yaani takribani miaka 16 sasa! Ya kwako umeanza kuitumia mwaka gani?
  19. JamiiForums Tanzania Sasa tunaishi kwa UTU hatuitaji tena dini zenu

    📞SIMU KWA SIR GOD 📞Sir God..si ni wewe ndo unasema umeumba ulimwengu KWA siku 7 📞 Sir God..si ni wewe ulieumba makabila mengi duniani lakini ukachagua ISLAEL kua kabila lako pendwa na ukalitumia kuwapa ujumbe wako 📞 Sir God..si ni wewe ukiachana na waislael na ukaamia KWA waarabu na kumtumia...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Makampuni ya mikopo na matangazo yao ya biashara yanaingilia faragha zetu

    Kumekuwa na tabia ambayo imezidi kumea katika jamii yetu na nchi kwa ujumla kwa makampuni ya mikopo kutuma msg kwenye siku zetu wakitangaza huduma zao. Idara za masoko za makampuni ya kukopesha yamekua yakituma msg kwa wananchi kujitangaza ili kuoata wateja. Hofu yangu kubwa ni wapi wanapata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…