siasa za tanzania

Siasa za Tanzania
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Mganguzi

    PreGE2025 Nikweli kwamba nchi hii wasanii wote ni CCM? Ni kweli kwamba Simba Yanga na Azam ni CCM? Au wanaenda kwa sababu ya njaa ya mkate? Hii ni ajabu

    Pale uwanja wa taifa palikuwa na vihoja vikubwa sana. Utitiri wa wasanii wa tasnia zote wakiimba CCM ni mbele kwa mbele! Wameenda kwa mapenzi ama ni nguvu ya bahasha? Iweje Kila msanii awe CCM? Ni wasanii wangapi wanaunga mkono upinzani na wanaweza kujitokeza hadharani na kuungana na team ya...
  2. A

    PreGE2025 Hivi CCM huwa wanashindana na nani kwenye uchaguzi?

    1. CCM nao wanachekesha Sana aisee. Yaan eti nao wanajipanga Kwa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 mbona 2019 waliachiwa viti vyote nchi nzima? 2. Panic ya nn mwaka huu. Watulie kusubiri "kutangazwa" washindi bila kupingwa.
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    PreGE2025 Msaidizi wa Wa Halima Mdee Ahamia CCM. ASkofu Ngwajima na Amos Makala wamkaribisha

    https://www.youtube.com/watch?v=Uj1SB3vHgBU&ab_channel=GlobalTVOnline
  4. Idugunde

    PreGE2025 Mbowe: Nitajiuzulu siasa 2025 endapo CCM itashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo mkoani Kilimanjaro

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe ametangaza kujiuzulu kufanya siasa endapo Chama cha Mapinduzi (CCM) kitashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo ndani ya mkoa wa Kilimanjaro wenye majimbo tisa (9) ya uchaguzi. Mbowe ametangaza ahadi hiyo Julai...
  5. Matulanya Mputa

    UVCCM acheni kusifia vitu ambavyo havipaswi kusifiwa

    Leo UVCCM hawajuhi mbegu ambazo wanapanda zitakuja kuwagarimu baadae? Leo UVCCM hawajuhi miaka inayoenda au miaka ya mbele vijana wanaenda badilika? Je uovu, mateso ya watanzania hawayaoni, siku wakija omba uongozi ikiwemo ubunge, udiwani, je wakiambiwa mlikuwa mnatetea wala rushwa...
  6. L

    Rais Samia awakosha na kuwapa Tabasamu Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika tuna Rais wa nguvu, Rais wa viwango vya nyota tano, Rais mzalendo, msema kweli, wa kujivunia, mwenye misimamo, kujiamini, na ufahamu wa masuala mbalimbali. Watanzania tuna Rais anayewajua vyema na kwa undani wasaidizi wake na kutambua nani anafaa wapi...
  7. Z

    PreGE2025 Nguvu ya Upinzani Tanzania ni kubwa sana

    Habari zenu wakuu Mimi Niko mbali sana na mambo ya siasa ila mara Moja Moja huwa naingia mtandaoni kujionea mambo yanayo endelea. Leo nimeona namna ambavyo Baadhi ya wanachama wa CHADEMA walivyo changisha pesa kwaajili ya kumtoa jela kijana aliye choma picha ya Mama Binafsi nimejikuta...
  8. Suley2019

    PreGE2025 Waziri Mchengerwa, leo hii bodaboda wamekuwa “Maafisa Usafirishaji”?

    Waziri Mchengerwa akiwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam, wakati akizindua sare maalum (uniform) na mfumo wa kidijitali (kanzidata) wa madereva Bodaboda na bajaji wa Jiji la Dar es Salaam. Waziri huyo ameonekana kuwatambua madereva bodaboda na bajaji kama Maafisa usafirishaji...
  9. S

    PreGE2025 Maajabu ya Msigwa ni kwamba kukosana kwake na Mbowe kumefanya mambo yote aliyoyachukia ndani ya CCM kwa miaka mingi yabadilike ghafla na kuwa mazuri!

    Msigwa kwa muda mrefu sana amekuwa na msimamo mkali dhidi ya CCM, msimamo ambao ulitokana na orodha ndefu ya mambo ambayo hakuyapenda sana ndani ya CCM, pamoja na watu wenyewe wa CCM. Lakini sasa, akakorofishana na Mbowe, au tuseme akashindwa uchaguzi ndani ya Chadema na ikawa kichocheo cha...
  10. Erythrocyte

    PreGE2025 Siri ya CHADEMA kukubalika Tanga yatajwa

    Inaelezwa kwamba kwa sasa Chadema ndio Chama ambacho kinazungumzwa Tanga nzima, Wakazi karibu wote wa Mkoa huo wameamua kuachana na vyama vingine vyote na kuunga mkono Chadema, Ajabu kabisa! Bali wachambuzi wa siasa wanadai kwamba sababu kuu ya jambo hili kutokea ghafla ni hoja zinazohubiriwa...
  11. J

    PreGE2025 Nini kitatokea ikiwa chama kimojawapo cha Upinzani kitakuwa na fedha za kampeni sawa na walizonazo CCM?

    Sijui kama wachambuzi wa siasa na chaguzi zetu wameangazia vya kutosha suala la FEDHA na RASILIMALI wanazokuwa nazo CCM wakati wa kampeni. Vyama vya Upinzani siku zote vimekuwa vikifanya kampeni kwa kuunga-unga na kuzidiwa kwa kiwango kikubwa na CCM. Sasa sijui mazingira hayo yanachangia kwa...
  12. L

    Tazama picha hii kwa umakini halafu useme waziri Nape amemaanisha nini?

    Ndugu zangu Watanzania, Katika ukurasa wake wa Mtandao wa X, waziri wa habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ameweka picha hii. Sasa ningependa kuwauliza wana jukwaa mnafikiri Mheshimiwa waziri alitaka kutoa ujumbe gani na ujumbe huo unamhusu na kumlenga nani...
  13. Erythrocyte

    PreGE2025 Korogwe: Sasa ni Rasmi CCM yafutwa Mkoa wa Tanga

    Ile laana ya kuwaona watu wa Tanga kama mtaji wa kibwege wa ccm hatimaye imemalizika rasmi baada ya Mungu kuingilia kati, kuanzia sasa hakuna Mtu yeyote mwenye akili timamu anayeweza kuthubutu kusema Tanga ni Ngome ya CCM, Labda awe mwehu. Tathmini iliyofanywa na Mtandao huru wa Erythrocyte.com...
  14. L

    PreGE2025 Uchapa kazi wa Rais Samia wawakosha Vijana waliomaliza kidato cha Sita, Watafuta Kadi za CCM usiku na Mchana

    Ndugu zangu Watanzania, Uongozi ni kugusa maisha ya watu, ni kuleta tabasamu, furaha, na matumaini kwenye maisha ya watu. Ni kufanikisha na kuwezesha kutimizwa kwa ndoto za watu, ni kukidhi matarajio na kukata kiu ya watu, na kuwapa watu vicheko vya furaha na kuacha alama katika mioyo yao...
  15. T

    Kauli za wanasiasa kuwa Rais katuletea hela za maendeleo zinavunja moyo wa kulipa kodi na kutengeneza kizazi kisichowajibika

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimetafakari sana jinsi wanasiasa wanashindwa kutenganisha hisani ya rais na sio pesa za kodi. Hizo kauli zinafanya watu waone kwamba kumbe hata wasipolipa kodi wataletewa na rais jambo ambalo sii kweli hata kidogo. Natamani msisitizo mkubwa uwe hili dalaja...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    PreGE2025 Freeman Mbowe: Tunazungumza na Watanzania wote wa Maramba Tanga na sio CCM pekee

    BALAA! TAMKO LA CHADEMA LIMETIKISA VICHWA CCM MBOWE ALIPUKA NA WAKE LEO
  17. Jumanne Mwita

    PreGE2025 Hii imewezekanaje? Mwalimu aonekana anawafundisha Wanafunzi itikadi za chama

    Mwalimu mmoja ameonekana akifundisha watoto kuimba na kuwatamsisha maneno ya kiitikadi ndani ya darasa Hapa tumefikaje kama taifa ndio tunajenga kizazi gani hiki? Kama ndio haya yanaendelea basi kizazi kitakachokuja kuwa hovyo kuzidi sisi ni hiki na kingine kitakachokuja nyuma ya hiki.
  18. Kipenzi Changu

    PreGE2025 Muda wa bodaboda kutumika umefika; Mohamed Mchengerwa aagiza wasisumbuliwe

    Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini kuacha mara moja kamatakamata ya bodaboda isiyo na tija akisema Maaafisa usafirishaji (bodaboda) na Maafisa wa Serikali wanapaswa kufanya kazi kwa ushirikiano katika Mikoa na Wilaya ili kwa pamoja washiriki...
  19. B

    PreGE2025 Mbowe: Ubaguzi wa Kiitikadi ni ujinga. Wananchi wanataka maendeleo

    Mwenyekiti Wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mbowe amekerwa na kitendo cha baadhi ya makada huko Tanga kutaka kuzuia mkutano usifanyike katika uwanja uliopangwa. Ktk video clip hii hapa chini inaonesha Mh Mbowe akiwatolea uvivu baadhi ya viongozi wanaodhaniwa kuwa wa serikali...
  20. BLACK MOVEMENT

    Mbinu za Tengua, teua zimetumika sana Ulaya Mashariki miaka ya 90

    Mara baada ya kuanguka kwa Umoja wa kisoviet, mataifa mengi ya Ulaya Mashariki yalikuwa bado na mentality za Ujamaa na sasa ikabidi wawe wanatafuta mbinu za kuwapumbaza Raia wao na siku zinasongo Mbele. Mara baada ya kuwa hawana kitu cha maana cha ku ofer kwa raia wao, au hali ni Mbaya, Kodi...
Back
Top Bottom