siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watawala wa Tanzania, labda siku moja mtapenda mpewe haki ya kusikilizwa Mahakamani pia!

    Walioweka mfumo wa Mihimili 3 yaani Serikali, Mahakama na Bunge hawakuwa wajinga, walijua wanafanya nini na walikuwa na nguvu za Umungu lkn bado waliona umuhimu wa kuwa na Mahakama na Sheria kwamba kila Binadamu ana haki ya kusikilizwa na ndo maana hata wauwaji wanafikishwa Mahakamani na...
  2. JamiiForums Tanzania ULIMWENGU NDIO MAMA: Wadogo zangu someni sana. Zinakuja siku huko mbeleni wazazi watakuwa wamelala usingizi wa milele na umebaki wewe na walimwengu

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums. Ninapenda kuchukua wasaa huu kutuma salaam zangu za pole sana kwa mkuu wa wilaya ya Kisarawe (DC) Madam Jokate Mwegelo kwa msiba mzito uliomfika wa baba yake mazazi mzee Urban Costa Ndunguru. Mungu azidi kumtia nguvu na faraja...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango maneno uliyotamka siku unaapishwa yalitoka ndani ya moyo wako? Ulikuwa unawakebehi Watanzania?

    Wahenga wanasema tembea uone. Ndio maana hata mzee Mwinamila alipokuwa hai aliwahi kutunga wimbo akimwambia Mwl Julius Nyerere atembee aone ili ajionee kwa macho yake nchi anayoitawala na watu wake wanaishi kwa namna gani. Nimepafanya kijiziara kidogo suo moto, maana sijapangiwa na mtu. Ila...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Hii Hali ya Umeme kutouwepo siku nzima maeneo mbalimbali ya nchi, tatizo nini

    Umeme kwa huu mwezi unakatika Sana siku nzima, ukiuliza emergency wanajibu matengenezo, nimetembea mikoa Saba mwezi huu shida Ni hiyo hiyo, huku wengine wanasema mitambo imechakaa , huku wengine wanasema stigler, wengine wanasema mgao wa kimya kimya, embu serikali itoe kauli Kama Kuna mgao...
  5. JamiiForums Tanzania Tunduma: Ally Mwafongo na wenzake 57 watimiza siku 143 Gerezani

    Aliyekuwa Meya wa Tunduma kupitia Chadema Mh. Ally Mwafongo alikamatwa na Polisi kwa tuhuma za kutengenezwa kiwandani za mauaji kabla ya uchaguzi na kuwekwa selo yeye na viongozi wengine lundo wa Chadema , lengo la unyama huo lilikuwa kumzuia kugombea tena udiwani ili kuirahisishia ccm ushindi ...
  6. JamiiForums Tanzania Mnaosema siku hizi hakuna kutongoza huwa mnatumia njia gani?

    UTANGULIZI Najua kuna mtu atakuja hapa kusema kuwa "Asubuhi yote hii nawaza mapenzi? Kwani hili jukwaa limewekewa muda maalum? Wee piga kazi tuache sisi tujadili mapenzi. Ukisha kuwa huru sasa njoo uchangie. OKEY, TWENDE MADANI Ndugu msomaji, rejea kichwa cha habari hapo juu Baadhi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini akina mama wengi siku hizi kunyonyesha imekuwa kama adhabu hususani mtoto anapofikisha umri wa mwaka mmoja?

    Naomba mnisaidie mawazo zaidi Kwani inafahamika kiafya mtoto inabidi anyonye mpaka miaka miwili kwa afya njema kiakili sasa imekuwa tofauti kwa Sasa kwani wengi wameshindwa kufikisha muda huo. Na wale wanaofikisha wanakuwa Kama kwenye adhabu ati mtoto anaponyonya maziwa hayatoki vizuri au...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Walionunua magari ya kifahari kwa fedha za walipakodi nawapa siku 7 za kujieleza

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku saba kuanzia leo (Alhamisi, Desemba 17, 2020) kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, maofisa wanaochambua maombi ya ununuzi wa magari Ofisi ya Waziri Mkuu na wakurugenzi wa Jiji la Mwanza, Halmashauri ya wilaya ya Chato, Msalala na Kahama wajieleze kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Gazeti la Daily News ni kichefuchefu. Kila siku front page ni JPM ......

    Haya magazeti huletwa kazini kila siku ya kazi ili kutimiza azma ya kuwapa watumishi haki yao ya kupata habari kama katiba inavyosema. Sasa karibu kila siku lazima ukutane na title ya JPM kafanya hili, mara JPM kasema hili, mara JPM kamtumbua kigogo. Hata kama ni mahaba sasa haya ni mahabati too...
  10. JamiiForums Tanzania Siku ya tano leo wife kaninunia kisa nilimchana ukweli kuwa hajapendeza

    Habari za leo watanganyika wenzangu? Jumamosi iliyopita tulikuwa na mwaliko wa harusi,sasa basi my wife akaniambia nikimaliza mizunguko yangu nimpitie ofisini kwake ili twende wote home tukajiandae, well me kwenye saa 10 hivi jioni nikawa nimemaliza mizunguko yangu, nikasema ngoja nimpitie wife...
  11. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Wizara ya Afya ametoa siku 14 kwa wamiliki wa vituo vya mchana vya malezi ya watoto (Day Care) kurekebisha kasoro kabla havijafungiwa

    Serikali imetoa siku 14 kwa wamiliki wa vituo vya malezi vya watoto na (Day Care), kurekebisha kasoro ili watoto hao walelewe katika mazingira sahihi na kwa kujibu wa Sheria. Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii), Dk. John...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Siku Viongozi Wakuu wa Serikali wakifanya haya nitaamini ni Wazalendo

    1. Wakiacha kujilipa mishahara mikubwa na posho za vikao na safari, kisha kuelekeza fedha walizostahili zikatengeneze huduma za kijamii. Hakuna ukweli kwamba wao wanalipiwa nyumba, posho, mishahara na marupu rupu kibao then tuwaite wazalendo. Wao wanakula zaidi kuliko sisi? 2. Siku watoto wao...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke anayeingia hedhi kila ifikapo tar 21(haibadiliki), mzunguko wake ni wa siku ngapi?

    Habari watu wa JF Kama mada vile inasema, napata utata Sana kujua Mzunguko wa siku za mwenzangu baadhi ya watu niliokwisha uliza wanakuwa wakisema Mzunguko wake uko na siku 28 mwingine vile akisema uko na siku 31. Sasa nakua dilemma which is which. Pia katika kupitia siku hizo za Mzunguko wa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ya colabo za TZ na Congo naona Diamond anaenda tena kuvunja rekodi yake ya views milioni 10 kwa siku 8

    Wiki hii Tanzania imeng'ara baada ya msanii wake Diamond kuweka rekodi ya kupata views milioni 10 siku ya 8 baada ya kutoa hit song aliyomshirikisha papaa mobimba KOFI OLOMIDE. Ngoma hiyo inayoenda kwa jina la WAAH ilitoka siku ya tarehe 30 Novemba muda wa saa 6 mchana na ikapata views milioni...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mkurugenzi wa Kinga; Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee, Siku ya Maadhimisho ya Mtoto Njiti, tarehe 17 Novemba 2020

    Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema hadi kufika hapa siku ya leo, napenda kuwashukuru nyote kwa kuja, tunapoungana kwa ajili ya kuadhimisha siku ya mtoto njiti Duniani leo tarehe 17 Novemba 2020. Aidha ninayo furaha kuwa sehemu ya maadhimisho haya, jambo...
  16. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya kimataifa ya siku ya haki za binaadamu: Waandishi wa habari 42 wameuawa wakati wakitekeleza majukumu yao

    Ripoti mpya ya kila ya mwaka ya Shirikisho la Kimataifa la Waandishi wa Habari IFJ, lenye makao yake nchini Uholanzi, inasema waandishi wa habari 42 na wafanyakazi wa vyombo vya habari wameuwawa wakati wakitekeleza majukumu yao kwa mwaka huu pekee. Kwa mujibu wa ripoti hiyo iliyotolewa jana...
  17. JamiiForums Tanzania Desemba 10: Siku ya Kimataifa ya Haki za Binadamu

    Human Rights Day is observed every year on 10 December — the day the United Nations General Assembly adopted, in 1948, the Universal Declaration of Human Rights (UDHR). The UDHR is a milestone document that proclaims the inalienable rights which everyone is entitled to as a human being -...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanakandanda wa Kiitaliano Paolo Rossi afariki dunia akiwa na umri wa miaka 64

    Former Italian footballer Paolo Rossi, who led the national team to victory in the 1982 World Cup, has died aged 64, his family says. His wife Federica Cappelletti posted on Instagram a picture of them together with the words "Per sempre" ("forever" in Italian). She did not disclose the cause...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi wangu, msione sifa kuikanyaga Katiba na mkidhani hatuna la kuwafanya. Mkumbukeni Mangungo kwa tafakuri

    Hakika tumeshuhudia mengi katika kipindi hiki kifupi viongozi wetu wakitenda hili na lile kwa faida ya nchi yetu, lakini pia wakitenda hili na lile kwa fedheha ya nchi yetu. Ni kipindi ambacho baadhi ya viongozi wa kisiasa wamekuwa na nguvu kushinda katiba ya nchi wanayo apa kwayo kuilinda...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kampeni za kuing'oa CCM hata 2025 zipo pale pale, ipo siku watang'oka tu!

    Mifano ni mingi sana kutoka sehemu mbalimbali za dunia, wangapi walivuma na kujiona ndio wao tu, mbona wameondoka tena wengine kwa aibu. Mimi sio mtu wa siasa wala sina kadi ya chama chochote ni mpenda mpira na kuangalia mechi katika medani ya siasa. Nipo huru kifikra kwa hio naweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…