siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Anaejua atusimulie "siku ya kubeba Jenerali" hujumuisha kundi la watu wangapi kwa umbali gani ili kufaulu?

    Kama kuna mwenye ufaham kidogo juu ya mafunzo ya kijeshi atuchambulie! Upi ugumu wa siku ya kubeba jenerali na ipi siri ya kufanikisha zoezi hilo kwa Ufanisi!
  2. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na jamaa yangu wa siku nyingi, kachoka balaa!

  3. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wimbo anaotakiwa Rais Magufuli kuuimba yeye binafsi kila siku aamkapo au akutanapo na changamoto

    Huu ndio Wimbo anaotakiwa Raisi Magufuli kuuimba yeye binafsi kila siku aamkapo au akutanapo na changamoto yeyote iwe kubwa au ndogo au akutanapo na chochote cha kukatisha tamaa au kumvunja moyo
  4. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli watoto wa kiume siku hizi wanazaliwa wachache?

    Je, ni kweli watoto wa kiume siku hizi wanazaliwa wachache? "Angalia mtaani/vyombo vya habari/watu unaosikia wamejifungua: utaona miongoni mwa watoto waliozaliwa, watoto wa kiume ni adimu -- watoto wengi wakiwa ni wa kike. " alisikika mtu mzima fulani akiongea. Yana ukweli?
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC Haji Manara Siku zingine uache Kiherehere cha Kumsifia Mchezaji Mnafiki wa Azam FC Aboubakary Salum 'Sure Boy' mwenye Uyanga mno!

    Nilikushangaa sana Wiki hii nzima nilipokuwa kila nikipitia Kurasa zako za Mitandaoni na ukawa unamsifia kwa Mikogo yote huku ukimpamba mno Mchezaji wa Kiungo wa Azam FC Aboubakary Salum 'Sure Boy' tena ukimtia Ndimu kabisa ( ukimchochea ) kuwa katika Mechi ya Leo dhidi ya Yanga SC apambane na...
  6. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii EACOP ambayo hatupati usingizi kwa sababu kila siku tunapigiwa makelele kuihusu imepelekwa kortini

    NGOs zimeenda kortini kupinga ujenzi wa pipeline ya EACOP Uganda-Tanzania pipeline runs into legal challenges Tuesday November 24 2020 Four NGOs claim that the project is yet to conduct an environmental and social impact assessment. IN SUMMARY The NGOs are now seeking a permanent injunction...
  7. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Los angelitos: Je, siku ukiondoka dunia na watu watakukumbuka kwa lipi...?

    Mates,Moja kati ya maswali ambayo hua najiuliza kila siku ni je ikitokea leo nikaondoka je jamii iliyonizungukai tanikumbuka kwa yapi? Je dunia itanikumbuka kwa lipi/jambo lipi nililoitendea? au ndio nikiondoka watanifukia tu na kunisahau au watabaki wananikumbuka kama mtu niliyefanya kitu...
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania BASATA mtusaidie huu wimbo jana umenajisi kitongoji chetu siku nzima

    Hizi nyimbo za watu wa pwani wanaimba kama watu wanakimbia mchakamchaka fulani hivi zinaitwa Singeli. Jana watoto wengi walipata vipaimara sasa kuna Nyumba moja walikodisha mziki ambao sauti Kitongoji chote ilizizima kana kwamba kila mwanakitongoji kavalishwa headphone kwa ile mdundo. Mdundo...
  9. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje tarehe na mwezi wa kuzaliwa na kufa vinafanana?

    Yaani unazaliwa tareh 1 mwezi wa 3 1999 na unakufa tarehe 1 mwezi wa 3 2000
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyepandikiza Sumu hii isiyo ya Kiutu ndani ya Mioyo ya Waswahili (Watanzania) wengi hasa hasa Siku hizi?

    Unakuta Ndugu au Rafiki yako kabisa labda amepatwa na Msiba wa Mzazi wake lakini Wewe ambaye pengine kwa sasa anakuona huna Kipato (Pesa) hakutaarifu au unakuja Kusikia kutoka kwa Watu wengine. Na kama haitoshi hapo hapo tena unakuta Ndugu yako kabisa labda anauguza Mzazi wake lakini hakutaarifu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Majaliwa aagiza hospital ya Uhuru mjini Dodoma iwe imekamilika ndani ya siku 15 ili Rais Magufuli aifungue 09/12/2020

    Waziri mkuu ametembelea kwa ghafla hospital ya Uhuru iliyopo Chamwino mkoani Dodoma na hajaridhishwa na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wake. Akiwa amekasirishwa mh. Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa kuhakikisha ujenzi unakamilika ndani ya siku 15 ili mh. Rais Magufuli aje aifungue siku ya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Magufuli kuwa Kabudi na Lukuvi hawatagombea Urais haikuwa ya ghafla, ilipangwa siku nyingi na ndio mwanzo wa mgogoro ndani ya CCM

    Siku Magufuli alipotamka hadharani kwamba Kabudi na Lukuvi hawatagombea Urais kwa sababu ya umri wao mkubwa, wengine walicheka wakiichukulia kama ni kauli ya ghafla. La hasha, hii ilikuwa ni kauli ya kimkakati ambayo Magufuli alikuwa ameitafakari na kupanga kuisema kabla hata ya kuingia Uchaguzi...
  13. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Matukio ya polisi kunyanyasa na kutesa watu ni mengi sana

    Historia imethibitisha majeshi hayajawahi kuwashinda binadamu hata siku moja. Napoleone Bonaparte na jeshi lake lenye nguvu alipoivaimia Urusi aliondoka kwa aibu baada ya warusi kuchoma nyumba zao na baridi kali likamfanya Napoleo atoke nduki. Alipotekwa Mo Dewji tulimsikia rais JPM akisema...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya siku ya Choo Duniani: Watu bilioni 4.2 hawana huduma nzuri za vyoo

    World Toilet Day celebrates toilets and raises awareness of the 4.2 billion people living without access to safely managed sanitation. It is about taking action to tackle the global sanitation crisis and achieve Sustainable Development Goal 6: water and sanitation for all by 2030. This...
  15. Dam55

    JamiiForums Tanzania Hili la siku ya wanaume duniani kuingiliana na siku ya maadhimisho ya Choo imekaaje?

    Leo ni siku ya wanaume duniani lakini siku hii imekuja wakati ambapo Kuna maadhimisho ya siku ya Choo. Huko mitandaoni kashfa zimekuwa nyingi sana, hii siku imekosa thamani kabisa leo. Kweli wanaume siku hizi tunapenda vyoo hasa vile vikubwa Ila hii ya leo imezidi. =============...
  16. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kununua magazeti siku hizi ni kupoteza pesa yako

    Mfumo wa chama kimoja utafanya maisha ya mtanzania kubadilika kabisa, kiuchumi, kijamii nk. Tukiongelea upande wa magazeti hamna kipya kwa kweli, habari ni zile zile na watu ni wale wale tutakaowasikia. Hiyo ni mbaya maana itapelekea watu kutonunua magazeti na mwisho wake waandishi kwenye...
  17. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Tuzo za AFRIMMA ni utopolo mkubwa siku hizi

    Hizi tuzo mwanzo zilikuwa na ushawishi sana kipindi hicho. Kiasi kwamba ukichukua tuzo ya AFRIMMA ni heshima kubwa lakini kwa sasa baada ya wanaija kuona watu wamezipuuzia wakaanza kuvuta attention kwa kuwa nominate wasanii wetu utopolo wa East Africa. Ili kurudisha hamasa ya kama mwanzo...
  18. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Zawadi ya ujuzi: Tutumie siku nne kuunda wavuti, isiyo zidi page tano

    Weka design katika mchoro au picha kisha tutaendelea. Mwisho wa siku kuna mtu atapata kitu fulani hapa. Kwanini nataka wewe ndio uweke design nataka nitumie muda mfupi website hii itakuwa ni multi-page. Wiki ijayo sitakuwa JF kwa muda mrefu kidogo nataka niwaache na zawadi wale watakao taka...
  19. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Khalid, Askari aliyeuawa Pemba Oktoba 28 wapatikana

    Mwili wa askari wa KVZ aliyejulikana kwa jina la Khalid umepatikana baada ya kuuawa siku ya uchaguzi ===== Pemba. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba limefanikiwa kuupata mwili wa aliyekuwa askari wa kikosi cha KVZ Khalfan Junedi aliyedaiwa kuuawa wiki tatu zilizopita eneo la Ngwachani Wilaya...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Novemba 16 Siku ya Kimataifa ya Uvumilivu (ustahimilivu)

    International Day for Tolerance is marked on November 16. As the name suggests, the day is observed to build tolerance among the cultures and people. The day was started by the United Nations General Assembly. The main aim behind starting this day was to make educational institutions and people...
Back
Top Bottom