siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bashungwa Awapa Siku 4 kwa TANROADS Kukagua Barabara na Madaraja Yote Nchini

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa siku nne kwa Mameneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) nchi nzima kufanya tathmini na ukaguzi wa madaraja, makalvati na barabara kuu zote ambazo zimekuwa zikifanyiwa matengenezo ya mara kwa mara na kuwasilisha taarifa hizo kwa wakuu wa Mikoa ili...
  2. JamiiForums Tanzania Vijana wanakufa kwa ajali za bodaboda kila siku. Serikali haina taarifa au kwakuwa wahanga ni familia za kimaskini?

    Sina mambo mengi Hali ni ngumu, kila siku unasikia misiba huku na kule. Nazungumzia hii misiba ya bodaboda, serikali iko kimya kama hamna kinachoendelea. Je, serikali haina taarifa ya misiba hii ya bodaboda au haijali kwakuwa wahanga ni familia maskini?
  3. JamiiForums Tanzania Naona majina haya ya kiasili yakienda kuvuma siku za usoni

    Nakiri kwamba mimi siyo muumini wa majina ya kikoloni. Wakati wa utoto wangu nilipenda na kutamani majina ya kiasili kama UHURU, VITA, KWAME, MAPINDUZI, AZIMIO, UJAMAA na mengine yanayofanana na hayo Gone are those names kwakuwa zilikua zina reflect struggle za independence. Sasa tuna majina...
  4. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri atangaza Siku 14 kuondoa namba za 3D, madereva wa serikali kukiona

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetangaza siku 14 kwa watumiaji wa Vyombo vya Moto barabarani kuondoa namba za magari zilizoongezwa ukubwa maarufu kama (3D) na Vimulimuli kwa magari yote yasiyoruhusiwa kuwekwa, namba zote zenye vibao vyeusi na zizonatumia namba za chasis, taa zozote na stika...
  5. JamiiForums Tanzania Airtel mnafeli siku hizi

    Watu tunataka tufanye transactions pesa zipo airtel money. Hampatikani hewani. Mnapoteza sifa yenu nzuri mliyokuwa nayo zamani
  6. JamiiForums Tanzania Shirika la kitaifa la ndege la Sri Lanka limelaumu uwepo wa panya kwenye ndege kwa kusitisha safari za ndege kwa siku tatu

    Shirika la kitaifa la ndege la Sri Lanka limelaumu uwepo wa panya kwenye ndege kwa kusitisha safari za ndege kwa siku tatu. Panya huyo aliyejificha bila kupatikana kwa siku tatu, alionekana kufurahia safari ya ndege ya Srilankan Airlines Airbus A330 kutoka mji wa Lahore, nchini Pakistan siku ya...
  7. JamiiForums Tanzania Hizi siku mbili tatu sijawa mimi kabisa. Naanza kama hata kuugua

    Sijaelewa kama kuna mkakati watu wameaunda wa kuamua tu kuwa watulivu? Najitahidi weeeeh sipati wa kumkamua... Nauliza UMUGHAKA upo wapi? Wapi dorothea namugarika wapi dr namugari ? Dume la nyani nipo tayari kwa vita.... Sioni wapinzani humu.
  8. JamiiForums Tanzania Siku nilipoamua kufunga biashara

    Ilikuwa April 2017, Niliamka Asubuhi nikiwa na mawazo mengi sana,Haikuwa mara ya kwanza mm kuamka asubuhi ila siku hii ilikuwa tofauti.Wawili kati ya watu niliokuwa nafanya nao kazi ambao walikuwa na uzoefu waliamua kuacha kazi na kwenda katika kampuni nyingine na nilibaki na timu ndogo ya watu...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Sitosahau siku tuliyotaka kufa kwa kicheko baada ya mwalimu kupiga chafya na kutokwa na puto kuubwa la kamasi lililokaribia kufunika uso.

    Iilikuwa shule fulani huko maeneo ya kibaha kwenye miaka ya 2000s. Tukiwa tumetulia ghafla kengele ya dharura ikagongwa na sote tukakimbilia parade kujua kunani. Kumbe ilikuwa kengele ya jambo jema; jamaa wa bank (ya posta kama sikosei) walifika kutoa zawadi kwa mwanafunzi fulani pale baada ya...
  10. JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Ubaguzi na Unyanyapaa

    Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Ubaguzi na Unyanyapaa ni tukio linaloadhimishwa kila mwaka tarehe 1 Machi. Lengo la siku hii ni kuhamasisha uelewa na kuchukua hatua dhidi ya ubaguzi na unyanyapaa katika jamii. Inalenga kuelimisha umma kuhusu madhara ya ubaguzi na unyanyapaa kwa watu na makundi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi siku hizi tumejanjaruka, nikikutongoza leo, kesho ukaniomba hela, ni mbio, hakuna kutuma hela wala kubembeleza

    Hello Hii staili ya wanawake sijui niite ni udangaji, kukomoa mtu, au kumjaribu mtu, pale ambapo mdada umetongozwa tu leo, kesho unaomba hela, nlishangaa kugundua hadi watoto wa kiume wa form 4 wanaijua hio staili, unaombwa hela, ukiitoa mtu kwenye miadi hatokei, sababu kibao, bora ukimbie, na...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi kuzikwa tarehe 2 badala ya siku ya kesho ndani ya masaa 24 ni kukiuka mazishi ya kiislam. Napendekeza ratiba ibadilishwe

    Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi kafariki saa 11 na nusu jioni ya leo tarehe 29/2/2024 hivyo kwa taratibu za kiislam inabidi azikwe kesho 01/03/2024 kabla ya saa 11 na nusu jioni, ikipendeza zaidi ilibidi iwe kesho asubuhi au mchana Imepokewa kutoka kwa Abu Hurayra رضى الله عنه akisema: Amesema...
  13. JamiiForums Tanzania Ni heri mama muuza mgahawa au ndizi barabarani anayepata faida ya sh.4000 kwa siku kuliko Binti malaya anayeishi kwa kutegemea kuhongwa

    Habari zenu! Kama kawaida sisiti kuachia nyuzi za upendo kwa dada zetu. Lengo ni jema tu ingawa wasiotaka kubadilika hunichukia. Mama mwenye familia yake haijalishi ameolewa au hajaolewa. Haijalishi amepanga au anaishi kwenye nyumba yake, mama anayeanini katika kazi za mkono wake. Anauza...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anataka biashara zifungwe na magari yazuiwe siku ya maandamano ya CHADEMA

    Kutoka Jambo Tv, Lissu anasema wakiwa wanaandamana inatakiwa polisi wafunge barabara na biashara zifungwe ili kupisha maandamano hayo
  15. JamiiForums Tanzania Tusishabikie Vita, kuna hatari kubwa sana mbeleni

    Kwa Mara ya kwanza mabomu ya nuclear yalitumika mwaka 1945 pale Hiroshima na Nagasaki Athali zake zilikuwa kubwa sana. Watu walikufa, miundombinu iliharibika. Lakini cha ajabu, pamoja na madhara makubwa wa haya mabomu, wanadamu wameendelea kuyatengeneza na kuyaboresha Haya mabomu...
  16. JamiiForums Tanzania Picha yangu bora ya siku

  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Ethiopia, Dkt. Abiy Ahmed Ali kuwasili nchini kwa ziara ya siku tatu

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia Mheshimiwa Dkt. Abiy Ahmed Ali anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu kuanzia tarehe 29 Februari hadi 02 Machi, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  18. JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme linamfanya kijana huyu kupoteza 170,000 kila siku

    Wakati mwanasiasa Lucas Mwashamba akiridhika na hali ya upatikanaji wa umeme kwa sababu kazi yake ya uagent wa costa hauhitaji umeme kijana mdogo Sam Junior anapoteza 170000 kila siku kutokana na kukatika umeme. Kijana huyu anamwaga kuku 20 kila siku. TRA wamemwambia kodi yao waikute mezani.
  19. JamiiForums Tanzania Zimebaki siku 18 ahadi ya kumalizika Mgawo wa Umeme itimie, Watafanikiwa?

    Zimebaki siku 18 mgawo wa umeme iwe historia! Ndivyo unaweza kusema baada ya kauli ya matumaini ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko kuwa ifikapo katikati ya Machi 2024 hakutakuwa na kadhia hiyo tena nchini. Dk Biteko amebainisha hayo leo Februari 25, 2024 alipotembelea...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Februari inakuwa na siku 29?

    Karibia kila baada ya miaka minne mwezi wa februari hupata siku ya nyongeza, yaani siku ya 29 ambayo huweza kuitwa ''leap day''. Kama sehemu ya gregorian claendar. Hii ndio sababu... Gregorian calendar ilianzishwa 1582 kwenye kalenda hii karibia kila baada ya miaka minne mwezi februari huwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…