siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. funaku

    GODBLESS LEMA anaonesha siasa sio uwanaharakati!

    Ilikuwa inanishangaza sana eti mpuuzi mmoja ambaye tuliwahi kumsema humu JF ndio amegeuka kuwa nguzo ya kisiasa ya chadema
  2. Carlos The Jackal

    CHADEMA hatuhitaji Siasa za kuisindikiza CCM na kuipa uhalali ,LEMA na MBOWE ni magugu ya mwisho Mwisho kung'olewa kutoka chamani!

    Kwa miaka yote tangu 1992, CCM imeunda vyama Uchwara ,ikiwajua wanasiasa wéngi ni waganga njaaa . Ushindi wa LISSU na HECHE ,umebadili Siasa za Nchi Naamini kama Wananchi, NJIA ya CHADEMA ndio NJIA sahihi , ni lazima Mwananchi achague Diwani ,Mbunge na Rais anayemtaka. Habari za kupewa...
  3. M

    Uaminifu kwa Wachaga katika siasa za upinzani umeshuka sana, viongozi wachache wanafanya wengi waonekane wanathamini fedha kuliko misingi ya harakati.

    viongozi wachache wanaponza wachaga wote kuonekana kila kitu pesa mbele Cv ya wachaga inaendelea kugalagazwa matopeni kwa haya matukio ya wanasiasa wake wa upinzani kuvigeuza vyama kuwa mitambo ya kupiga deal na kuwa madalali wa siasa.
  4. B

    Mabadiriko ya vyama vya siasa yawe hivi : mwenyekiti wa chama kitaifa asiwe rais.

    ni hatari sana mwenyekiti wa chama kitaifa kuwa rais.hapa akitokea rais asiyetaka kushauriwa ,ni hatari sana kwa taifa .kwa kweli mwenyekiti wa chama kitaifa asiwe rais. chukulia mtu mwenye misimamo kama TL awe rais na ni mwenyekiti wa chama .hapo inakuwaje? hata hayati magufuli kuna sehemu...
  5. DodomaTZ

    Mbeya yapata Joto la Siasa: Wasafwa na Wanyakyusa watajwa katika Mjadala wa Ukabila kuelekea Uchaguzi wa CCM 2027

    MBEYA, joto la kisiasa linaanza kupanda kuelekea uchaguzi wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa mwaka 2027, huku mjadala kuhusu ukabila kati ya Wasafwa na Wanyakyusa ukizidi kujitokeza katika mazungumzo ya kisiasa. Vikao na vijembe vya chini kwa chini vinaendelea, hali inayofanya suala la...
  6. M

    JWTZ Kama taarifa hii mmeikana, msahau kushinda vita au kuilinda Nchi, Siasa za CCM zimeua Taifa.

    Katika mitandao kuna huu ujumbe unasambaa na Jeshi linasema si taarifa sahihi. Sio kila fake news ni ya kupinga, zingine ziko kimkakati sana, JWTZ kukana hii taarifa kwa kutokukaa kimya ni kuruhusu rasmi vijana wajilinde wenyewe hata kwa kutafuta Silaha. Hii habari jeshi limekanusha kwa nguvu...
  7. okiwira

    Siasa za Tanzania na unafiki na ubinafsi ni mahala pake

    Wanaharakati na wanasiasa wa TANZANIA swala la watu kuharibikiwa mali zao na kuibiwa sio ishu kwao yaani haliwavushi katika matarajio yao. Siku tukiacha kuwa na vibaka wenye mamlaka na vibaka jamii ya kawaida katika siasa mageuzi hayatahamasishwa na wenye matarajio yao binafsi.
  8. Tlaatlaah

    1994, Rwanda walikaa kimya dhidi ya unafiki na chuki zilizkua zinahamasishwa na vyama vya siasa na taasisi za kidini kama ambavyo inafanyika Tz sasa.

    Please Please, My friends, ladies and gentlemen, tusikae kimya, kutazama tu bila kukemea taasisi za kidini na vyama vya siasa vikiendelea kuhamasisha na kuchochea chuki, uhasama na migawanyiko, ambayo ni wazi inalenga kuamsha hasira na ghadhabu miongoni mwa jamii za waTanzania na pengine kuleta...
  9. Troll JF

    Tujikumbushe kidogo Mwaipaya alivyotoa mbinu za kuepuka kutekwa

    Jana ilitoka taarifa ya Kutekwa Twaha Mwaipaya na watu wasiojulikana Nairobi Kenya, baada ya tukio hilo kuna kipindi Mwaipaya aliwahi kutoa mbinu kadhaa za kuepuka kutekwa. Kipi kimemkuta maana alitoa mbinu nzuri sana za kuepuka na adhaa kama hii ya matukio haya ya utekaji. Ambayo si matukio...
  10. M

    Mbeya ni injini ya siasa za upinzani Tanzania. Walichokosa ni chama chenye mizizi Mbeya na kiongozi CHADEMA, lakini harakati na hamasa, hawana mfano

    Ukiondoa Dar es Salaam, mkoa uliofuata kwa Mo29 ulikuwa ni Mbeya, wilaya nne za Mbeya Mjini, Mbeya Vijijini, Uyole na Kyela maandamano yalifanyika kwa kiwango kikubwa. Kwa upande wa mikoa kama Mwanza na Arusha, maandamano yalijikita zaidi katika maeneo ya mijin, kwa mkoa wa Mara maandamano...
  11. instinct desire

    PostGE2025 Sisi tuliookoka tunayaishi maagizo ya Mungu bila unafiki. Hatuwezi kuadhimisha vifo vilivyotokana na kukiuka maagizo ya Mungu (dhambi)

    Bwana Yesu asifiwe sana, Watu wa MUNGU. Sisi walokole hatuwezi kuadhimisha vifo ambavyo vimetokana na kukiuka agizo la Mungu. Mungu ametaja wazi mambo ambayo yanaweza yakatuondolea uhai wetu na kututenga na USO wa Mungu...kwa uchache ambayo ni Uzinzi Kuiba Mali za watu Kutamani Mali/mke wa mtu...
  12. britanicca

    Siasa za kitapeli tuziache, Mnyika nakukubali sana Ila kusema tugome kula wakati tunakula si njia sahihi

    Why doth CHADEMA perpetually resort to jocularity in matters of fundamental import? Ye remain passive, not active! It is meet and proper for Lissu to abstain from nourishment, yet for us without to engage in a hunger strike is devoid of significance. We ought to proceed unto the penitentiary...
  13. instinct desire

    Tuachane na Maridhiano kwasababu yalishawahi kufanyika: vyama vikaruhusiwa kufanya siasa, ruzuku zikalipwa, kesi zikafutwa lakini mwisho ikawa hasara.

    Watanzania siyo wageni na kitu kinachoitwa maridhiano, kwa nature ya wanasiasa hawa tulionao, hakuna haja ya maridhiano kwasababu maridhiano yalishawahi kufanyika tukitegemea tutaona siasa za kizalendo, tulitegemea tutaona uzalendo wa kwelikweli kwa Taifa letu lakini cha ajabu wanasiasa wakaanza...
  14. C

    CHADEMA yashinda kesi dhidi ya Said Issa Mohamed kuhusu kufungiwa kisiasa

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, maombi ya kutaka CHADEMA ipigwe 'STOP' TENA KUFANYA SIASA yametupiliwa mbali na Mahakama Maombi hayo yaliletwa Mahakamani hapo na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohammed na mwenzake Ahmed Rashid Khamis...
  15. MALCOM LUMUMBA

    Jinsi ambavyo Siasa zinavyoweza kuzorotesha Jeshi na Usalama wa nchi

    "Ukifahamu ukweli na usipousema, Mungu lazima atakudai damu za watu hao." Tanzania imeanza kujivuruga yenyewe, na amini nawaambia haya yanayofanyika kipindi hiki lazima yatakuja kuleta madhara makubwa baadaye. Hasahasa ukizingatia jinsi ambayo siasa za Africa zinaanza kuingiliwa kwa nguvu na...
  16. Troll JF

    Profesa wa Sayansi ya Siasa na Uongozi Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha baraza la Mawaziri

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Oktoba, 2026.
  17. A

    Askofu Gwajima akamilisha ujenzi wa kanisa lake, asema nguvu ya kisiasa haitalizuia

    Ni hotuba maalumu ya Bishop Gwajima kwenye siku ya ufunguzi wa ukumbi wa ibada uliopo maeneo ya Ubungo, Dar es Salaam. Askofu Gwajima amesema "aliyewapeleka mahabusu waumini wa kanisa hilo amewafundisha vita na wametoka hawaogopi washawasha wala mabomu ya machozi bali wanamuogopa Mungu auaye...
  18. mcTobby

    SIASA ZA MAOFISINI ZINAHARIBU TAASISI KULIKO UTENDAJI MBOVU

    Baadhi ya wafanyakazi hawashindani tena kwa kuboresha utendaji wao wa kazi. Badala yake, wanashindana ili wawe karibu zaidi na wakubwa wao. Badala ya kuongeza ujuzi wao, wanajitahidi kujenga uhusiano na watu wenye mamlaka ndani ya taasisi. Badala ya kuleta matokeo mazuri, wanashughulika...
  19. Yoda

    Mange Kimambi kuja na Podcast yake ya siasa kacheza kama Pele.

    Huyu dada ana akili kubwa sana ya kuwashughulisha watawala. Huu mpango wake wa kuja na Podcast ya siasa ni mapinduzi makubwa sana ukizingatia hakuna Podcast yoyote ya kisiasa ya Kitanzania mpaka sasa.
  20. W

    'Wewe ni mnafiki na huna shukrani' - Ruto amlipukia Uhuru Kenyatta, Vita vyao vya Siasa vikizidi kunoga

    Mvutano kati ya Rais William Ruto na mtangulizi wake, Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, umechukua mkondo mwingine baada ya Ruto kumshambulia vikali Uhuru kwa kile anachokitaja kama usaliti, kufuatia matamshi ya Rais huyo mstaafu kuhusu uchaguzi wa mwaka 2022 . Akizungumza Jumatatu, Oktoba 12, 2026...
Back
Top Bottom