Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.
Habari ya muda huu wakuu na ndugu zangu JF.
Mwezi mmoja na Nusu uliopita (about 45 days) nilileta hapa moja ya mtiririko wa jambo langu lililokua linaniandama kama ambavyo nilieleza hapa kwenye uzi huu 👇👇...
DEo Mushi kada wa Chama cha mapinduzi(CCM)ameshinda vita kubwa dhidi ya tajiri mtoto wa mwanasiasa mkongwe(marehemu)Philemon Ndesamburo aitwaye Thomas Philemon Kiwelu ambaye amekuwa katika jitihada za siku nyingi za kupora eneo la shule ya msingi Wereni iliyopo kata ya Kibosho Magharibi wilaya...
Siku ya Usonji Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 2 Aprili kwa lengo la kuongeza uelewa na kuhamasisha jamii kuhusu haki za watu wenye usonji
Kaulimbiu ya mwaka huu, 2025, ni “Kukuza Neuroanuwai na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa (SDGs)”. Kaulimbiu hii inasisitiza umuhimu...
Kero hii ya kukata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku kila siku katika mji ya Mpanda tumechoka kwani wala hatufahamu mnakata umeme kwa masirahi ya nani?.
Jambo ambalo hatupendezwi nalo wala taarifa yoyote ile hamtoi kwa wakazi wa Mpanda na tunaona waziwazi hizi ni hujuma kwetu Wananchi wa...
Maisha ni magumu, gharama za maisha zimepanda, lakini bado kuna familia zinazoishi na bajeti ndogo. Swali ni moja: Ukiwa na 5000 hadi 10,000 tu kwa siku, unaweza kupata milo mitatu kwa familia yako na ikatosha? 🤔
Hebu tuweke hali halisi mezani. Unaamka asubuhi na hiyo bajeti mkononi. Unahitaji...
Nashukuru hadi muda huu sijakutana na prank yoyote ile.
Asili halisi ya Siku ya Wajinga (April Fools' Day) haijulikani kwa hakika, ingawa nadharia kadhaa zimependekezwa.
Kuna mjadala kuhusu uhusiano kati ya tarehe 1 Aprili na ujinga katika kazi ya Geoffrey Chaucer, The Canterbury Tales (1392)...
Oluwasegun, bingwa wa zamani wa kitaifa na Afrika Magharibi katika daraja lake la uzani, alipoteza fahamu katika raundi ya tatu ya pambano lake la Ligi ya Ndondi ya Kulipwa ya Ghana dhidi ya bondia wa Ghana Jon Mbanugu kwenye Uwanja wa Ndondi wa Bukom mjini Accra siku ya Jumamosi
Mamlaka ya...
Hii ni siku ambayo jeshi la Israel waliamua kwenda kufanya mashambulizi ya anga nchini Iran kama kulipiza kisasi baada ya mashambulizi yaliyofuatana ambayo Iran iliita 'true promise one' na 'true promise two'.
Naomba nisielezee sana huko, story itakuwa ndefu, ningependa niende kwenye mada moja...
Nashangaa bado kuna watu wanaiita tarehe 1 Aprili, "Fools' day," au siku ya wajinga. Siku hii ingefaa zaidi kuitwa siku ya waongo kwa sababu watu wengi wanaongea uongo ifikapo Aprili Mosi.
Kama umekuwa ukiitumia tarehe 1 Aprili kusema au kuandika habari za uongo basi ujue baba yako ni...
Siku ikitokea waumini wote wa mwamposa wakawa matajiri kumshinda mwamposa basi itakuwa ni ishara ya wazi kuwa yesu alokuwepo na anafanya kazi.
Kinyume na hapo ni ujinga tu ma hadithi za kusadikika!!
Duru za kuaminika zikimuhusisha jamaa yangu wa karibu ambaye ni mfanya biashara wa vilevi pamoja na nyama ya nguruwe(kitimoto) maeneo ya misufini huko morogoro , Zinadai Leo biashara ya kitimoto na bia imechanganya sana.
Duru zimeenda mbali na kudai kuwa mpaka kufika majira ya saa 9 mchana wa...
Wakina Baba na mama ,kaka na dada pamoja na watoto wakiwepo ndugu na jamaa hujumuika katika sikukuu mbalimbali za kidini ( ukristo na uislamu) kama desturi zao za kusherekea kila mwaka.
Chakusikitisha 😮💨 hizi sikuu zimekuwa ni chanzo cha maovu meeeengii........ngingingi
Yaani chukulia mtu...
Tukiwa tunahitimisha kipindi cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan ningependa tukumbushane kuwa kuishi kwa kutenda mema na kumuomba Mungu yapaswa kuwa utaratibu wa kila siku na sio utaratibu wa mwezi fulani tu na ukipita basi watu tunarudia maovu yetu. Hii ni fursa ya mabadiliko ndani ya...
Nitumie link ya station yako na idadi ya wasikilizaji (average number of listeners per day) tuone uwezekano wa kuweka matangazo ya biashara. Whatsapp 0656388678 au private message.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.