serikali

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kwamba TANZANIA imekubali kumpa mtu ukubwa na mamlaka kuliko Mh.Rais pamoja na serikali yake yote!?

    Naona kabisa ndivyo ilivyo Na ndicho hili Taifa linapitia kwa sasa.
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini skendo za ufisadi tunawatupia wanasiasa pekee ila WATUMISHI na watendaji wa serikali tumewakalia kimya

    Nchi hii ina raisi mmoja na wabunge wasiozidi 400 ila tujiulize ina matajiri wakubwa wangapi?Ni wazi ina watu wenye mabilioni zaidi ya watu hata 20000 je NI kweli kwamba hao wote wamepata mahela hayo kwa sababu ya kuwa karibu na wanasiasa?rushwa nyingi zinafanyika level ya huku chini Kwenye...
  3. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Kushindana na CCM, unakuwa unashindana na Serikali na vyombo vyake, usipotumia akili utaishia kuumizwa bure

    CCM sio Chama cha siasa Ila ni Serikali, hivyo kushindana na CCM unahitaji akili Sana . Na sio hivi kama wanavyofanya hawa vijana akina Lissu na wengineo. Binafsi watu ambao hawaulewi ukweli nawapa pole. Hata hapa JF tumejificha kwa I'd fake lengo ni kuikwepa Serikali.
  4. britanicca

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

    Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA. Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 . Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!. Jamaa akainunua Petra...
  5. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga wengi wanaamini timu yao ni ya chama na serikali

    Mashabiki wengi wa Yanga hata hawa ambao siku za hivi karibuni wamekengeuka na kupinga kitendo cha klabu yao kujiingiza katika shughuli za siasa, wanaamini kabisa kwamba klabu yao ina historia, mashirikiano na ukaribu na chama tawala pamoja na serikali. Yanga ni kitengo cha michezo ndani ya...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Serikali kutenga Tsh. 450 Bilioni kwa ujenzi wa Arena ya Wasanii Kawe, Dar es Salaam

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa fedha za kujenga Arena ya kisasa kwa ajili ya kuwawezesha wasanii kupata maeneo rasmi na mahususi kwa ajili ya matukio yao ya kisanii tayari zimekwisha patikana. Akizungumza...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kabla ya Septemba 7 Serikali itakuwa imemuachia Tundu Lissu. Kete hiyo itabadili uelekeo wa siasa za Tanzania. Je, Chadema kushiriki?

    Hamjambo! Kete pekee ambayo imebaki kubadili upepo wa kile kinachoendelea ndani ya taifa hili ni kumtoa Tundu Lissu hasa nyakati hizi ambapo Kampeni za uchaguzi zitakuwa zimepamba moto.. Kumtoa Tundu Lisu Mahabusu kutaipa nguvu Serikali na kuondoa kelele zinazoendelea na matukio mapya...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwabukusi: Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amesema kuwa Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani kupitia kwa DPP. Amesema "Lissu hakuongea gizani, bali aliongea hadharani, na wote tunajua kuna kauli kali zaidi zilitoka kuliko za Lissu, lakini zile ni kauli za...
  9. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mimi sifurahishwi na kinachoendelea ila siwezi kuandamama wala kuipinga serikali ili niuliwe na kupotezwa never .

    Vijana Kama Mdude , ni vijana waliopotezwa bila huruma Hao Chadema ambao unawapambania , ukifa wanakuwa hawana habari na wewe wala familia yako. MTU kama Mdude , Soka n.k wametumika kwenye chama wamepotezwa huku Mbowe akila bata na hawazi lolote. Inasikitisha sana .
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

    Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican? Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo? Ni udini ?
  11. U

    JamiiForums Tanzania Shehe Kundecha aishukuru serikali kuruhusu masomo ya dini shuleni itasaidia walimu bora wanaoweza kufundisha lugha ya kiarabuni

    “Katika eneo la elimu kumekuwa na utata mkubwa wa uelewa nchi yetu imekuwa ikihangaishwa sana na tatizo la maadili lakini iko nyuma sana kwenye mafunzo ya dini, tulikuwa tunasema sasa nchi yetu inataka maadili gani ambayo hayatokani na dini?" "Lakini kupitia uongozi wako (Rais Samia Suluhu)...
  12. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya ukosoaji na ushauri unaotolewa na Wananchi kwa Serikali ndipo pa kuangaliwa kwa kina.

    Kumekuwa na wimbi kubwa la washauri na wakosoaji wa masuala mbalimbali yanayofanywa na Serikali jambo ambalo linaloteteresha utangamano wa Kitaifa. Tumeshuhudia Wazee ambao kwa kweli ushauri wao ni muhimu wakishauri kwa kukosoa au wakishauri vijana kukosoa pale wanapoona kuna ukakasi...
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

  14. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini walimu wa shule za msingi za serikali ni wagumu sana kulipa madeni ya watu?

    Mtu namdai laki 1 tu,lakini huu unaenda mwezi wa 2 sasa,kila mshahara ukitoka jamaa anasema ana vipengele vingi hivyo nimvumilie. Huu sio uungwana kabisa
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama anayosema Polepole ni Kweli, inamaanisha tunaongozwa na serikali yenye wahalifu na haramu

    Hamjambo! Pamoja na Polepole kubwa muasi katika genge analolituhumu kwa uhalifu na uharamu. Na simuamini Sana lakini anayoyaongea yanauzito na ukakasi Mkubwa. Kusema CCM ni majizi ya Kura huku chama hicho ndio kinaunda serikali ni kujaribu kueleza kuwa Tanzania serikali yake ni matokeo ya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunahitaji kujikomboa kutoka kwa hawa wapigaji

    Lissu alivyo ongelea makaa ya mawe ya Rostam siku kutoka juu ikaona ni uhaini. Tanzania tunahitaji kujikomboa kutoka kwa hawa wapigaji mkisubiria Chadema peke yao ingawa ni wazalendo wanazuiwa kwa mbinu zote. Ukikaa kimya maana yake umekubali hawa jamaa ndiyo wawe watawala wetu bila kuteuliwa...
  17. W

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kumtibu bure rapa wa muziki Chid Benz

    Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu yake. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo amesema,Chid Benz ni miongoni mwa Watanzania milioni moja ambao wamepatiwa...
  18. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Hivi Magufuli aliwahi kumfunga Mkurugenzi yoyote kwa ufisadi? Serikali ya Samia yamfunga miaka 22 Mkurugenzi kwa ufisadi

    Tunaweza kusena Rais au Serikali huwa hazifungi watu, ila bila msukumo kutoka kwa Rais au Serikali take basi basi mafisadi hawawezi kufungwa, Rais huwa ndio anateua DCI, DPP, ambao ndio hukusanya ushahidi, kuandaa mashahidi, na kufungua kesi ni watu instrumental kwa mhalifu kufungwa au...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Watawala wabovu na maditekta utengenza vikundi vyao vya kujilinda mwisho wa siku wakiondolewa upingana na serikali na kuwa nchi isiyoweza kutulia.

    Siku hizi hapa JF sio sehemu ya kutoa elimu sana kujaza maneno mwisho wa siku uzi wako wakaufuta au kuweka Hidden watu wasiweze kupata taarifa maana unawagusa watawala ambao tukiwashtua watatumia mbinu kukwepa. Tuwe na DMZ sasa. Mfano wa nchi ambazo kama tutajifunza kwao ni Kipindi cha Uganda...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Je Serikali inaweza kuwafanyia Wananchi Uhaini? Maana mamlaka ya serikali yanatoka kwa wananchi

    Just for curiosity, kuna matendo yanafanywa na serikali wazi wazi kuwa yanayoakisi UHAINI WA SERIKALI dhidi ya wananhi wenye mamlaka, maana mamlaka ya serikali yanatoka kwa wananchi! Kama serikali inafanya uhaini dhidi ya wananchi, kwanini wananchi nao wasifanye uhaini dhidi ya serikali ambayo...
Back
Top Bottom