Tuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi ya nchini tu
Tanzania kama nchi nyingi za Afrika tuna-experience kubwa sana ya kutonufaika na rasilimali tulizonazo kama nchi mfano ukienda kanda ya ziwa kuna migodi mikubwa ya dhahabu ila still kuna umaskini mkubwa sana eneo la kanda ya ziwa
Nini-kifanyike ili kama nchi tunufaike na rasilimali hii ya gesi...
Siyo siri moja kati ya majeshi ambayo naweza kukiri imani yake kwa Wananchi wengi ni kama imepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na matukio mbalimbali yanayowahusu nchini basi ni Jeshi la Polisi.
Polisi wanahusiana na Wananchi moja kwa moja tofauti na majedhi mengine, inawezekana hiyo ikawa...
Watu 11 waliorejeshwa nchini Ghana kutoka Marekani wameifungulia mashtaka serikali ya taifa hilo, kwa madai ya kuzuiliwa kinyume cha sheria. Wakili wao, Oliver-Barker Vormawor, ameiambia BBC kuwa wateja wake hawajavunja sheria yoyote ya Ghana, lakini walihifadhiwa kwenye kambi ya kijeshi bila...
Umoja na utulivu wa nchi za magharib zilitokana na iman zinazofanana kama Ukiristo, kua na adui mmoja kama ugaidi (islam), au kipindi cha uadui na Soviet Union. Hili lilifanya propaganda za utawala kuaminika na umma wote na wananchi wote kua na agenda moja.
Kutokana na muingiliano wa kijamii (...
N:B: Ngao ya jamii haihusiki 😁 Simba wametandikwa kihalali.
Tupo Tanzania, hapa sio Malawi au Kenya, ukiwa na kampuni, biashara, taasisi, n.k. kuna vitu inakubidi uvifanye katika uwanja wa serikali na siasa ili mambo yaende
hata vilabu vya mpira inabidi wavifanye hata kama haviwafurahishi...
Vijana wenye ujuzi wa kutengeteneza majiko kupitia vyuma chakavu, wamesema wanaiomba Serikali kuwawezesha katika ujuzi wao na kutowatoa maeneo wanayofanyia kazi.
Vijana hao wamesema kutokana na elimu yao kuwa ya kawaida wanatumia ujuzi huo kujikimu kimaisha ikiwemo kusomesha watoto.
Wakuu,
Kwa hili vibe nililoona mitaani leo. Mabanda ya mpira kujaa, kila mtu kuongelea mpira status na mitandao yote kuzungumzia kuhusu mpira nadhani ifike muda CCM ifute kabisa masuala ya mipira
Watu wanatakiwa wafocus na masuala ya kimaendeleo kama kilimo, uvuvi na ufugaji.
Haiwezekani...
Tunafeli hapa:
1. Nani asiyejua Lissu ni mwanzo wa mwisho wa wahuni? Kumbe anaachiliwa vipi ili aje kuwatia wao majaribuni?
2. Anapigwa vipi mwenzetu bila hatia hadharani tukishudia kama kuku wa kideli?
3. Vipi wanachaguliwa hawa wanaopigwa huku tukiangalia tu?
Pia soma: GE2025 - Kuelekea...
Wakuu,
Teknolojia imeleta mabadiliko makubwa sana ikiwemo kwenye mawasiliano ikiwemo Web 2 ambayo inarahisisha watu kuchangamana na kutoa maoni yao katika mambo kadha wa kadha.
Kupitia maendeleo haya tunategemea kuona wananchi wakitoa maoni yao kwa uhuru na kushiriki katika mijadala mbalimbali...
Kwa hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa, amani nchini itatoweka
1. Viongozi wa vyama vya upinzani vyenye kuonesha kuungwa na jamii (km CHADEMA na ACT-Wazalendo) wanawekewa vipingamizi visivyo na misingi, na kuekelea wapiga kura, wanaowaunga mkono, kutokushiriki Uchaguzi Mkuu, kinyume na haki yao...
Nawaita hapa wote. Wadau wa CCM , wadau wa vyama vya upinzani, wasio na vyama na watu wengine.
Maneno mtaani ni mengi kuhusu Serikali ya awamu ya sita.
Yanasemwa mengi kuihusu ikiwemo ufisadi unaofanywa na Rais , familia yake pamoja na watu wa karibu yake.
Lakini haya husemwa kila awamu...
Huu ujinga serikali ikemee. Yanga ni team ya Taifa. Kwa nini watu watumike kuibagaza na kuibananga namna hii?
Hili shoga limevaa jersey ya Yanga linfurahia kama ambavyo huwa yanavaa za CCM.
Mgombea Mwenza wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema iwapo CCM itashinda uchaguzi wa mwezi October, Serikali ya Chama hicho itatenga shilingi Bilioni 200 na kuzitoa kama mikopo ya Vijana na Wajasiriamali Nchini.
Nchimbi amesema sambamba na hilo, pia watarasimisha shughuli za Wajasiriamali...
Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Bavoo Junus, amewaonya wananchi kuepuka kujadili masuala ya kisheria bila kuwa na uelewa wa kutosha, akisema kitendo hicho kinasababisha upotoshaji unaoweza kudhoofisha imani ya jamii kwa taasisi za sheria.
Akizungumza leo Ijumaa, Septemba...
Nimekutana na hili andiko, naona mtoa hoja ana hoja:
Na Ndimara Tegambwage
Je, katika mazingira ya uandishi wa habari; yale ya ukusanyaji taarifa kwa ajili ya kuandaa habari au andiko la kuwasilisha katika chombo cha mawasiliano; bado kuna sababu au haja kwa Serikali kuendelea kutoa...
Taingia juzi akaunti yangu kwenye benki ya CRDB imepunguzwa balance kiasi cha Milioni 1.7. Cha kushangaza sijawahi fanya huo muamala.
Nimejaribu kuandika email CRDB hawajajibu. Nimewasiliana kupitia pages zao za Social Media hawajajibu.
Leo ni siku ya 3 kiasi hicho hakijarudi na nikiomba Bank...
Nimekuwa naenda mahakamani kufuatilia kesi ya Jamhuri (Samia) v/s Tundu Lisu.
Pamoja na mambo memgine, tumeona wingi wa askari polisi na wanausalama eneo lote la katikati ya jiji kuzunguka Mahakama Kuu, lakini jambo lililonistua ni uwepo wa Ambulance ambazo madereva na wahudumu ni askari polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.