Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Wanaharakati na wanasiasa wa TANZANIA swala la watu kuharibikiwa mali zao na kuibiwa sio ishu kwao yaani haliwavushi katika matarajio yao.
Siku tukiacha kuwa na vibaka wenye mamlaka na vibaka jamii ya kawaida katika siasa mageuzi hayatahamasishwa na wenye matarajio yao binafsi.
Please Please,
My friends, ladies and gentlemen,
tusikae kimya, kutazama tu bila kukemea taasisi za kidini na vyama vya siasa vikiendelea kuhamasisha na kuchochea chuki, uhasama na migawanyiko, ambayo ni wazi inalenga kuamsha hasira na ghadhabu miongoni mwa jamii za waTanzania na pengine kuleta...
Jana ilitoka taarifa ya Kutekwa Twaha Mwaipaya na watu wasiojulikana Nairobi Kenya, baada ya tukio hilo kuna kipindi Mwaipaya aliwahi kutoa mbinu kadhaa za kuepuka kutekwa.
Kipi kimemkuta maana alitoa mbinu nzuri sana za kuepuka na adhaa kama hii ya matukio haya ya utekaji. Ambayo si matukio...
Ukiondoa Dar es Salaam, mkoa uliofuata kwa Mo29 ulikuwa ni Mbeya, wilaya nne za Mbeya Mjini, Mbeya Vijijini, Uyole na Kyela maandamano yalifanyika kwa kiwango kikubwa. Kwa upande wa mikoa kama Mwanza na Arusha, maandamano yalijikita zaidi katika maeneo ya mijin, kwa mkoa wa Mara maandamano...
chama
hamasa
harakati
hawana
imara
injini
kiongozi
majina
makubwa
mbeya
mfano
siasasiasa za upinzani
tanzania
upande
upinzani
upinzani tanzania
viongozi
viongozi wa vyama
vyama
vyama imara
wako
wenye
Bwana Yesu asifiwe sana, Watu wa MUNGU.
Sisi walokole hatuwezi kuadhimisha vifo ambavyo vimetokana na kukiuka agizo la Mungu. Mungu ametaja wazi mambo ambayo yanaweza yakatuondolea uhai wetu na kututenga na USO wa Mungu...kwa uchache ambayo ni
Uzinzi
Kuiba Mali za watu
Kutamani Mali/mke wa mtu...
biblia
dhambi
dini
huwa
jukwaa
kanisa
kanisa katoliki
katoliki
kifo
kufanya
kufanya siasa
kukiuka
kuzua taharuki
kwasababu
maagizo
maombi
mungu
nyingine
siasa
taharuki
tec
unafiki
uongozi
vifo
viongozi
walokole
wanafiki
Why doth CHADEMA perpetually resort to jocularity in matters of fundamental import? Ye remain passive, not active!
It is meet and proper for Lissu to abstain from nourishment, yet for us without to engage in a hunger strike is devoid of significance.
We ought to proceed unto the penitentiary...
Watanzania siyo wageni na kitu kinachoitwa maridhiano, kwa nature ya wanasiasa hawa tulionao, hakuna haja ya maridhiano kwasababu maridhiano yalishawahi kufanyika tukitegemea tutaona siasa za kizalendo, tulitegemea tutaona uzalendo wa kwelikweli kwa Taifa letu lakini cha ajabu wanasiasa wakaanza...
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, maombi ya kutaka CHADEMA ipigwe 'STOP' TENA KUFANYA SIASA yametupiliwa mbali na Mahakama
Maombi hayo yaliletwa Mahakamani hapo na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohammed na mwenzake Ahmed Rashid Khamis...
"Ukifahamu ukweli na usipousema, Mungu lazima atakudai damu za watu hao."
Tanzania imeanza kujivuruga yenyewe, na amini nawaambia haya yanayofanyika kipindi hiki lazima yatakuja kuleta madhara makubwa baadaye. Hasahasa ukizingatia jinsi ambayo siasa za Africa zinaanza kuingiliwa kwa nguvu na...
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Oktoba, 2026.
Ni hotuba maalumu ya Bishop Gwajima kwenye siku ya ufunguzi wa ukumbi wa ibada uliopo maeneo ya Ubungo, Dar es Salaam.
Askofu Gwajima amesema "aliyewapeleka mahabusu waumini wa kanisa hilo amewafundisha vita na wametoka hawaogopi washawasha wala mabomu ya machozi bali wanamuogopa Mungu auaye...
Baadhi ya wafanyakazi hawashindani tena kwa kuboresha utendaji wao wa kazi. Badala yake, wanashindana ili wawe karibu zaidi na wakubwa wao. Badala ya kuongeza ujuzi wao, wanajitahidi kujenga uhusiano na watu wenye mamlaka ndani ya taasisi.
Badala ya kuleta matokeo mazuri, wanashughulika...
Huyu dada ana akili kubwa sana ya kuwashughulisha watawala. Huu mpango wake wa kuja na Podcast ya siasa ni mapinduzi makubwa sana ukizingatia hakuna Podcast yoyote ya kisiasa ya Kitanzania mpaka sasa.
Mvutano kati ya Rais William Ruto na mtangulizi wake, Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, umechukua mkondo mwingine baada ya Ruto kumshambulia vikali Uhuru kwa kile anachokitaja kama usaliti, kufuatia matamshi ya Rais huyo mstaafu kuhusu uchaguzi wa mwaka 2022
.
Akizungumza Jumatatu, Oktoba 12, 2026...
Habari ya taifa letu kuwa na mikataba mibovu kama ya Dp world itatoweka.
Wizi wa kura na chaguzi huru zitafanyika.
Viongiozi makini na watawala wenye akili watapatikana.
Dhuluma ,utekaji na mauaji yasiyo na maana vitatoweka. Taifa letu litakuwa huru.
Mabunge ya ulimwenguni mzima yapo Tanzania, lakini pia viongozi wakuu wa kitaifa wa serikali sikivu ya CCM, kwa kipindi hiki, karibu wote wamesambaa kote ulimwenguni katika kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kutafuta fursa za kiuchumi, kisiasa na kijamii kwa maslahi mapana ya waTanzania...
Picha:Taswira ya Ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Je, mijadala na maamuzi yetu ya kitaifa baada ya uchaguzi yanaongozwa na maridhiano na hekima ya pamoja, au yanaathiriwa na kiburi cha kifikra cha wajuaji
Mwandishi mashuhuri wa michezo ya kuigiza wa Uingereza, William...
Kauli ya Waziri wa Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Profesa Palamagamba Kabudi, kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amevipa vyama vya siasa nafasi sawa, inafungua mjadala kuhusu maana ya usawa wa kisiasa, uhuru wa Tume ya Uchaguzi na hatua zilizochukuliwa kushughulikia malalamiko ya muda mrefu...
Mahakama ya Rufani ya Tanzania imetoa uamuzi wa kihistoria unaoweka msingi imara wa ulinzi wa taasisi huru za kikatiba nchini, ikisisitiza kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ana ulinzi kamili wa ajira yake na hawezi kuondolewa madarakani kwa kutumia sheria za kawaida za...
Baada ya ndege ya kivita ya Urusi aina ya Su-24 kuangushwa na Uturuki tarehe 24.11.2015 Urusi ilipatwa na wasiwasi kuhusu marubani wake wawili ambao walifanikiwa kuruka kutoka ndani ya ndege yao wakiwa hai muda mfupi baada ya ndege ya kivita ya Uturuki aina ya F-16 kuishambulia ndege yao...