simu

  1. JamiiForums Tanzania Aina 7 Za Simu Kali Kuliko Iphones, Pixels na Samsung Ila HAzijulikani sana Tanzania

    Kwa sasa China ndio nchi pekee inaongoza kuwa na teknolojia kali ya simu . wana brands nyingi ambazo wanatoa simu kali hata kuliko hizi zilizo zoeleka Tanzania. Na leo nitakutajia Aina 7 ya Simu ambazo wabongo wengi hawazijui kabisa na nyingine huuzwa kwa bei ghali zaidi kuliko Iphones . Je...
  2. JamiiForums Tanzania MINARA 758 YACHOCHEA ONGEZEKO LA LAINI ZA MIAMALA YA SIMU

    Minara 758 iliyojengwa katika kipindi cha miaka miwili iliyopita imeongeza upatikanaji wa mawasiliano kwa wananchi milioni 8.5 katika vijiji 1,400, hatua iliyochangia kuongezeka kwa laini zinazotoa huduma za miamala ya simu kutoka milioni 80.98 Machi hadi milioni 87.05 Juni 2026.
  3. JamiiForums Tanzania Tayari ameshanyang'anywa diplomatic passport, simu zake zote, na sasa haijulikani alipo.

    Huwezi kuwa na siri nzito za matukio ya Oktoba mwaka ule, halafu waukuache tu unarandaranda mitaani.
  4. JamiiForums Tanzania Wanahitaji kutumia NIDA yangu kumsajilia mtu mkopo wa simu.

    ni ofisi inayohusika na ukopeshaji wa simu za smartphone..wameniomba wanipe posho kidogo wamsajilie mtu simu ya mkopo vipi mnaojua huwa kuna risk au side effect yoyote kwa namba yangu kutumika?
  5. JamiiForums Tanzania Msaada; biashara ya kuchaji simu

    Wakuu naomba kufahamu mchanganuo wa biashara ya kuchaji simu mtaji, faida, hasara
  6. M

    JamiiForums Tanzania KERO Posta na Simu SACCOS tulipeni pesa zetu

    Saccos ya Posta na simu walipeni pesa zao wastaafu na waliojitoa. Eneo la Mabibo limeshauzwa muda sasa, kwanini mnaomba rushwa na hamtaki kuwalipa haki zao.
  7. JamiiForums Tanzania ๐—ž๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐— ๐—ณ๐˜‚๐—บ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—น๐—ผ๐—ฐ๐—ธ ๐—บ๐˜‚๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ถ๐—น๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ถ ๐—ป๐—ถ ๐—œ๐—ป๐—ณ๐—ถ๐—ป๐—ถ๐˜… ๐˜€๐—ถ๐—ผ ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐˜€๐˜‚๐—ป๐—ด

    Je kati ya Samsung, TECNO, Infinix na Google Pixel nani muanzilishi wa kutumika Mfumo wa App lock kwenye simu za Android ?? Kabla Google Pixel haijaja na Private Space, na kabla mambo ya privacy kuwa sehemu kubwa ya Android, baadhi ya watengenezaji simu walikuwa tayari wanakupa uwezo wa kufunga...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake mnapaswa muelewe hili kwa nia njema kabisa: muda wa kazi simu zinazongatiwa ni za mipango tuu

    Happy Sunday JF Members. Wanawake tunawaheshimu na kuwapenda sana, ila kuna jambo moja mnapaswa kulielewa kwa nia njema kabisa. Muda wa kazi, simu na SMS za mara kwa mara za kusalimiana tuu hazimaanishi kwamba mapenzi yanaongezeka. Kuna muda zinageuka kuwa kero. Ukimtafuta mpenzi wako mara...
  9. JamiiForums Tanzania Hiki kilio cha Pipytida ni kunyang'anywa simu na polisi tuu au Kuna kingine?

    Kuonyesha unapata mafanikio, unajenga manyumba na kununua magari kwa kukata kiuno hapo ndio shida ilipoanzia. Hii nchi kila mtu atakuja kua mwanaharakati ni suala la mda tuu.
  10. JamiiForums Tanzania ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฃ๐—ถ๐˜…๐—ฒ๐—น ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐˜„๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ ๐— ๐—ณ๐˜‚๐—บ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—”๐—ฝ๐—ฝ ๐—น๐—ผ๐—ฐ๐—ธ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜€๐˜‚๐—ฏ๐—ถ๐—ฟ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐Ÿ˜ฑ

    Hatimaye Google inaongeza kipengele ambacho watumiaji wengi wa Pixel wamekuwa wakikisubiri kwa muda mrefu! ๐Ÿ˜๐Ÿ“ฑ Kupitia Android 17 QPR2 Beta 3, simu za Pixel zinaanza kupata uwezo wa kufunga apps moja kwa moja kwa kutumia Fingerprint, PIN au Pattern. Sasa unaweza kulinda WhatsApp, Gallery...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini makampuni ya simu mmeruhusu kusajili line za matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation, ili wawatapeli wananchi?

    Vodacom Tanzania, mmewasajili matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation
  12. JamiiForums Tanzania Ofisi za Serikali zipo lakini simu hazipatikani: Kero kubwa kwa wananchi wa Tanzania

    Hili ni kero kubwa sana kwa wananchi, kwa sababu simu za ofisi za Serikali zinapaswa kuwa moja ya njia rahisi za mwananchi kupata huduma bila kulazimika kufika ofisini. Tatizo linapojitokeza kwamba namba za landline za Halmashauri, Manispaa, Majiji na mashirika ya umma hazipatikani, hazipigi...
  13. JamiiForums Tanzania Ulikuta nini kwenye simu yake na kikabadilisha kabisa jinsi unavyomuona mpenzi wako?

    Naomba nianze na mimi Mimi alinipa simu yake nimuungie bando la Airtel Nikaona text imepop up kwa juu imeandikwa "Happy Anniversary baby, Cant wait to see you tonight" Nikameza mate nikanyamaza, sikumwambia chochote. Wiki inayofuata nikamtoa out, nikamwambia nilichokiona kwenye simu yake...
  14. W

    JamiiForums Tanzania MASTERCLASS: Jinsi ya Kutumia Samsung Modes & Routines Kuimarisha Ulinzi wa Simu Yako

    Modes and Routines (Zamani zikiitwa Bixby Routines kwenye simu za Samsung) ni kipengele kinachowezesha simu yako kujiongoza yenyewe (automation) kufanya mambo mbalimbali kulingana na wakati, eneo, au kile unachofanya. Wazo kuu la kipengele hiki linategemea "Kama (If) ... Basi (Then)": Modes &...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Simu kali: Usijiulize tena simu mpya na used unapata wapi zipo kwetu Havikpro genuine phones Kariakoo

    Wadau wote nawakaribisha kwa manunuzi ya simu na vifaa vya simu na laptop kutoka dukani kwetu utajipatia series mbalimbali za simu hizi SAMSUNG.PIXEL NA IPHONE NA NYINGINE NYINGI.PIA LAPTOP ZA KAZI ZOTE NA DESKTOP ZA NYUMBANI NA MAOFISINI ZIPO BRAND ZOTE Tunapatikana Kariakoo Dsm Huduma ya topup...
  16. JamiiForums Tanzania ๐— ๐˜„๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—”๐˜€๐˜€๐—ถ๐˜€๐˜๐—ฎ๐—ป๐˜ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ผ๐—ป๐—ฑ๐—ผ๐—น๐—ฒ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜‡๐—ฎ ๐—”๐—ป๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฑ ๐Ÿ˜ฑ

    Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android. ๐Ÿค– Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant...
  17. JamiiForums Tanzania ๐— ๐˜„๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—”๐˜€๐˜€๐—ถ๐˜€๐˜๐—ฎ๐—ป๐˜ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ผ๐—ป๐—ฑ๐—ผ๐—น๐—ฒ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜‡๐—ฎ ๐—”๐—ป๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฑ ๐Ÿ˜ฑ

    Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android. ๐Ÿค– Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant...
  18. JamiiForums Tanzania ๐—”๐——๐—ข๐—•๐—˜ ๐—ฆ๐—”๐—ฆ๐—” ๐—œ๐—ก๐—”๐—ฃ๐—”๐—ง๐—œ๐—ž๐—”๐—ก๐—” ๐—ž๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜ ๐—–๐—›๐—”๐—ง๐—š๐—ฃ๐—ง๐Ÿ‘‹

    Sasa hivi mambo yamebadilika kabisa! ๐Ÿ˜ฑ Adobe imeleta tools zake ndani ya ChatGPT, ikiwemo Photoshop, Firefly, Premiere, Acrobat na Adobe Express. ๐ŸŽจ๐Ÿ“ธ๐ŸŽฌ Kuanzia Agosti 6, 2026, Adobe imeleta Adobe plugin ndani ya ChatGPT, ikiwa na zaidi ya tools 70 kutoka kwenye ecosystem yake. ๐Ÿ–ผ๏ธ Photoshop โ€“...
  19. JamiiForums Tanzania Mliongalia Tamasha la Simba day je,leo simu ilipigwa?

    Salaam wakuu Kama heading inavyojieleza ,vipi leo bi mkubwa alipiga simu kwemye tamasha? Usiku mwema
  20. JamiiForums Tanzania ๐Ÿšจ๐Ÿ˜ฑ ๐—ช๐—”๐—œ๐—งโ€ฆ ๐—ช๐—›๐—”๐—ง?! ๐—ฅ๐—˜๐——๐— ๐—œ ๐—”๐— ๐—˜๐—™๐—”๐—ก๐—ฌ๐—” ๐—›๐—œ๐—ฉ๐—œ?!๐Ÿ‘‡

    Kwa hii Redmi hapa Wamepitiliza Aiseeh ๐Ÿ‘‹ Kuna simu mpya ya Redmi inakuja lakini uwezo wake sasa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ, inaweza kuifanya iwe moja ya simu zenye battery kubwa zaidi kwenye flagship za mwaka huu. Redmi K100 Pro Max 9,070mAh ๐Ÿ”‹ + 185Hz โšก kwenye simu moja?! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ“ฑ inakuja ikiwa na battery kubwa sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ