siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Tlaatlaah

    Lema alipokutana na Heche jana alitikea Sea Cliff hotel au Arusha?

    Na walizungumza nini kwa mfano? Na mbona facial expressions na body language zao hazina chemistry ya pamoja na kwamba ni kama vile hakuna cha maana kilichojadiliwa miongoni mwao jana? au wewe umeobserve nini politically miongoni mwa mafahali hao wawili wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi na...
  2. ShesRise_1

    Kiki kwenye siasa ni kukwepa uwajibikaji!

    Hivi kudandia mambo ya chama kingine ambayo hayawahusu ni umbeya au kutafuta kiki? Hii haimaanishi watu wasihoji au kukosoa mnaruhusiwa kabisa kuhoji Lakini watu wa humu jukwaani wa CCM kuanza kushupalia mambo ya CHADEMA, ni kwa sababu wao ni waadilifu sana au ni umbeya tu? Nyie...
  3. O

    Kuna haja ya kuwa na Sheria inayoongoza michango kwa shughuli za vyama vya Siasa inchini.

    Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
  4. figganigga

    CHADEMA, saidieni chama cha Siasa cha The Independent People's Party (IPP) kisajiliwe

    Yaani kama mnataka mpate nafuu ya siasa, basi saidia hawa jamaa waanzilishi wa chama cha siasa cha CHADEMA, saidieni chama cha Siasa cha The Independent People's Party (IPP) kisajiliwe. Mtanishukuru baadaye. CUF walisaidia ACT Wazalendo kusajiliwa. Msikae kizembe sana. Kumbuka msajili...
  5. R

    Janeth Rithe: Sasa hivi ukiingia kwenye siasa ujikane tu nafsi yako, kuna watu wamejifunza kuua na sisi tunatakiwa kujifunza kufa

    Akizungumza katika mahojiano na M & S Podcast yaliyorushwa Septemba 9, 2026, Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa Chama cha ACT-Wazalendo, Janeth Rithe, ameeleza kuwa mazingira ya sasa ya kisiasa nchini yanahitaji viongozi wenye kujitolea kama "sadaka" kuwa tayari kufa ikiwa una dhamira ya kuwa...
  6. Zack Abdul

    CHADEMA: Siasa za Ubabe na Vurugu

    Siasa za chadema zimeingia katika level nyingine ya UBABE, NGUVU, VURUGU, CHUKI NA HASIRA. Kwa bahati mbaya, hawana silaha. Wangekuwa na silaha, WANGEUA ILI KUWEKA MAMBO SAWA. Ukisikia aina ya maneno na sera zao kwa sasa, unaona kuna transformation kubwa sana.
  7. lord atkin

    AI: Kuna wakati harakati hazipaswi kutumika kuendesha vyama vya siasa

    Ndiyo, kuna wakati harakati hazipaswi kutumika kuendesha vyama vya siasa, hasa pale chama kinapotaka kujenga taasisi imara, endelevu na inayofuata misingi ya kidemokrasia. Ingawa harakati ni muhimu sana katika kuamsha umma, kupigania haki fulani, au kuanzisha mapinduzi ya kisiasa, zikitumika...
  8. M

    Uaminifu wa Wachaga kwenye upinzani unashuka, viongozi wachache wanaponza kabila zima kuonekana kujali maslahi tu, hawana msimamo wala uzalendo.

    Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k. nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache. Watu...
  9. Eli Cohen

    Siasa za ROT zimenishinda nguvu. Leo hii mtu anabizwa, kesho anatoa pongez, kesho kutwa anatoa pole, siku zijazo wanaungana, siku zifuatazo wanaachana

    Hakuna tumaini la mnyonge katika hili bara la afrika. Its a circous.
  10. idiomer

    Ili tuendelee tunahitajika 1. Watu 2. Ardhi 3.. Siasa safi 4. Uongozi safi

    Hapa tumebaki na nini? Ardhi ????
  11. instinct desire

    Wafuasi wa chadema badilikeni utu ni muhimu kuliko siasa kwahiyo watu wasishiriki misiba nyie ni watu wa ajabu sana

    Chadema hakuna wazee wa kuwashauri wote wamewakimbia kwasababu wanasiasa zisizo jari utu wa watu wengine, chadema wanafanya siasa za kimihemko sana, Inakuwaje wasitake watu wahudhurie misiba? Misiba inahusiana vipi na siasa? Kwahyo mtakuwa mnahudhuria misiba ya chadema tu? Mnajiona mpo sawa...
  12. ChoiceVariable

    DP World Yaingia Mombasa Kwa Kishindo.Je Bandari yetu Itaendelea kuwa na Ofanisi au Ndio Wanatukacha Kwa Kuchoshwa na Siasa Uchwara za Wapinzani?

    My Take Nahitaji majibu maana biashara ni ushindani,wakitukacha itakuaje? ============= Rais wa Kenya, William Ruto, ameunga mkono ujenzi wa Eneo Maalum la Kiuchumi (SEZ) lenye thamani ya Shilingi bilioni 12 za Kenya (Ksh12 bilioni) katika eneo la Jomvu, Mombasa, akisema mradi huo utasaidia...
  13. Tlaatlaah

    Wanadai eti aliishiwa nguvu, wakati hata ukimtazama tu alivyo ni kwamba hana nguvu kabisa, Ni vizuri Mzee akapumzika siasa sasa, inatosha.

    Tafadhali my friends, ladies and gentlemen, Mzee aachwe apumzike na kuipambania afya yake. Asihangaishwe na wanasiasa au wanaharakati kwa maslahi ya siasa au harakati zao. Ni vizuri familia yake nayo ikachukua hatua muafaka, imsaidie Mzee apate medical attention ya maana, apate utulivu na muda...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kuibuka na kuzama kwa jahazi la Sukuma Gang kwenye medani ya siasa za Tanzania

    "Sukuma Gang" ni jina au msemo wa kisiasa nchini Tanzania unaotumiwa kuelezea kundi la wanasiasa, viongozi, na wanaharakati wa mtandaoni walioaminika kuwa wafuasi wa karibu wa mtazamo, falsafa, na uongozi wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Neno hili si kundi...
  15. R

    Jaji Warioba: Chaguzi zetu zote zimekuwa za kibaguzi kwenye siasa toka zamani

    Jaji Mstaafu, Joseph Warioba, amesema kuwa ubaguzi katika ulingo wa siasa na michakato ya uchaguzi umekuwa tatizo sugu ambalo limeendelea kuota mizizi kwa muda mrefu nchini Tanzania. Akizungumza leo Septema 7, 2026, katika mkutano uliotayarishwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) la...
  16. R

    Steve Nyerere: Si afya kuendelea kutoa matamko, Watanzania hawataki siasa sasa hivi, wameridhika, wamempokea Makamu mpya

    Nukuu ya Steve Nyerere kwa Maandishi "Tukiikubaliane kwamba yaliyopita si ndio yetu, tugange yajayo. Laiti pili, mimi sizani, na hili ninawaomba kwa wenyeviti wa Chama cha Mapinduzi wa mikoa yote, sizani kama kuna afya sana kuendelea kutoa matamko. Kwa sababu tamko limeshatolewa na Kamati Kuu...
  17. U

    Gwiji la siasa mzee jakaya

    NIkicheki mzee alivyopokea matokeo mwaka huo 95 nagundua kwamba emotional intelligence yake iko juu sana tena kipindi hicho akiwa chalii kabisa. HIyo video ya pili ninalivyokua akideal na upinzani. Hivi kabisa mbinu zake hizi kwa sasa kwanini hawazitumii?? Pia nikikumbuka alivyomjibu kagame...
  18. K

    Ingekuwa Sugu au Lema ndio wanashika nafasi ya Heche, siasa za Tanzania zingekuwaje?

    Natafakari hapa, Kwa hali ilivyo je wanasiasa kama vile Sugu au Lema wangeendelea kukomaaa kama aivyokomaa Heche Wegesa Kuna mwanasiasa yeyote ndani ya CHADEMA anaweza kuwa na msimamo kama Heche na Lisu
  19. Yoda

    Nini kimesababisha mchango wa Waislamu katika harakati za siasa za mapambano Tanzania kuwa ukipungua ?

    Kuanzia uhuru mpaka leo hii mchango wa Waislamu katika harakati za mapambano umeenda ukipungua sana. Wakati wa uhuru Waislamu walikuwa active sana mstari wa mbele katika harakati za uhuru pamoja na Nyerere. Watu wengine kama Mohamed Said wanafikia mbali hata kusema Waislamu ndio walikuwa...
  20. technically

    Nimeota ndoto kuhusu siasa za Tanzania

    Nimeota ndoto kubwa sana kwamba namba nne Hana makucha Tena Ndoto ilienda mbali zaidi kuwa nguvu zimebaki kwa mtoto wa namba sita. Ndoto ikaenda mbali zaidi kuwa namba nne alitaka aweke mtoto wake pale kwenye namba mbili na amegonga mwamba. Kibaya zaidi mtoto wa namba sita ndiye mkuu wa idara...
Back
Top Bottom