serikali

  1. JamiiForums Tanzania Hivi nini hatma ya mtumishi wa Serikali ambaye amekopa benki Tsh. mil. 15 na akaamua kutoweka kazini?

    Amani ya Mwenyezi Mungu iwe nanyi Kuna mtumishi mwenzetu ambaye amekopa benki kiasi cha Tsh. milioni 15 na baada ya wiki akatoweka hakuonekana tena kazini ni mwezi wa pili sasa tangia atoweke na wala hapatikani kwa mawasiliano yoyote yale Je, nini hatma ya pesa aliyokopa benki, namaanisha...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi 2020: Tunahitaji Serikali Jumuishi

    Tukijilinganisha sisi na wakenya ktk maeneo mengi tunakuta wakenya wametutangulia kwa kuonyesha dhamira njema katika kila jambo. Mathalan tukilinganisha katiba ya Kenya na ya Tanzania utagundua dhamira njema iliopo katik katiba ya Kenya katika kuwaunganisha raia wake. Huku ya ya Tanzania...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa serikali ya sasa ni Diaspora gani alitolewa nje kuja kusaidia nchi?

    Nakumbuka enzi za Kikwete na Mkapa watanzania wengi wenye taaluma mbalimbali waliokua wanafanyakazi nje ya nchi waliletwa kuja kusaidia kuleta maendeleo kwa ujuzi na uzoefu wao walioupata huko nje. Kwa mfano Mkapa alimleta Daudi Balali, Kikwete akamleta Ndulu, yule mama wa uwekezaji, mama...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inadharau sana Buza?

    Hili eneo linaonekana kuwa nyuma kimaendeleo ndio maana nauliza hili swali. Ilipotengenezwa barabara ya lami toka Jetcorner mpaka Davis corner kidogo yalikuja mabadiliko. Lakini naona kimaendeleo bado sana. Japokuwa kuna hospital mpya imejengwa lakini siridhiki na namna serikali inavyoiangalia...
  5. JamiiForums Tanzania Bongomovie kwa hali serikali kuwapa msaada ni ngumu. Nyie wenyewe hamuwezi kujisaidia kifikra

    😂😂😂 Et ndo comedy hii, Tuwaachie wakina Joti na Mpoki, Idriss sultan tafuta kazi ya kufanya comedy sio fani yako.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nimekaa nikawaza kwanini serikali ya awamu ya tano inakosa kabisa washauri wa Uchumi wa fursa za kimataifa?

    Nimekaa nikawaza kwanini serikali ya awamu ya tano inakosa kabisa washauri wa Uchumi wa fursa za kimataifa ukiiangalia TZ katika kilomita zake za Mraba ni zaidi ya 900,000, hapo kilomita za Zenji bado hazijaingia , ukiwa unafanya safari unakutana na mapori mengi sana , mikoa mingine unakuta...
  7. JamiiForums Tanzania Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali za Mitaa[LAAC] - Ripoti ya CAG

    Bunge la Bajeti ,mkutano wa 19 kikao cha 38 limeendelea kujadili hoja ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali za Mitaa[LAAC] kuhusu ripoti ya Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa Hesabu za Serikali[CAG] huku serikali ikishauriwa kuanzisha chuo cha Wizi ili kukabiliana na ubadhilifu wa mali...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Mollel aziponda hospitali za Serikali kwa kushindwa hata kujaza fomu za Bima, azifagilia Hospital binafsi kuwa ziko makini

    Naibu waziri wa afya Dr Mollel ameliambia bunge kuwa kwa muda mfupi aliokaa wizsrani amegundua madudu kadhaa katika hospitali binafsi na MSD. Dkt. Mollel amesema MSD kulifanyika ufisadi wa kutisha na tayari Rais Magufuli alishamtumbua mkuu mkuu wa MSD na kuingiza damu mpya na faili la...
  9. JamiiForums Tanzania Ufaransa yaipatia Serikali mkopo nafuu kujenga mradi wa maji mjini Morogoro

    Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zimetiliana saini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70, sawa na takriban shilingi za Tanzania bilioni 175.6 kwa ajili ya kugharamia Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazigira Mjini Morogoro (MORUWASA). Mkataba wa...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ilimtunzia heshima Mbowe hakuitunza, ilikuwaje ahutubie Taifa? alete mkanganyiko wakati wa Corona?

    Mbowe alistahili kuwa jera toka muda mrefu ila serikali imemtunzia siri zake nyingi sana hata yy anajua ila yuko kwenye mwamvuli wa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwamba ukimgusa nchi mbalimbali zitaiandama Serikali lakini kwenye janga LA Corona alitenda kosa kubwa mnoo hasa alipowaamuru wabunge wa...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Wajue Waasisi wa chama kinachoisumbua serikali na kuifanya isilale

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Bunge lataka Serikali imchukulie hatua Dkt. Kigwangalla kwa matumizi mabaya ya fedha alizowagawia wasanii

    Wabunge wameitaka Serikali kutofumbia macho ubadhirifu wa fedha uliofanywa na Wizara ya Maliasili na Utalii ukiwatumia baadhi ya wasanii wa hapa nchini. Wakijadili ripoti ya CAG wabunge hao wakiongozwa na mbunge wa Nachingwea wamesema ifike wakati Serikali iwathibitishie wananchi kuwa ni kweli...
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya kutoa mabandiko kuhusu hali ya Corona nchini, Kaimu Balozi wa Marekani aitwa Serikali kutoa ufafanuzi

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imemwita Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Imni Patterson ili kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ambayo Ubalozi huo umekuwa ukiyaandika katika mitandao yake ya kijamii bila ya uthibitisho. Kaimu Balozi huyo...
  14. JamiiForums Tanzania Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa

    Wanabodi, Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Mahesabu ya Serikali za Mitaa

    Kila mwaka repoti za ukaguzi wa mahesabu ya serikali za mitaa zmekuwa zkionyesha mapungufu makubwa, yakiwemo kufanya manunuzi bila kushindanisha wazabuni, kufanya manunuzi ambayo hayakupitishwa na bodi za zabuni, kufanya manunuzi kutoka kwa wazabuni ambao hawakuidhinishwa, kufanya manunuzi na...
  16. JamiiForums Tanzania Huu ndio ushauri pekee aliopewa Mkapa na Mwalimu Nyerere alipokuwa akiunda serikali yake 1995

    Kabla ya kuchukua fomu ya kugombea urais wa JMT, Ben Mkapa aliamua kwenda kumuomba ushauri/ridhaa Mwalimu Nyerere kwa kumwandikia ujumbe na kuutuma butiama, lakini pia baadae Mkapa alipokutana na Mwalimu kwenye vikao vya chama Dodoma alipata wasaa mzuri wa kumweleza kwanini ameamua kugombea...
  17. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani wasisitiza maambukizi ya Corona jijini Dar yameshika kasi. Wadai Hospitali zimeelemewa!

    Baada ya serikali hapo jana siku ya Iddi kutangaza kubakiwa na wagonjwa wachache kabisa wa COVID19, kupitia kwa PM Majaliwa, Ubalozi wa Inmi Patterson amewatahadharisha raia wa Marekani waliopo Tanzania. Balozi huyo, amesema hivi: 'Mahospitali mengi Dar es salaam yamelemewa na wagonjwa, nafasi...
  18. JamiiForums Tanzania Ripoti ya Uchunguzi wa Maabara: Mashine moja ilikuwa na hitilafu. Upimaji wa COVID19 umehamishiwa katika Maabara mpya iliyopo Mabibo

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa ripoti ya Uchunguzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na kueleza mambo kadhaa yaliyogunduliwa na Kamati teule ya Uchunguzi Amebainisha kuwa Kamati imegundua uwepo wa Mapungufu katika mfumo wa kimuundo, kiutendaji na uendeshaji wa kitaaluma katika upimaji wa...
  19. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Tibor Nagy kuja Tanzania kwa namna Serikali inavyolichukulia janga la COVID -19

    Huyu aliyenena haya ni Tibor Nagy naibu wa mwanadiplomasia wa wizara ya nje Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika. Hatimaye mabeberu yameona usanii wetu.
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali iiagize BAKWATA itangaze kesho Eid El Fitr ili watanzania washerehekee pamoja na sherehe za kuiaga Corona

    Sherehe za kuiaga corona nchini Tanzania zinafanyika kesho jumapili Nashauri vyombo vya dola viiagize Bakwata pia itangaze kesho Eid El Fitr ili wananchi wakiwa wanasherehekea Eid, pia wanapiga pilau la kuiaga corona Pia hii itafanya masheikh misikitini kupiga dua za kumshukuru Mungu, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…