Mara nyingi kumekuwa na msemo kuwa wawekezaji wa nje wezi wanatuibia waafrika .Hatufaidiki na uwepo wao au tunafaidika kidogo wao ndio wanapata Sana kwenye mikataba ya madini,mafuta ,gesi nk
Tatizo kwenye hili ufumbuzi tunao sisi wenyewe waafrika.Nitatoa mfano makampuni yanayochimba...
Rais Magufuli amekuwa ni mkweli na muwazi sana katika uongozi wake na kwa hakika zama hizi ndio za uwazi na ukweli sio zile za awamu ya 3.
Waziri akizembea au kufisadi anatumbuliwa mchana kweupe na Wananchi tunaelezwa kinaga ubaga sababu za utumbuzi huo, hakuna kuoneana.
Hongera Rais Dr...
Tumbua, teua,tumbua ni dhana njema ya kupanga safu bora ya viongozi.
Hawa wanaotumbuliwa wengi wao hawakupenda itokee na wanatoka kwa shingo upande.
Kuna RC mmoja wa mkoa mmoja alimlilia mtumbuaji, tena alikuwa Dr. kuwa mimi sijui kazi nyingine ya kufanya, ungenihurumia! Kilio hakikusikika...
Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema waasi nchini Syria wamewauwa wanajeshi 40 wa serikali na kuwajeruhi wengine zaidi ya 80, katika mashambulizi waliyoyafanya katika jimbo la Idlib.
Shirika la habari la Urusi, Interfax limenukuu tangazo la wizara hiyo, lililosema kuwa waasi walizikamata kambi...
Serikali ya Marekani chini ya Rais Mtata, Donald Trump imetangaza kuwa iko mbioni kuziongeza nchi nyingine 7 kwenye orodha ya nchi ambazo Wananchi wake watawekewa vikwazo vya kuingia nchini humo (Marekani)
Tanzania imetajwa pamoja na nchi za Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria na...
Tetesi zlizopo ni kwamba serikali ya Tanzania imekuwa ikilipwa mabilioni ya fedha na kampuni za nje lakini fedha hizi zimefanywa siri bila kuingizwa katika kasri za serikali, na hivyo kuwa nje ya wigo wa ukaguzi wa serikali kutia na CAG. Hili ndilo simulizi lililopo.
Nitawawapa dondoo za...
Kuna kitu nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu, ni kwanini Majina ya Taasisi na Mamlaka nyingi za Serikali zina majina ya Kiingereza?.
Yani officially zinatambulika kwa majina hayo, nimeona majina ya kiswahili yanakuwa yanatumika kama kufafanua tu au kuweka itambulike kirahisi, na nadhani...
Serikali ya Tanzania itajenga Hospitali ya Rufaa wilayani Chato Mkoa wa Geita.
Akiwasilisha taarifa yake kwa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii leo Jumatatu Januari 20, 2020, Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Ummy Mwalimu amesema Serikali inatarajia kujenga hospitali hiyo...
Serikali kupitia TRA wanawapa wafanyabiashara tax demand notes za miaka ya nyuma mno. Nimeona kwa macho yangu mtu "anadaiwa" kodi (na kuongezewa riba na adhabu juu) kuanzia alipofungua kampuni 2006.
Nchi hii inaelekea kubaya zaidi ya Zimbabwe ya Mugabe.
Kuna mbaba mmoja wa kirangi mtaani ni mtu mwenye hela zake, lakini anaishi na virusi vya ukimwi (mwathirika). Huyu mzee kwa sababu ana vijihela, basi amekuwa akiwarubuni watoto wa kike yani hachagui wanafunzi, Malaya, wake za watu, ndugu zake, mpaka mashoga wote pakia. Huyu jamaa alishawahi...
Baada ya kuona haya mateso makubwa wanayopata wanabchi kwa kufunga barabara inayounganisha jijini Dar na Magomeni ikijirudia Mara kwa Mara kutokana na mvua kunyesha, nimekuwa nikijiuliza hivi hawa watawala wetu walitumia busara kweli kuamua kujenga daraja la kuunganisha Coco beach na Salenda...
Waziri wa Ardhi Mh Lukuvi amemtaka Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai kuwashughulikia watendaji wa NHC na NIC waliouza kifisadi nyumba mbili za Serikali kinyume cha utaratibu.
Naye DCI amemhakikishia Waziri Lukuvi kuwa atalishughulikia suala hilo kwa haraka na kuhakikisha nyumba hizo...
Imebaki siku moja watekeleze hiyo adhma yao ya kufungia laini zisizosajiliwa kwa alama za vidole na namba za Nida, lakin maelfu ya wananchi wsliojiandikishia mkoani humo hawajapewa namba zao bila kuambiwa sababu za msingi. Serikali mnaitambua kero hii?
Unaweza kusema ndio mvua kubwa tangu tuanze mwaka 2020 na imeanza kwa kasi kubwa tangu saa kumi usiku na bado inapiga, nimepita mitaa ya Mlandizi, Kibaha, Mbezi Mwisho, Ubungo hadi nafika katikati ya Jiji mvua inatwanga tu.
Njia zote zimejaa maji na hasa pale Jangwani na maeneo mengi, hii...
Kupata Watanzania wengi matajiri sio rahisi tusiporuhusu watu kununua hisa na kuuza kwenye masoko makubwa ya hisa Duniani yaliyoko Ulaya, Marekani na Japan. Huko ndiko matajiri wa dunia huzalishwa kwenye hayo masoko
Pia Kuwezesha nchi kuwa na pesa nyingi za kigeni badala tu ya kutegemea mauzo...
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema kuwa katika uchaguzi mkuu wa Octoba 2020 CCM itatumia mbinu, mikakati na ubunifu ule ule uliotumika kupata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
Dr Bashiru amesisitiza kuwa yeyote atakayejipendekeza kugombea udiwani, uwakilishi, ubunge...
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema serikali haitaongeza muda wa kusajili laini za simu kwa alama za vidole, huku akitahadharisha kuwa katika siku zilizosalia, kasi ya wizi wa kimtandao kupitia simu za mkononi umeongezeka.
Amesema hayo jijini Dar es Salaam...
Kampuni ya uchimbaji madini ya Indina Resources kutoka Uingereza imeitaarifu serikali ya Tanzania nia yake ya kuishitaki kwenye mabaraza ya usuluhishi kwa ukiukwaji wa mikataba ya uwekezaji kati ya Tanzania na Uingereza.
Kampuni inaituhumu Tanzania kwa kukiuka kitu kinaitwa protection and...
Hivi ni kweli mtumishi wa serikali mfano mwanajeshi akifariki mshahara wake unaendelea kuingia? Na kama unaingia ni kwa muda gani?
Vipi kuhusu bima pia nayo inaendelea? Hiyo ni kwa waliofariki 1995 kurudi nyuma.
Msaada tafadhali
====
Waziri Mkuu wa Urusi Dmitry Medvedev ametangaza kuwa serikali imejiuzulu. Taarifa hiyo inakuja muda mfupi baada ya Rais Vladimir Putin kutoa hotuba yake ya kila mwaka ya kitaifa.
Kukubaliana na kujiuzulu huko, Putin aliwaomba mawaziri kuendelea kufanya kazi hadi pale serikali mpya itakapoundwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.