silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Ukraine limekwama tena, waomba silaha

    Katika hotuba yake ya usiku wa kuamkila leo raisi Zelensky amesema jeshi lake liko kwenye mapambano makali karibu na njia za kuelekea Sloviansk na Kramatosk eneo la Bakhmut, ambalo ni jimbo la viwanda la Donbas. Kabla ya tangazo hilo hapo juzi askari hao wa Zelensky walikuwa wakilalamika...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda ina Silaha za Kijeshi nyingi kuliko nchi zote Afrika Mashariki

    According to the publicly disclosed Military equipment, Uganda leads Kenya Hata hivyo, Uganda ina Budget ndogo zaidi kwa nchi tatu za Maziwa Makuu Kwenye upande wa viwango vya Rushwa
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Zelensky anaposifia silaha za Marekani hana nia nzuri na dunia

    Kila siku raisi wa Ukraine anapotaka kujisifu kuwa amekomboa eneo au tuseme anapopiga propaganda za vita hawachi kusifu silaha fulani aliyopokea karibuni kutoka Marekani au kwa washirika wake. Na anaponyimwa chochote na nchi hizo hawachi kutoa lawama za wazi wazi na vitisho kwa taifa hilo kwa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Urusi: Mtu mwenye silaha avamia shule, aua watu 6 na kujeruhi 20

    Mtu mwenye silaha avamia shule na kuuwa Watu 6 na kujeruhi 20 ========= 6 dead, 20 wounded in school shooting in Russia MOSCOW (AP) — A gunman on Monday morning killed six people and wounded 20 others in a school in central Russia, local police said. Governor of the Udmurtia region, Alexander...
  5. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Vita vya Ukraine: Putin hadanganyi kuhusu matumizi ya silaha za nyuklia, EU yasema tupo wakati hatari.

    Katika hotuba yake isiyo ya kawaida kwa taifa mapema wiki hii, Bw Putin alisema nchi yake ina "silaha mbalimbali za uharibifu" na "itatumia njia zote zinazopatikana kwetu", na kuongeza: "Sidanganyi."
  6. Pile F

    JamiiForums Tanzania Mwendo wa Kupigania Amani, Tatizo la kuondosha Silaha

    Wasalaam wanajamvi... Poleni na majukumu na Mwenyezi awawekee wepesi kila wakati mema yazidi kuongezeka kwa kila mmoja wetu JE MNAAMINI KUWA KUNA UWEZEKANO HALISI WA KUONDOSHA SILAHA ULIMWENGUNI? Uwezekano kama huo upo bila ya kujali kwamba tangu mwanzoni kabisa mwa historia yao, binadamu...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine wazamisha merikebu iliyokua imesheheni wanajeshi wa Urusi na silaha

    Hali inazidi kuwa mbovu kwa Warusi kwenye nchi ya watu..... Ukrainian forces sank a Russian barge transporting troops, equipment and weapons across the major river crossing, Ukraine’s Operational Command South said, according to Pravda Tuesday. "Attempts to establish an alternative crossing...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Papa Francis asema kuipa silaha Ukraine inakubalika kimaadili lakini majadiliano ni muhimu

    Hatari sasa inakuja baada ya papa Francis kutoa tamko kuwa ni jukumu la nchi kuipatia Ukraine silaha ili ijikomboe kutokana na uvamizi wa Urusi. Hayo aliyasema juzi kwa waandishi wa habari akiwa kwenye ndege yake kutokea ziarani nchini Kazakhstan. ======== Jana Alhamis Papa Francis amesema...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Kumbe ndio maana Ukraine waliwaachia Warusi waingie, ili wajichukulie silaha

    Kwenye hili, Ukraine walifanya babkubwa yaani, waliwaacha Warusi waingie na silaha zao ndani kwa ndani, na Warusi walivyo wajinga wakaingiza silaha zao Ukraine kichwa kichwa, ghafla Ukraine wakatiririka kwa mshtuko wa ajabu, Warusi wakakimbia na kuacha silaha zao, Ukraine wamejichukulia zana za...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Oparesheni uhalifu yanasa silaha 997

    JUMLA ya silaha 997 zimekamatwa kutokana na oparesheni mbalimbali za kuzuia na kutanzua uhalifu mkoani Morogoro kuanzia Januari mwaka 2019 hadi Juni mwaka huu. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Musilimu alisema hayo juzi katika taarifa yake kwa mkuu wa mkoa huo, Fatma Mwasa...
  11. Maleven

    JamiiForums Tanzania Live satalite image, silaha mbaya inayomuangusha Russia

    Taarifa ni msingi mkubwa sana katika vita, ukijua audui yuko wapi anafanya nini, anavifaa gani ni rahisi sana kujipanga kujilinda na kupanga kushambulia. Live satalite image imeonesha mchango mkubwa katoka vita ya Russia-Ukraine. Nchi za magharibi zinatumia technolojia hiyo kum locate mrusi...
  12. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Urusi yaishiwa silaha yaamua kuagiza North Korea

    Super power mandonga aishiwa silaha, sasa akipigana miaka 2 si ataishiwa mpaka bunduki, hahaaaa super power wa mchongo anachekesha. Russia to buy North Korean artillery shells, rockets: Report Declassified intelligence from the US says that Moscow is turning to isolated state to secure weapons...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani kuiuzia Taiwan silaha za Dola Bilioni 1.1

    Marekani imeidhinisha uwezekano wa kuiuzia silaha Taiwan zenye thamani ya Dola Bilioni 1.1, hatua ambayo inaweza kuzidisha mvutano ambao tayari upo kati ya Marekani na China. Mauzo hayo yatajumuisha makombora 60 ya kukinga meli, makombora 100 ya angani na msaada wa vifaa vya ufuatiliaji wa...
  14. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania tukiamua, elimu inaweza kuwa silaha dhidi ya maadui watatu wa maendeleo

    Moja kati ya hotuba maarufu sana ya aliyewahi kua muasisi wa taifa letu, Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere ni ile ya mwaka 1995, ambapo kiongozi huyo aliongea kuhusu swala zima la maadui watatu wa maendeleo, ambao ni umasikini, ujinga na maradhi. Katika karne hii ya 21, adui ujinga amekua...
  15. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi nilivyokamatwa na silaha bandia za kivita

    25/08/22 Wilayani Kisarawe kata ya Sanze mtaa wa Kibon'gwa ndipo ilipokuwa kiwanda changu kidogo cha kutengenezea silaha bandia kwaajili ya filamu na video za muziki. Ilikuwa saa 10:30 jioni muda ambao niliacha kufanya kazi na kutaka kutoka ndani ili niende kupata chakula cha mchana lakini kwa...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wasiojulikana wateka Watawa wanne Nigeria

    Katibu Mkuu wa Makao ya Watawa, Zita Ihedoro, amesema watawa hao wanne walikuwa wakisafiri kutoka Jimbo la Rivers kwenda jimbo la Imo kwa ajili ya Misa ya shukrani. Tukio hilo linakuja ikiwa ni miezi mitatu tangu Mkuu wa Kanisa la Methodist nchini humo kufurushwa na watu wenye silaha katika...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine waparamia na kulipua mfumo wa silaha wa Urusi unaoitwa "Legend 2"

    Urusi anazidi kuingia hasara hadi kero, kila akigeuza milipuko inalipuka ghafla na kuondoka na zana za maana sana, kuna hii wanaita "legend 2" imezamishwa.... The Operational Command South unit posted on Facebook that Ukrainian forces used "missile and artillery units to fire and destroy the...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yakataa ofa ya Korea Kusini ya kuacha nyuklia ili ipewe misaada ya kiuchumi, yamwambia rais huyo afunge mdomo wake

    North Korea imemwambia rais wa South Korea afunge domo lake kufuatia rais huyo kuiomba North Korea iache silaha zake za nyuklia kisha South Korea itaipatia misaada kedekede ya uchumi. Majibu hayo kuntu yametolewa na dada yake Kim Jong-Un aitwaye Kim Yo Jong ambapo pia akaongezea kuwa South Korea...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Urusi: Uvumi wa kuwa silaha za wamagharibi (US+NATO) ni 'superweapons' unayeyuka mithili ya theluji mchana wa jua kali

    Ule uvumi kuwa silaha za wamagharibi ni 'superweapons' (bora zaidi) unayeyuka kama theluji/barafu mchana wa jua kali. Waziri wa Ulinzi wa Urusi General Shoigu amezungumza ktk kongamano la usalama la kimataifa leo Jumanne. Waziri huyo amesema silaha zote zilizomiminwa Ukraine na mataifa yote ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kupewa fedha na silaha zinazofikia thamani ya dola bilioni 60, bado Ukraine inalialia kuwa imezidiwa kwa mbali na urusi! Hii imekaaje?

    Nadhani hili ni dili! Ukraine inapewa silaha hewa halafu wajanja wanaweka fedha mfukoni!! Kuna taarifa ilitoka kuwa ni asilimia 30 tu ya silaha zinazotolewa na nchi za magharibi kwenda ukraine ndizo zinazowafikia walengwa!! Watoa kodi wa nchi za magharibi wanapigwa pakubwa sana!! Silaha za dola...
Back
Top Bottom