siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Wahitimu wengi wasiotulia baada ya wakiitwa written interview hawapo serious, mhitimu mwenye malengo ya ajira husoma kila siku kwa starehe

    Hakuna kipindi kizuri cha kusoma kwa utulivu kama baada ya kuhitimu chuo, hasa ikiwa lengo lako ni kuajiriwa kwa kupass written interview. Kujisomea baada ya kuhitimu kunaweza kuwa hobby kwasababu hakuna presha ya mitihani, hakuna deadline na hutapoteza muda kwenye masomo ya ziada yasiyohusiana...
  2. M

    Kila siku tutalaumiana tunaoneana. Tushtuke

    Binaadam sote tulitakiwa ituongoze shariah ambayo Allah ametupangia. Quran na sunnah ndio inatakiwa ituongoze duniani kote Tutazidi kulalamika kila siku Katika shariah, mtawala anatafuta akhera yake na haitafuti dunia. Kwa hivyo haki na uwajibaki hukumbuka siku baaada ya kuondoka ktk dunia na...
  3. Kibongo bongo mtu akiwa na kipato cha elfu 50 kwa siku ni tajiri.

    Wakuu, katika dodoso zangu, nimejiridhisha kuwa, watanzania wengi wapo kwenye kipato cha elfu 10, 15, 20 kwa siku. Nimebahatika kupita kwenye haya makampuni ya mabilionea wa nchi hii, mishahara ya wafanyajazi wengi ni elfu 8 hadi 10 kwa siku. Kuna kampuni moja niliwahi kwenda nikakuta wanalipa...
  4. O

    Wakili Abshir Abdi Afika Mahakamani Milimani Baada ya Kupatikana Hai Siku 11 Tangu Kutoweka

    Wakili wa Nairobi, Ahmedsadak Abshir Abdi, amefika katika Mahakama Kuu ya Milimani Ijumaa, Novemba 13, 2026, siku moja baada ya kupatikana akiwa hai katika eneo la Sololo, Kaunti ya Marsabit. Abdi alikuwa ametoweka kwa siku 11 tangu Novemba 1, 2026, baada ya kuripotiwa kutekwa na watu waliokuwa...
  5. Mkuu wa Mkoa Mbeya awapa bajaji siku tatu kuhama TANZAM highway!

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Sagini amewapiga mkwara mzito wenye bajaji. Kawaambia mwisho jumapili, jumatatu bajaji isionekane barabara Kuu ya TANZAM. TUKUMBUKE Wiki karibia nne zilizopita bajaji waligoma kwa siku karibia nne wakitaka waachiwe kuendelea kubarizi hii barabara kuu. Kwa Mbeya...
  6. O

    Wakili Abshir aliyetoweka Nairobi aripotiwa kupatikana akiwa hai Isiolo baada ya Siku 11

    Taarifa mpya zimeibuka kuwa wakili wa Nairobi, Abshir Ahmedsadak Abdi, aliyekuwa ametoweka kwa siku 11 baada ya kudaiwa kutekwa nyara na watu wenye silaha, amepatikana akiwa hai katika Kaunti ya Isiolo. Kwa mujibu wa taarifa ya Kenyans.co.ke ya Alhamisi, Novemba 12, 2026, wakili huyo...
  7. Hakuna siku kutatokea mapinduzi ya kidaraja duniani?

    Kadri ambavyo watu wachache duniani wanazidi kuwa matajiri wakineemeka na kuishi maisha ya kifahari huku watu wengi zaidi wakiishi maisha ya ufukara na kwa kipato duni cha siku tu je hakuna siku yatatokea yale mapinduzi aliyosema Karl Marx ya darala la watu masikini wavuja jasho kuvamia daraja...
  8. Siku hizi ukisikia wadada wanataja kuvutiwa na aina, kabila fulani la sisi 🤣

    Siku hizi ukisikia wadada wanataja kuvutiwa na wanaume wa aina fulani ,tambua hao wanaume ni magoigoi ya mwisho , ambayo hao wanawake wanaweza kuwamudu . Hakuna mwanaume mwenyewe akili timamu , mwanamke wa kizazi hiki atamkubali moja kwa moja . Kwa sasa hizi jinsia zinavutiwa na...
  9. Air Tanzania: Safari zitachelewa kwa siku 7

    Kampuni ya huduma za usafiri wa ndege ya Air Tanzania (ATCL) imetoa tahadhari kwa abiria kuhusu uwezekano wa kuchelewa kwa safari za ndege, mabadiliko ya ratiba, na kubadilishwa kwa ndege, kuanzia tarehe 7 Novemba hadi tarehe 14 Novemba 2026. Sababu iliyotoloewa na kampuni hiyo ni : Kuondolewa...
  10. Jaji Ndunguru na Katuga ipo siku yatawakuta kama kilichomkuta jaji aliyemuhukumu kifo Saddam Hussein

    "Historia haijawai kuwa nzuri Kwa majaji wanatoa hukumu ambazo sio za haki"..Lissu. Hawa vibaka wawili Ndunguru na Katuga ipo siku yatawatokea puani. Nashangaa jana kwenye msiba watu wanasema Ndunguru afukuzwe kanisani. Ata huyu kibaka Katuga Msikitini anaenda kufanya nini? Mwaka 2006 jaji...
  11. Wazazi wenye watoto wenye changamoto za kiafya au ukuaji, mnawezaje kuishi na hali hii kila siku?

    Kuna jambo limekuwa likinigusa sana moyoni na nimeona nililete hapa JF nipate mawazo na uzoefu wa wadau. Kila ninapokutana na mtoto mdogo mwenye changamoto za kiafya, ulemavu au ukuaji, huwa moyo wangu unaumia sana. Wakati mwingine najikuta nimeshindwa kujizuia kulia. Huwa najiuliza, hivi...
  12. Je, unafahamu kuwa shuleni na chuoni ulikopatia elimu kuna mafaili yako?

    Wakuu ni wakumbushe tu jambo moja la muhimu kwenye shule zote ulizosoma hata chuo ulichopatia shahada kuna mafaili yako. Kama uliwahi kukutwa na kesi ukaambiwa uandike statment, kama ulisimamishwa masomo kwa utovu wa nidhamu kama vile fujo, wizi, mapenzi au kufanya tukio lolote taarifa zako...
  13. Kwa wewe ambae una uwakala wa fedha, unatumia mfumo gani wa kufunga hesabu yako kila siku?

    Kwa wale mnaoendesha biashara za uwakala wa fedha (M-Pesa, Airtel Money, T-Pesa, HaloPesa n.k.), mnatumia mfumo gani kurekodi na kufunga hesabu zenu za kila siku? Nimekuwa nikiwaza na kuumiza kichwa maana mambo siyaelewi kabisa naomba nilizie humu kwa wadau wenye biashara ya uwakala nyie...
  14. Naomba ufafanuzi kuhusu hukumu yaTundu Lissu

    Kwa mjibu wa Sheria, wanasheria wameeleza kuwa mtu anapofungwa kifungo chenye ukomo, sheria ya magereza anampa msamaha wa 1/3 ya muda wake wa kukaa gerezani. Kwa kuwa Lisu alikuwa amekaa zaidi ya siku mwaka 1 na miezi 7 yaani siku 577. Ikiwa atapunguziwa 1/3 ya adhabu je ni sahihi atakuwa...
  15. M

    Hoja za TAL baada ya Katuga kuongea siku ya hukumu zimenifanya nimfananishe TAL na AI

    Nimeshangaa uwezo wa TAL jinsi alivyotema nondo kukabiliana na equation ya Ndunguru na Katuga... hakika jamaa ni AI
  16. S

    Katika kuhangaika, chama cha kijani siku si nyingi wataitisha mikutano wa waandishi wa habari na swala la Lissu wataliongelea

    Naomba niwambie fu, hawa watu hawatakaa kwa amani hata kidogo baada ya kufanikisha dhamira yao ovu kwa Tundu Lissu Kwahiyo, katika kuhangaika, siku si nyingi wataitisha mkutano wa waandishi wa habari ambapo pamoja na mambo mengine, warazungumzia swala la Lisu. Moja ya jambo watalokujanalo...
  17. Voices from Within: Tundu Lissu Kuachiwa Huru Kesho? Kujiunga na Ndugu Zake Kumzika Kaka Yake Alute Siku ya J.4!

    Wanabodi, Leo asubuhi hii, nilikuwa najibu kwa hasira, post ya jamaa fulani humu jf, baada ya kuniita "kibaraka" ambayo imenitia hasira sana hadi ku invoke the the voices from within!, sasa hata kabla sijamaliza kuiandika kumjibu, na kuiposti, nikiwa katikati, nikaisikia ile sauti, ya kutoka...
  18. L

    Siku ya kwanza mtoto mchanga kutolewa nje

    Hivi siku ya kwanza mtoto mchanga kutolewa nje, Kwa Nini jamii nyingi Huwa wanamtoa wakiwa na jembe? Wanafanya kuwa mkulima mahiri wa baadaye?
  19. Hivi mnajua mshauzwa ila walio wanunua kuna siku sio salama zaidi ya rwanda na burundi.

    Kwa sasa huyu mlipewa mkosi ndio kashafanya yake. Ila sitapenda kuweka wazi kuepusha magaidi wakitumia kikosi cha ulinzi cha serikali. Hapa mlipo subirini kutofautiana na zambia wao wana wachina na nyie mna ....
  20. KERO Wahitimu wa Udaktari tunalalamikia kufungwa mapema kwa dirisha la maombi ya Internship

    Sisi wahitimu wa udaktari tunaotarajia kuanza mafunzo kwa vitendo (Internship) tunalalamikia utaratibu uliowekwa na Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) wa kutoa siku saba pekee kwa ajili ya kufanya maombi na kuchagua vituo vya mafunzo. Cha kushangaza, dirisha hilo limefungwa leo licha ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…