siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. K

    Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi na Balozi Hamphrey Polepole; mfano halisi wa ugumu wa siasa

    Kuna wakati ukiona maisha ya viongozi wakubwa wakisiasa yalivyo ya luxury unatamani ungekuwa mmoja wao au pengine hata watoto wako mmoja wao aje kuwa kiongozi mkubwa wa kisiasa kwasababu huko kuna hela na maisha ni hela Magari wanayotembelea, nyumba wanazoishi, maisha wanayoishi, ilivyo rahisi...
  2. Siasa kwenye Elimu ya Tanzania: Wanafunzi 2,4, ii na iv, wabadilishiwa tarehe ya Mitihani kisa El Nino. Wizi Mtupu

    Kwa mujibu wa Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said Mohamed, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne utafanyika Oktoba 5 na 6, 2026, badala ya Oktoba 21 na 22. Aidha, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Pili, uliokuwa umepangwa kufanyika Novemba 17 na 18, sasa utafanyika Oktoba 7 na 8, 2026. Kwa...
  3. Siungi mkono katiba mpya isiyo na haki za makundi yote na kutenganisha dini na siasa.

    Katiba mpya nitakayounga mkono lazima izingatie mambo makubwa matano. 1. Ushoga uondolewe kuwa kosa la jinai. Serikali isiingilie kabisa mambo ya mapenzi kwa watu wazima waliokubaliana katika mambo ya ngono. 2. Kutenganisha kabisa dini na siasa na shughuli za umma. Hakuna kusali kwenye...
  4. ACT Wazalendo ndani ya GNU: Mamlaka ya Makamu wa Kwanza wa Rais na athari kwa siasa za Muungano

    Zanzibar. Uamuzi wa ACT-Wazalendo kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) Zanzibar umefungua ukurasa mpya wa siasa za visiwani na kwa kiwango fulani umeibua maswali kuhusu namna hatua hiyo inavyoweza kuathiri siasa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hususan Tanzania Bara. Mjadala huo...
  5. Kilimo na Biashara: Kipi kinalipa kwa siasa za Tanzania!

    Maisha ni sias and vice versa. Je, kwa kijana aliyetoka chuo na kupata uridhi wa milioni 5 kwa wazazi wake, aingize kwenye kilimo au biashara? ROBERT: Amehitimu UDSM kitengo cha Sheria, akaingiza milioni 5 kwenye kununua mahindi Songwe ili asafirishe Malawi, kufika mpakani kakuta hakuna kibali...
  6. Huenda Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akapokea gari jingine jipya binafsi kutoka kwa wafaddhili wa siasa zake chadema.

    Ni gari dogo zuri tu, binafsi kwaajili ya matumizi yake mwenyewe na ya familia yake, kama ambavyo pia aliwahi kupewa na marafiki zake kipindi cha hapo nyuma. Je, kwa hali ya kisasa ilivyo ndani na nje ya chadema kwasasa dhidi yake, unadhani ni wakati muafaka kwa kiongozi huyo kupokea gari hilo...
  7. R

    siasa za mahusiano ya kimapenzi za maafisa halmashauri na madams walioolewa na watumishi wenzao halmashauri husika,Tunakomaje!!?

    Umetoka nae huko mbali sana kusipojulikana,maafisa wanaanza kumpitia ,unafikiri hicho kiburi,majigambo,majivuno,kelele unaweza ku survive!!? Pale utakapoanza kuonekana wa kawaida na hata mwenza kukutishia afisa husika kama spinning machine ya kiburi chake,je utavumilia!!?kisa watoto na siasa za...
  8. Wakristo tambueni kuwa hakuna dini inayowatambulisha. Zinaoitwa dini nyingi zililetwa kwa itikadi ya siasa na kujitenga ila nyie ni wafuasi wa Yesu

    Nyie sio dini, Mlitengeenezewa category ya dini na institutions za kidunia baadae sana ila hakuna mahala Yesu, Petro na Paulo walisema wanaanzisha dini mpya au waliacha maagizo mji-organize kama dini, hapana, walichowahimiza nyie ni kufuata ya njia ya Bwana Yesu Kristo. Hizi zinazoitwa dini na...
  9. Ni upi hasa mchango wa vyama vya vya siasa hususani vya upinzani katika ustawi wa demokrasia, utawala wa sheria na utawala bora Tanzania?

    Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania, kumekuwepo na mageuzi na mabadiliko mengi sana makubwa ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa. Kama mdau wa muhimu na wa heshima sana wa JF, unadhani ni upi mchango wa vyama vya siasa vya upinzani katika...
  10. R

    Ni kweli mikutano ya hadhara ya siasa imezuiliwa?

    Naona kumepoa sana. Kulikoni?
  11. Endapo chadema itafutwa, unadhani wanachama wake wengi watakaokua wapweke na yatima kisiasa, watajiunga na chama gani cha siasa mbadala wa chadema?

    Je, watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa? Na je, wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa...
  12. Huenda hukumu ya Tundu Lissu ikaambatana na kufutwa kwa CHADEMA kama chama cha siasa nchini

    Hatua hiyo itasaidi pakubwa kuimarisha demokrasia, uwazi, utawala bora na utawala wa sheria nchini. Kufutwa kwa Chadema kama chama cha siasa itakua ni ni fursa muhimu kwa vyama vingine vya siasa kukomaa, lakini pia itakua ni mwanzo mpya wa zama za siasa za kistaarabu Tanzania. Kubwa zaidi...
  13. Kwa mda mfupi niliokaa jamii forum hum na kwa upeo wangu mdogo nimegundua yafuatayo

    Kama hizi mbinu zote mmefeli CHADEMA ni dude kubwa 1.Divide and rule>kugawa kundi Ili lisipate nguvu ya pamoja 2.Reward and punishment>kutumia zawadi na adhabu kusimamia tabia 3.Framing>Kueleza jambo kwa mtazamo frani Ili wanaokusikiliza waelewe kwa namna hyo 4.Complomise>Kila upande kutoa...
  14. Siasa za kimtandao (Oligarchy/ Plutocracy): Historia inayojirudia Tanzania

    Kulingana na Jeffrey Winter (2011) katika kitabu chake cha siasa za kimtandao(Oligarchy) anasema " Mfumo wa siasa za kimtandao unajengwa na mtandao wa wasomi wa kiuchumi wanaotumia ukwasi wao kulinda mali zao na kushawishi maamuzi ya Serikali. Maelezo hayo yaliyotolewa na Jeffrey yanatupa...
  15. Lema alipokutana na Heche jana alitikea Sea Cliff hotel au Arusha?

    Na walizungumza nini kwa mfano? Na mbona facial expressions na body language zao hazina chemistry ya pamoja na kwamba ni kama vile hakuna cha maana kilichojadiliwa miongoni mwao jana? au wewe umeobserve nini politically miongoni mwa mafahali hao wawili wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi na...
  16. Kiki kwenye siasa ni kukwepa uwajibikaji!

    Hivi kudandia mambo ya chama kingine ambayo hayawahusu ni umbeya au kutafuta kiki? Hii haimaanishi watu wasihoji au kukosoa mnaruhusiwa kabisa kuhoji Lakini watu wa humu jukwaani wa CCM kuanza kushupalia mambo ya CHADEMA, ni kwa sababu wao ni waadilifu sana au ni umbeya tu? Nyie...
  17. O

    Kuna haja ya kuwa na Sheria inayoongoza michango kwa shughuli za vyama vya Siasa inchini.

    Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
  18. CHADEMA, saidieni chama cha Siasa cha The Independent People's Party (IPP) kisajiliwe

    Yaani kama mnataka mpate nafuu ya siasa, basi saidia hawa jamaa waanzilishi wa chama cha siasa cha CHADEMA, saidieni chama cha Siasa cha The Independent People's Party (IPP) kisajiliwe. Mtanishukuru baadaye. CUF walisaidia ACT Wazalendo kusajiliwa. Msikae kizembe sana. Kumbuka msajili...
  19. R

    Janeth Rithe: Sasa hivi ukiingia kwenye siasa ujikane tu nafsi yako, kuna watu wamejifunza kuua na sisi tunatakiwa kujifunza kufa

    Akizungumza katika mahojiano na M & S Podcast yaliyorushwa Septemba 9, 2026, Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa Chama cha ACT-Wazalendo, Janeth Rithe, ameeleza kuwa mazingira ya sasa ya kisiasa nchini yanahitaji viongozi wenye kujitolea kama "sadaka" kuwa tayari kufa ikiwa una dhamira ya kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…