siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Nyikani tutaiongoza Dunia kulikusanya Kanisa la siku za mwisho

    Salaam,Shalom. Wakati Dunia na mifumo yake ikijitengeneza kuhakikisha Dunia nzima unaungana kupata sarafu Moja, utawala mmoja na siku moja ya Ibada Dunia nzima ( JUMAPILI). Nyikani, Taifa la AGANO, tumekwisha Anza kuifanya KAZI muhimu ya kuikusanya Dunia nzima na Kanisa la mwisho, kabla ya...
  2. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Kuwa na siku 2 ndani ya siku 1 ili ujenge biashara ukiwa umeajiriwa

    Rafiki yangu mpendwa, Kukosa muda imekuwa ndiyo kisingizio kikuu cha wale walio kwenye ajira na hawajawa na biashara. Unakuta mtu yupo kwenye ajira, ambayo inampa kipato kidogo na kisichotosheleza, lakini pia hana biashara ya pembeni ambayo ingeweza kumwongezea kipato. Ukimshauri afanye...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Siku ya Uhuru wa Habari: Hakuna Uhuru wa Habari bila Uhuru wa Kiuchumi wa Waandishi wa Habari

    Wanabodi, Wiki hii nzima, nimekuwa jijini Dodoma kuhudhuria mikutano 3 muhimu ya mambo ya habari. Tulianza na Mkutano Mkuu wa 13, wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni rasmi ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dotto Biteko. Ukaja Mkutano wa Baraza la Habari Tanzania...
  4. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Tulizoea biashara ya ukahaba kufanyika baa lakini sehemu nyingine hatari zaidi ni kwenye saluni

    Ukahaba mwingine umeibukia kwenye masaluni ya wanawake wanakaa hapo wanajuwa ni rahisi kuonekana. Mambo haya yanachangiwa na maadili mabovu yani hata inapelekea watoto kutopata malezi bora watoto hawalelewi vema mama zao wanawahi kudanga. Je hakuna namna serikali ikakomesha jambo hili?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Si sahihi siku ya wafanyakazi kugeuzwa siku ya wadudu wasioumiza; hongera Rais kwa kutokushiriki kikombe hiki

    Siku ya wafanyakazi inapaswa kuwa siku ya mijadala serious ya hatima ya uchumi na mipango ya Taifa. Siku ya wafanyakazi ni siku maalumu ya watunga sera duniani kuzipitia na kuzichambua sera za uchumi. Siku hii haipaswi kufanyiwa mzaa wala kugeuzwa siku ya kiuni kama ilivyofanyika leo Arusha. Ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwenye Ishu ya Uzanzibari na Utanganyika Lissu amekuwa upande wa haki siku zote

    Kuna watu wanajaribu kuchukulia kauli za Lissu kukerwa na aina hii ya muungano kuwa eti anajaribi kuleta mgawanyiko wa Utanganyika na Uzanzibari. Kiukweli kabisa kama ukifuatilia miongoni mwa watu waliojaribu kuwatetea Wazanzibari dhidi ya muungano huu ni Tundu Lissu. Lissu amekuwa consistent...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Siku hizi Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi wanateta Serikali na kuweka pembeni maslahi ya Wafanyakazi

    Asalaam Aleykum. Kwa kweli kama kuna watu wana maisha magumu nchi hii, basi ni wafanyakazi. Wengi wao mishahara haijapanda kwa muda mrefu huku gharama za maisha zikipaa kila siku na viongozi wao wa vyama vya wafanyakazi wapo wapo tu kazi kuiba michango ya wafanyakazi wenzao wanayokatwa kila...
  8. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Muungano, napendekeza kufutwa kwa kombe la Mapinduzi tubakize kombe la Muungano peke yake ambalo kilele chake kitakuwa siku ya Muungano

    Habari za Leo wapenda soccer? Natumai kichwa/title ya thread hii imejieleza vizuri. Nimewaza nikaona nitumie platform hii kwenu ili kama itawezekana, tushawishi viongozi wa mpira kuiondoa michuano ya Mapinduzi cup na badala yake tubaki na Muungano cup. Nasema hivi siyo kwa lengo la kisiasa ila...
  9. Sharo empress

    JamiiForums Tanzania Mpangilio mzuri wa bidhaa zako utakuongezea mteja mpya mmoja kila siku

    Vutia wateja wengi kwa kuboresha mpangilio wa bidhaa zako....... kwa shelves bora na za kisasa kutoka kwetu, Una jiuliza bei yake ni ngapi? Sasa, Gharama ya double shelves ni 550,000/= ( Bila vat ), Ukilipia 600,000/= unapatiwa na risti yake....... Single shelve yenyewe bei yake ni...
  10. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania Sitasahau siku pombe zilitaka kunitoa roho

    Leo Kuna mtu kanipigia simu nikakumbuka tukio Moja miaka kama 10 imepita Kipindi hicho ujana mwingi+ tulikua wajanja wajanja tumeshika shika vipesa si haba, npo dsm Kuna jamaa yangu ye hata tungi hapigi ananicheki hewani kuniuliza upo wapi, namwambia npo geto ila naenda bulls park(karibu na...
  11. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini wamama wa siku hizi wamepoteza utisho wa kianamke

    Wamama wa miaka ya 90 kurudi nyuma walikuwa vyuma kwelikweli. Walikuwa na uwezo wa kukuchapa na kukunyoosha kwa macho tu. Nakumbuka siku nilipotoroka nyumbani kwenda na magenge ya watoto mitaani kutembea. Bahati mbaya nikakutana naye amekaa katikati ya kundi la kinamama kuna jicho alinikata...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufunga siku 52 kwa Kila mwaka kirahisi kwa afya

    Salaam, Shalom!!! Naamini Kila mtu anajua ya kuwa, chakula ni muhimu Kwa ajili ya AFYA ya MWILI, lakini pia, matabibu wamethibitisha kuwa chakula pia ni chanzo Cha magonjwa mengi tu yanayosumbua watu wengi tangu zamani. Wiki Moja, Ina siku Saba, ukitenga siku moja iwe special Kwa ajili ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja...
  14. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Teknolojia za Kisasa Zilizotumiwa Kujenga Burj Khalifa ndani ya Mzunguko wa Siku Tatu

    Burj Khalifa, mnara mrefu zaidi duniani, unajulikana kwa urefu wake wa mita 828 na idadi ya sakafu 163. Kwa kuwa ni mnara wa maendeleo mchanganyiko, unajumuisha makazi, hoteli, biashara, ofisi, burudani, maduka, na vituo vya starehe. The Burj Khalifa Tower ilifunguliwa kwa umma mnamo Januari...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Siku hii ndio nilishuhudia, niliamini na kuthibitisha kwamba mapenzi hayana wala hayajali umri

    katika harakati zangu za kisiasa, kura za maoni kivyama huko Jimboni, mara hiyo tupo mjini na, ni wakati wa kulala huko guest house. Sasa miongoni mwa wakuu wa msafara alikuepo mtu mzima, lakini ni Mzee sana tena ni wale wa aina ile ambao akivaa koti hawezi kulivua hata kuwe na joto kiasi gani...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano, leo Aprili 26, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiongoza Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano, leo Aprili 26, 2024 ambapo Marais na viongozi kutoka nchi mbalimbali za Afrika wamehudhuria. https://www.youtube.com/live/R3pfPUmz0VU?si=2VIbcr69kskARqvU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kuna watu hawatatubu hata katika siku ya kiama.

  18. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kumchapa mkeo makofi, mlichukua siku ngapi kurudi kwenye normal life?

    Good evening, Moja kwa moja kwenye mada, naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi ,baada ya kuhamishwa kikazi. So mweiz huu nikaamua kuchukua likizo ya like mwezi mmoja hivi nikapumzike kidogo home. Well toka nifike home naona wife ana harakati nyingi tu ambazo sizielewi..last week...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aprili 25: Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

    Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano huadhimishwa kila Alhamisi ya nne ya mwezi Aprili kwa lengo la kusisitiza umuhimu wa Wasichana katika ICT Pia, siku hii hutumika katika kuhamasisha Wasichana na Wanawake wadogo kuchagua masomo ya Sayansi, Teknolojia...
  20. 2v1

    JamiiForums Tanzania Nataka siku moja niwekeze katika teknolojia

    Habari zenu wadau, mimi ni kijana, natamani siku moja niwekeze katika teknolojia, kwa muda kidogo nimekuwa nikijifunza programu kwa kujipambania mwenyewe. Nimejifunza kwenye simu kidogo kidogo, na hii ndiyo kazi ya kwanza ambayo nimefanikiwa kutengeneza katika simu yangu. Ni app...
Back
Top Bottom