siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Siasa za El nino : Hapo ulipo kuna mvua ,jua kali au upepo ?

    Tunatishiana sana kwa wale tulionunua vyakula Septemba mzigo umeisha na hapa tunambiwa kununua tena eti ni katikati ya October hii full kupewa betting Tumeanza kuambiwa kuwa kuna maeneo mvua imeanza baadhi ya maeneo hapa nchini kuwa Tanzania ni kubwa na humu jamiiforums tupo kila sehemu nambie...
  2. Watanganyika, tuwe wakweli ma tuweke siasa pembeni! Nani anayefaa kuwa Rais kati ya hawa wawili?

    Naomba mpige kura! Wote wana Phd za darasani!
  3. Freeman Mbowe: Mtu, Mfanyabiashara Na Siasa Zisizomuelewa Tena

    Mwandishi wa habari mkongwe, Ansbert Ngurumo ameandika makala hii kupitia tovuti yake ya Sauti Kubwa. Endelea... Freeman Mbowe. Kwa takribani miaka miwili sasa, Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa akikabiliwa na kampeni isiyo ya kawaida ya kumchafua kutoka kwa baadhi ya wanachama, viongozi...
  4. Hasara na athari za kususia uchaguzi kwa vyama vya siasa na wafuasi wao hua ni nyingi kuliko faida, taja athari wanazopata wasusia uchaguzi mkuu?

    Kwa kurelax, elezea hasara na athari hizo za kisiasa, kijamii na kiuchumi wanazopitia wasusia uchaguzi na vyama vyao vya siasa, kwa kurejea hasara na athari za wasusia uchaguzi wa Kenya, Zanzibar na Tanzania na itapendeza zaidi, kwasababu sote ni mashahidi, hakuna faida hata moja waliopata...
  5. I

    MUNGU, SIASA ZA DUNIA NA MKAKATI WA MUDA MREFU: KWA NINI URUSI INAJENGA MAKANISA AFRIKA?

    Urusi inapojenga makanisa Afrika, inaleta dini tu, au pia inajenga ushawishi wa muda mrefu? Swali hili limeanza kupata uzito kutokana na kasi ambayo Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi (ROC) limepanua shughuli zake barani Afrika katika miaka ya hivi karibuni. Desemba 2021, ROC ilianzisha...
  6. As soon as possible Chadema itaanza rasmi kupitisha bakuli la michango ya pesa kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa Tanzania.

    Nimeona ni muhimu sana kuwajulisha na kuwaandaa kisaikolojia, ili wakati muafaka ukifika msione kama ni surprise. Chama hakina pesa kwa sasa na sio siri tena, chama kinapitia ukata mkali wa pesa za matumizi ya kawaida ya kuendesha chama kwa kiwango kibaya sana, na mchango wako wa hali na mali...
  7. Siasa za chadema zimekaa ki laana laana sana

    Wafuasi wa chadema wanafanya mambo ambayo hata ambaye hakwenda shule hawezi kufanya ni siasa za kipumbavu na za hovyo kuwahi kutokea nchini zilifanywa na Hilda newton ambaye ni kiongozi wa chadema....huwezi kupata kura kwa kuwatukana na kuwadhalilisha wengine ni utahira tupu. Nawashauri wafuasi...
  8. I

    Kutoka Kwenye 'Newsroom' Mpaka Kwenye Siasa - Mwandishi Lulu Hassan Aanza Kupata Ladha ya Mvita

    Video ya Mwanahabari wa Citizen TV Lulu Hassan akiharakisha kuelekea kwenye gari lake huku walinzi wakimzunguka imezua gumzo huko Mvita kaunti ya Mombasa. Katika video hiyo ya Ijumaa, Oktoba 2, 2026, kundi la watu linaonekana kumfuata huku baadhi yao wakidaiwa kutaka msaada wa kifedha. Hata...
  9. Q

    Mapigo 10 ya Mungu kwenye siasa za Tanzania. Mungu akamwambia Farao bado pigo moja

    BWANA akamwambia Musa, Liko pigo moja bado, nitakaloleta juu ya Farao na juu ya Misri; baadaye atawapa ninyi ruhusa mtoke huku. BWANA akasema, usiku wa manane nitapita katikati ya nchi ya Misri; na wazaliwa wa kwanza wote watakufa, tangu yule mzaliwa wa kwanza wa Farao aketiye katika kiti chake...
  10. Nchimbi hana Siasa za kufanywa adui na Mfumo: Michezo Tu

    Kama ilivyo kwa binadamu wengine ni vizuri kujuliana hali na kuthamini uhai wa kila mtu kwa hiyo naelewa nikiona watu wanawaza yuko wapi bwana Ima. Ila sisi sote tunajua quality ya mpinzani ambayo CCM hawawezi kucheka naye, Ima hamna kitu, yani kisa kusema “Pambanieni katiba”??? Yuko sehemu...
  11. Lipo tatizo katika siasa zetu,Kiwanda cha kusafisha mafuta kitajengwa Kenya.

    Heshima kwenu wanajamvi. Sasa ni wazi Dangote kaamua kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta Lamu,Kenya. Tanzania tuko busy kupambana na siasa mbovu. Siasa zetu za ndani hazivutii uwekezaji mkubwa,labda kuuza au kukodisha Bandari au uendeshaji wa mwendokasi. Tayari Dangote keshatujua ndani nje...
  12. Hatutaruhusu wala hatutakubali mtu au chama cha siasa Tanzania, kuvuruga umoja, amani na usalama wa wa nchi yetu

    Kwa niaba ya waTanzania wote wazalendo na mamilioni ya raia wema wa nchi hii, I warn all individual politicians, groups of political bandits, puppets within political parties, clueless and rudderless political party leaders, who have completely no development ideas or agenda about citizens, and...
  13. Wakati CCM inajiimarisha kimkakati na kujizatiti kuendelea kua chama tawala Tanzania, viongozi na wafuasi wa vyama vingine vya siasa wanatukana tu.

    Halafu matokeo yake sasa,wakati muafaka wa kikatiba hususani wa uchaguzi ukifika, mayowe, visingizio na vilio vya mabadiliko vinaanza. Ooh tume huru ya uchaguzi ibadilishewe, mara sijui sijui yafanyike mabadiliko madogo ya katiba na uchaguzi usogezwe mbele n.k, badala ya kujipanga na kujiandaa...
  14. Ninampongeza sana Mbowe kuamua kutumia muda wake mwingi kijijini Machame na kujiweka mbali na siasa

    Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza Mbowe kwa sasa yuko wapi baada ya kuporwa chama na mnyampaa? Nadhani ni swali la watu wengi pia. Nimeshangaa kugundua jabali la siasa za upinzani nchini anatumia muda wake mwingi Machame. Yaani hajihusishi kabisa na siasa kwa sasa. Watu wangu kadhaa walio...
  15. NAOMBA KUJUA UWEPO WA MSAJIRI WA VYAMA VYA SIASA TANZANIA.

    Jamani naomba kujua kama jaji Mtungi na msaidizi wake Sisty wapo! Kuna chama cha siasa kinamiliki majeshi na vyombo vya usalama. Nadhani hii ni kinyume na sheria ya vyama vya siasa na natumaini hatua kali sana za kukifuta chama hicho zitachukuliwa
  16. HAKUNA CCM CHAMA CHA SIASA BALI CCM DOLA

    Kwa Tanzania ya leo, ni vigumu tena kuzungumzia CCM kama chama cha siasa kinachoshindana na vyama vingine kwa mazingira sawa. Kinachojitokeza mbele ya macho ya Watanzania ni mfumo ambao CCM imejikita ndani ya dola, inalindwa na dola na inatumia nguvu ya dola kulinda utawala wake. Hili si suala...
  17. Hivi wangwana, mtu wa aina na tabia kama hizi anaweza kupewa jina gani zuri katika medani ya siasa za kisasa hususani hapa Tanzania?

    Maana kwake yeye kila mtu alie na maoni au mtazamo tofauti na wakwake basi huyo hajui kitu, lakini pia kila mtu anaefanya majukumu yake vema tu, ila tofauti na apendavyo yeye huyo mtu, eti hawezi kitu, hawezi kazi, na kila mtu alie kinyume nae, hafai ila yeye tu. Mathalani, Ikiwa ni Rais, yeye...
  18. K

    Uchambuzi wa Barua Kutoka Jela ya Birmingham, Alabama na Mustakabali wa Siasa za Tanzania.

    Na: Kijana Wa Ifoza Ndugu wana-JamiiForums, salamu sana. Kabla hatujaingia kwenye mjadala wetu wa leo, ni vyema tukarekebisha dira yetu ya kihistoria kwa kurejea andiko moja muhimu sana duniani. Mwaka 1963, Dkt. Martin Luther King Jr. alifungwa katika jela ya Birmingham huko Alabama, Marekani...
  19. Tukiamua kua na Consistency nzuri ya Siasa za Kiharakati, CHAN 2027 isingefanyika Tanzania !!. Ni vile tunaingia kwenye Mfumo wa CCM

    Jambo Moja la Uhakika ni kua, CCM hasa hili Genge lao la wahuni, linatabirika , sio watu ambao Wana Akili. Tungeendelea kufanya Siasa ambazo, zinawalazimisha Kufungulia watu Kesi za Ugaidi, kuita watu Magaidi, Kuteka na kuua watu . Mpaka tunafika 2027, kusingefanyika AFCON
  20. K

    Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi na Balozi Hamphrey Polepole; mfano halisi wa ugumu wa siasa

    Kuna wakati ukiona maisha ya viongozi wakubwa wakisiasa yalivyo ya luxury unatamani ungekuwa mmoja wao au pengine hata watoto wako mmoja wao aje kuwa kiongozi mkubwa wa kisiasa kwasababu huko kuna hela na maisha ni hela Magari wanayotembelea, nyumba wanazoishi, maisha wanayoishi, ilivyo rahisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…