siasa za tanzania

Siasa za Tanzania
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. E

    Siasa za Tanzania zimeshavuka vyama, Maridhiano yanahitaji Wafanyakazi, Wasomi, Azaki, Wanaharakati, Wananchi

    Hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuanzisha upya mazungumzo na vyama vya siasa, huku akiahidi kuanza mchakato wa marekebisho ya Katiba na maridhiano ya kitaifa, imeibua mjadala mpana kuhusu makundi yanayopaswa kushiriki katika kutafuta suluhu ya changamoto zinazoikabili Tanzania. Soma pia...
  2. M

    Mbowe na Zitto kupotea kwenye siasa za Tanzania kumeleta mafanikio makubwa kwa CHADEMA

    Kwa ujumla Mbowe na Zitto Kabwe walirudisha nyuma mapambano dhidi ya CCM. Walikuwa vibaraka wabaya sana ambao walikuwa after pay tu. Walilipwa ili kuisadia CCM ikae madarakani. Tangu watu wamewadharau na kutopewa kipaumbele kwenye siasa za hapa Tanganyika Chadema kama chama cha upinzani...
  3. C

    Ayoub Rioba: Siasa za vitisho hazijengi taifa wakati wa kusikilizana na kupendana ni sasa

    Siku moja nilikuwa nasafiri kwenda Marekani, nadhani. Nikaamua kuangalia sinema (mnaita movie), inaitwa: 'The Hate That You Give'. Ina mafunzo mengi muhimu kuhusu utangamano wa jamii na ukweli kwamba kusambaratisha watu, badala ya kujenga jamii ya watu wamoja, wanaopendana na kuheshimiana...
  4. M

    Siasa za Tanzania ngumu sana kuwa Mpinzani, Heche leo yupo uraiani ila kabla ya Jumapili anaweza kuwa ndani kwa miaka

    Baada ya Lissu kupewa hukumu yake, Heche hawezi kubaki salama, Yawezejana akapewa kesi ya Ugaidi, Uhaini, Uchochezi, n.k.
  5. okiwira

    Siasa za Tanzania na unafiki na ubinafsi ni mahala pake

    Wanaharakati na wanasiasa wa TANZANIA swala la watu kuharibikiwa mali zao na kuibiwa sio ishu kwao yaani haliwavushi katika matarajio yao. Siku tukiacha kuwa na vibaka wenye mamlaka na vibaka jamii ya kawaida katika siasa mageuzi hayatahamasishwa na wenye matarajio yao binafsi.
  6. britanicca

    Leo Niko na mke outing anasema siasa za Tanzania niziache ngumu

    Siachi kabisa Anasema simpi time Wanawake dah 😁🙌🏼🙌🏼 Britanicca
  7. K

    A Fool Thinks Himself to Be Wise, But a Wise Man Knows Himself to Be a Fool": Je, Siasa za Tanzania Zinatekwa na Kiburi cha "Wajuaji" au Zinaongozwa n

    Picha:Taswira ya Ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Je, mijadala na maamuzi yetu ya kitaifa baada ya uchaguzi yanaongozwa na maridhiano na hekima ya pamoja, au yanaathiriwa na kiburi cha kifikra cha wajuaji Mwandishi mashuhuri wa michezo ya kuigiza wa Uingereza, William...
  8. Q

    Mapigo 10 ya Mungu kwenye siasa za Tanzania. Mungu akamwambia Farao bado pigo moja

    BWANA akamwambia Musa, Liko pigo moja bado, nitakaloleta juu ya Farao na juu ya Misri; baadaye atawapa ninyi ruhusa mtoke huku. BWANA akasema, usiku wa manane nitapita katikati ya nchi ya Misri; na wazaliwa wa kwanza wote watakufa, tangu yule mzaliwa wa kwanza wa Farao aketiye katika kiti chake...
  9. K

    Uchambuzi wa Barua Kutoka Jela ya Birmingham, Alabama na Mustakabali wa Siasa za Tanzania.

    Na: Kijana Wa Ifoza Ndugu wana-JamiiForums, salamu sana. Kabla hatujaingia kwenye mjadala wetu wa leo, ni vyema tukarekebisha dira yetu ya kihistoria kwa kurejea andiko moja muhimu sana duniani. Mwaka 1963, Dkt. Martin Luther King Jr. alifungwa katika jela ya Birmingham huko Alabama, Marekani...
  10. Jaji Mfawidhi

    Kilimo na Biashara: Kipi kinalipa kwa siasa za Tanzania!

    Maisha ni sias and vice versa. Je, kwa kijana aliyetoka chuo na kupata uridhi wa milioni 5 kwa wazazi wake, aingize kwenye kilimo au biashara? ROBERT: Amehitimu UDSM kitengo cha Sheria, akaingiza milioni 5 kwenye kununua mahindi Songwe ili asafirishe Malawi, kufika mpakani kakuta hakuna kibali...
  11. K

    Mtazamo Wangu Juu ya Nadharia za Njama na Siasa za Tanzania: Kati ya Nyakati za Magufuli na Utawala wa Sasa

    Katika ulimwengu wa siasa, kumekuwa na tabia ya wepesi wa kupuuza mambo fulani kwa kuyaita "nadharia za njama" (conspiracy theories). Mimi binafsi si muumini wa nadharia hizi, na mara nyingi ninapendelea kutazama siasa kupitia ukweli thabiti na unaothibitika. Hata hivyo, mienendo na matukio ya...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kuibuka na kuzama kwa jahazi la Sukuma Gang kwenye medani ya siasa za Tanzania

    "Sukuma Gang" ni jina au msemo wa kisiasa nchini Tanzania unaotumiwa kuelezea kundi la wanasiasa, viongozi, na wanaharakati wa mtandaoni walioaminika kuwa wafuasi wa karibu wa mtazamo, falsafa, na uongozi wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Neno hili si kundi...
  13. K

    Ingekuwa Sugu au Lema ndio wanashika nafasi ya Heche, siasa za Tanzania zingekuwaje?

    Natafakari hapa, Kwa hali ilivyo je wanasiasa kama vile Sugu au Lema wangeendelea kukomaaa kama aivyokomaa Heche Wegesa Kuna mwanasiasa yeyote ndani ya CHADEMA anaweza kuwa na msimamo kama Heche na Lisu
  14. M

    Marais wa Tanzania na ushiriki wa familia zao katika vyeo vikubwa serikalini

    copy paste fb 1 Julius Kambarage Nyerere(1964–1985) • Hakuna mwanafamilia wa karibu aliyethibitishwa hadharani kushika nafasi kubwa ya kisiasa, Yupo Makongoro kapewa nafasi ya Uteuzi kuwa mkuu wa mkoa baada ya Nyerere Kufariki 2 Ali Hassan Mwinyi(1985–1995) • Hussein Ali Mwinyi (mwana) — Rais...
  15. NYAQ

    Mtazamo wangu kuhusu uongozi wa Rais Samia na siasa za Tanzania

    Kwa mtazamo wangu, uongozi wa Rais Samia una pande mbili tofauti sana: upande wa uchumi/maendeleo kuna mambo ya kupongeza, lakini upande wa demokrasia na siasa hasa baada ya uchaguzi wa 2025 kuna mambo mazito sana ya kuhoji. 1. Kwenye uchumi na maendeleo — kuna mafanikio Tanzania imeendelea...
  16. PLOII

    Ukitaka Upate Sonona au Pressure, Kuwa Mfuatiliaji Mzuri wa Siasa za Tanzania Is Not Productive Anymore

    Umofia ndugu zangu kutoka Bongo Land ! Binafsi ilifikia Time nikahisi Ubongo una- cease kwa ubishani ambao hauna faida kwa Mwananchi wa kawaida mfano, atasimama Waziri atasema hakuna kama Mama kaleta Maji na kajenga Shule nyingi Nchini. Swali baada ya kuleta maji watu wana uhakika na upatikanaji...
  17. Manyanza

    Kufukuzwa kwa Dkt. Nchimbi ni tukio kubwa sana kihistoria kwa siasa za Tanzania

    Ukubwa wa tukio hilo una sababu Kuu 3. 1. Cheo chake kilikuwa kikubwa sana Huyu si mbunge wa kawaida, Alikuwa: Katibu Mkuu wa CCM Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Balozi Kumfukuza mtu aliyekaa kwenye viti hivyo 3 vikuu kwa muda mfupi, haijawahi kutokea mara nyingi. 2. Muda wake ni...
  18. JoJiPoJi

    Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma. Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt...
  19. Mwande na Mndewa

    Je tunamhitaji Tundu Lissu kwenye siasa za Tanzania au Hatumuhitaji?

    Nianze kwa kumpongeza Mh Rais Samia kwa utekelezaji na ukamilifu wa ujenzi wa bwana la Umeme la Julius Nyerere,pia nauzingatia mchango wa Hayati Rais John Magufuli kama mwanzilishi wa utekelezaji wa ndoto za Hayati Baba wa Taifa,Julius Nyerere kuwa Stigglers Gorge Rufiji liwe bwawa la...
  20. Allen Kilewella

    Teknolojia inawafuta CCM kwenye siasa za Tanzania

    Mara kwa mara mitandao ya kijamii inapozuiwa ama Data za mifumo ya internet zinapokuwa chini ya kiwango, mara nyingi hutokea CCM inapojihami dhidi ya kizazi kipya. Kuna ushahidi wa kutosha kuwa maendeleo ya teknolojia ya habari, yameifanya CCM kupoteana na kuanza kutumia mabavu ili iendelee...
Back
Top Bottom