silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. let the caged bird sings

    JamiiForums Tanzania Umiliki silaha kinyume na sheria

    Kwa wenye ufahamu na ili. Ni Adhabu gani utolewa endapo ukikutwa na bunduki kinyume na sheria? Nipo nchi Jirani hapa na kuna mwamba ana kadude ila hakana pepa anataka aniachie kwa bei simple kabisa ila kabla ya kufikia uamzi wa kukachukua ninataka nijue kwanza ikiwa nitakamatwa nako athabu yake...
  2. F16 Falcon

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani ajiuzulu kwa kutoa misaada ya silaha kwa Ukraine

    Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani, Christine Lambrecht amejiuzulu kwenye nafasi, kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Habari la Uingereza (BBC Swahili). ======== Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani ajiuzulu - Hatua ya Ujerumani kuisaidia Ukraine silaha kufuatia mapigano yanayoendelea baina ya taifa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hii biashara imekaaje: Ukraine kuuza damu ya raia wake ili kupata silaha zitakazosaidia kufikia malengo ya NATO dhidi ya Urusi!

    Si siri tena wala siyo madai ya urusi tena, bali ndivyo biashara yenyewe ilivyo. NATO ina malengo yake ya kuidhoofisha urusi, ukraine ikajitokeza na kusema sisi tutatimiza jukumu hilo, tunachohitaji ni kutupatia silaha kwa ajili ya damu ya raia wa ukraine wanayoimwaga ili kufikia malengo ya...
  4. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Kwanini marafiki wa DRC wanashindwa kuisaidia silaha za kisasa kupambana na adui zake?

    Habari, Kiukweli bado nashindwa kuelewa nchi marafiki wa DRC? Ni nchi gani za kibeberu, Asia, au zilizoendelea ambazo ni marafiki wa DRC? Nadhani hazipo kama zipo pasi imapact yake ndogo. Aidha diplomasia ya DRC katka kutafuta marafiki wa faida ni ndogo. Ikiwa ni nchi iliyogubikwa na majangili...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Kumbe Urusi walipokea msaada wa silaha kutoka Korea Kaskazini na bado wakashindwa!

    Supapawa anazidi kutia huruma, amesaidiwa na Syria, Iran, Korea Kaskazini, wafungwa kwenye gereza zake wakiwemo baadhi ya Waafrika, ameokoteza hadi wanywa gongo mtaani ila bado anapigwa tu. WASHINGTON - ;North Korea has delivered arms to Russia's private military group Wagner, the White House...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa waiondolea DRC zuio la kununua Silaha mpya

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limechukua hatua hiyo iliyowekwa kwa Majeshi ya Serikali ya DRC kutonunua Silaha mpya hadi wapate kibali kutoka Kamati ya Vikwazo ya UN. Wajumbe wa Baraza hilo wamesema wanatambua Hali Mbaya ya Usalama nchini humo na hivyo kuondoa vikwazo hivyo ni katika...
  7. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Handeni, walioiba silaha Ofisi za TAKUKURU ni TAKUKURU wenyewe

    Habari za mapumziko, Inasemekana walioiba Silaha kwenye ofisi za TAKUKURU huko Handeni ni maafisa TAKUKURU wenyewe. Chanzo chetu kutoka Handeni kinasema maafisa hao wakishirikiana na watu wa ishu/Majambazi walisuka njama za kuziiba silaha hizo huku wakiahidiwa kupewa donge nono. Inasemekana...
  8. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Kuibwa kwa silaha ofisi za TAKUKURU Handeni Maswali ni mengi kuliko majibu

    Habari za mapumziko wana jamvi Mapema wiki hii palitokea wizi wa silaha za moto kwenye ofisi za PCCB Huko Handeni Tanga. Kama kawaida jambo limepita na hakuna kilichotokea. kwa mujibu wa gazeti la mwananchi silaha zilizoibwa ni mbili na zenye risasi ndani. hatujui zimeenda wapi na zinaenda...
  9. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania M23 yatuma salam za uimara wake kwa vikosi vya KDF na FDNB vilivyopelekwa Congo kuthubutu kuwapokonya silaha

    Za asubuhi wakubwa, weekend inaendeleaje? Leo nawaletea muendelezo wa kile kinachojiri huko Congo katika oparation ya jeshi la kanda yetu hii ya EAC. Oparation hii mahsusi imebuniwa kwa lengo la kuwapokonya silaha waasi wote waliopo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ila walengwa haswa wa...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Polisi: Silaha haramu 6,208 zimeteketezwa baada ya kusalimishwa kwa hiari

    Jeshi la Polisi nchini limeteketeza silaha haramu 6,208 ambazo zilikusanywa wakati wa kampeni maalum ya wananchi kusalimisha silaha hizo. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuongeza nguvu kudhibiti uingizaji silaha haramu ili kusaidia...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Shujaa Magufuli alikuwa ni jeshi la mtu mmoja aliyetegemea silaha ya kuteua na kutumbua, Bashiru usiamini kama kuna Sukuma Gang

    Kiukweli hii kitu inaitwa Sukuma Gang haikuwa kitu halisi kwa sababu Shujaa Magufuli alikuwa ni Jeshi la Mtu mmoja aliyekamata mihimili yote mitatu. Magufuli hakuwa na Wapambe ila Watu walijipendekeza Kwake ili wateuliwe na wengine walijipendekeza ili wasitumbuliwe. Shujaa Magufuli aliweza...
  12. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Maelfu waandamana Italia kupinga upelekwaji wa silaha Ukraine

    Makumi ya maelfu ya Waitaliano wameandamana kwa ajili ya amani huko Roma Umati wa watu ulimiminika kwenye mitaa ya Roma siku ya Jumamosi kutoa wito wa amani nchini Ukraine. Waandamanaji hao pia waliitaka serikali ya Italia kuacha kuipatia Kyiv silaha na badala yake kushirikiana na Urusi...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Geita: Afungwa miaka 120 na viboko 48 kwa unyang'anyi wa kutumia Silaha

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imewahukumu watu watatu kifungo cha miaka jela miaka 120 na kuchapwa viboko 48 kila mmoja baada ya kutiwa hatiani kwa makosa manne ya unyang'anyi wa kutumia silaha. Hata hivyo, ingawa kila mshatakiwa amehukumiwa miaka 30 jela na viboko 12 kwa kila kosa, kwa makosa...
  14. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Hatutatuma tena silaha Ukraine

    Counselor wa Ujerumani bwana Scholz amesema Taifa lake litajitenga na kutuma silaha huko Ukraine kwa sababu 20-30% ya Wajerumani wanapinga hilo na hawataki vilevile Urusi iwekewe vikwazo. Scholz pia anataka kuendeleza mahusiano mema ya kibiashara na mshirika wa karibu na Urusi, China.
  15. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Urusi yafungua shauri UN kuhusu maabara za Silaha za Kibaiolojia huko Ukrainia

    Urusi imelitaka baraka la usalama la umoja wa mataifa kutumia “article VI” kuunda tume ya kuchunguza uwepo wa maabara za Silaha za kibaiolojia nchini Ukrainia zinazofadhiliwa na Marekani. Moscow urges UN probe into Ukrainian biolabs Russia has filed an official complaint over US-backed...
  16. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Superpower Urusi kuanza Mazoezi ya Silaha za Nyuklia

    Urusi imeitaarifu US kuwa wanatarajia kuanza mazoezi ya Nyuklia ya mwaka. Hili linakuja kipindi hiki ambacho NATO nao wanafanya Nuclear Drills huko ULAYA. Hajaitaarifu nchi yeyote zaidi ya USA . It seems kuwa hawa tu ndo wa wanaheshimiana na kuogopana, wengine wote Mbuzi. Hii vita ni Washington...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Gharama za Himars 'zapaa' na Taiwan kuongeza malipo ya dola milioni 400 ili kupata ingizo la kwanza la silaha hizo hatari

    Mifumo hiyo itaanza kuwasili mwaka 2024 kwa mujibu wa gazeti la Liberty Times la Taiwan. Taiwan inahitaji kuagiza jumla ya mifumo 29 ya Himars kutoka nchini Marekani. Makubaliano ya awali kati ya Taiwan na Marekani yalisema kwamba uagizwaji wa kwanza ungegharimu jumla ya dola milioni 300.9 kwa...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Jamaa wenye silaha za moto wavamia hospitali, wawateka madaktari, wagonjwa na ndugu wanaouguza wagonjwa

    Tukio hilo limefanywa na watu wenye silaha za moto ambapo hawajajulikana na inaelezwa pia wamewateka ndugu waliokuwa wakiuguza wagonjwa katika Jimbo la Niger. Hakuna tamko rasmi la idadi ya watu waliotekwa lakini taarifa za awali inadaiwa ni Watu 20 na watatu wengine wameuawa. --- Medics and...
  19. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wakuu na wajuzi, Israel (Mossad) imeruhusu vipi Iran kumiliki drones na silaha za kisasa hivi?

    Iran ni adui mkuu wa Israel kwa sasa. Na Israel inekuwa ikuhujumu mikakati ya kisiraha hatarishi ya Iran miaka yote. Ikumbukwe Moja ya sababu kushindwa kutoa mifumo ya Ulinzi Kwa Ukraine, Israel walesema mifumo yao ni Kwa ajili ya magurunet tu ya kawaida haitaweza kupangua makombora ya kisasa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Accuracy superiority, nani mwenye silaha bora kati ya Urusi na zile za mabeberu hasa USA na UK?

    Tangu dunia iumbwe binadamu kiasili niwashindani (competitive nature) kuna ushindani mkubwa sana katika, utafiti, uzalishaji, ubunifu, utamaduni na vita. Kuna nchi duniani nimaarufu kwa uzalishaji wa silaha za ulinzi na kushambulia. Hapa tutaangalia ushindani wa hawa mafahari wawili yaani Urusi...
Back
Top Bottom