Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.
Moderator naomba tunza huu uzi tupo na kazi ngumu mpaka sasa idarani za kusambaza madawa ya Who are You.
sasa kinacho nichekesha japo na cheka ila lazima kiwe kicheko.
Uwezi kutumia watu wakulindie matendo yako na kesho ukataka kuonesha ulikuwa sio wewe na mda sasa unaonesha watu wako...
Hamjambo Wakuu.
1. Ni vizuri kama kweli inania watu wasiandamane Siku ya tarehe 9 basi ni muhimu kutangaza mapema kabisa;
2. Kwamba Tarehe 9 watu wakae ndani. Kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 6 mchana.
3. Kisha waingie ndani majumbani kuanzia saa 11 jioni wasitoke kabisa
4. Viongozi wa...
Kufungia account za wanaosema ukweli na wanaharakati kwenye mitandao ya kijamii kupitia Meta kunaonesha kujipoteza.
Mi navyo wafahamu warusi na nchi nyengine ambazo social media zao zijaweza kuwa watu wengi na hii ndio itakuwa njia yao sahihi kutembelea kitonga.
Kama wanaharakati wakipata...
(Gafla Mwendawazimu akanyang'anya mic)
MWENDAWAZIMU:
Hebu njoo hapa kijana… njoo karibu, usiogope, mimi siwezi kukugusa - tayari nimegusa ukweli, na huo ndio ugonjwa pekee unaoambukiza nilio nao.
Uliniuliza “Kwa nini siku hizi kujitolea JKT ni hekima ya mpumbafu?”
Sikiliza basi.
Sijasema...
Huyu Peter Madeleka huyu, sijui kwanini anaongea kwa mafumbo (rhetorically) badala ya kusema kwa uwazi tu ili Hamza Johari na Nassoro Katuga waelewe kirahisi🤔🤔😀😀
Fumbo mfumbie mjinga lakini mwerevu............................(malizia)
#D9 #SAMIAMUSTGO
Hii statement siyo nzuri kwa kipindi hiki inaweza kum cost.
Kwamba waje 9 Disema au 25 Disemba au siku yeyote tumejipanga. Who are You.
Ameyasema haya leo akinukuu clips za Mange Kimambi za mitandaoni.
Tukubali tukatae, kisiasa na kwa upana wake hata kwenye masuala ya usalama, Tanzania bado ipo katika mfumo wa kijamaa. Ndiyo maana unasikia kelele zisizoisha za Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi. Ni kwa sababu kimsingi, nchi ina mfumo tofauti na ule ambao watu wanaaminishwa unaendesha maisha...
Ni wazi kabisa, mtu wa kwanza kulalamikia Muungano ni raisi wa kwanza wa Zanzibar. Kifo chake kilihitimisha matumaini ya Wazanzibari kuvunja muungano na kupata uhuru wa kweli
Muungano umekuwa ukilalamikiwa tokea kipindi hicho hadi leo
Waliyopitia Wazanzibari wakati wa uchaguzi na maandamano ya...
Wapalestina zaidi ya 70,000 wameuwawa gaza kwa miaka lakini watanzania wameuwawa October 29 zaidi ya 10k kwa siku tatu sasa piga hapo kwa mwaka mmoja.
Viongozi wajinga wanauwa taifa letu. ni zaidi ya vita vya israel na Palestina
Siku 9 kwenda D9
Vitu vya muhim sana vimeanza kupanda bei
Sokoni hakushikiki, nimepita buchani, nyama imefika 15k. Wenyewe wanasema kuanzia tarehe 7 hawafungia mabucha yao
Baadhi ya kampuni za mabasi zimeondoa ratiba ya kuanzia tarehe 7
Mabadiliko ni makubwa sanaa tuliona mwez mmoja kabla ya 29oktoba watu walifanya mazoez ya pamoja viongoz walitoa matamsh makali na ya kutisha huku sura zao zikionesha dhamira ya kweli ya kuzuia maandamano maana walikua hawachekeshi
kuanzia wakuu wa mikoa wa wilaya had mawaziri
Maafisa...
Wakuu, kuanzia leo sichukulii Xmas, Eid, Pasaka kama siku kuu zangu za kujivinjari.
Nimeona ni bora nijivinjari Kila anapofariki kiongozi wa hawa waliotuulia ndugu zetu.
Yaani wakati watu wengine wanalia huku bendera Iko nusu mlingoti, Mimi naendelea kujipongeza huku nikijisemea "Good...
Wanakupa 1 M, unakubali kutimika, unatoka Ushahidi wa Uongozi unatoka Tuhuma za uongo 😃
Pole sana kijana mjinga na mpumbavu, Wenzio CCM wanajuaz huko mbele unaweza kuwageuka ukatoa ukweli !!.
Ewe mtanzania mwenzangu hakikisha siku ya 9D unatoka na kuungana na wenzako kuidai haki kwenye maandamano ambayo yatakuwa makubwa sana siku hiyo
Kusalia nyumbani siyo salama kwako. Kwani wale walenga shabaha watakuangamiza wewe pamoja na familia yako yote.
Alionae tangazo hili amtaarifu na...
Zile siku 100 za madarakani za rais wetu mpendwa ,msikivu na mchapa kazi , mwenye utu na mnyenyekevu , zimebaki siku ngapi katika zile 100 za kuingia madarakani na kuyashughulikia yale aliyoyasema atayafanya ndani ya huo muda.
Ngoja tum tag hapa samia suluhu.
MO29 tulikuwa na matumaini makubwa kuwa jeshi lipo upande wetu wananchi na tuliaminishwa hivyo, badala yake likawa linashuhudia wananchi wakipigwa risasi na polisi MBELE YA MACHO YAO bila msaada wowote. Inasikitisha.
Safari hii D9, Watanganyika wote wenye mapenzi ya dhati na nchi yetu tusiweke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.