Kuna taarifa mpya ya kutekwa mgombea wa CHADEMA kwa ngazi ya UDIWANI na UBUNGE kila baada ya dakika chache ndani ya siku 5 za mwisho kuelekea siku ya leo tarehe 25/08/2020 ya kupitishwa majina ya wagombea na NEC.
Nyingi ya hizi taarifa hazina uthibitisho kiasi kwamba zinaleta hofu kuna watu...
Ni mambo machache ambayo huwa naipongeza serikali ya raisi Magufuli, na suala la kukarabatiwa kwa reli ya kwenda mikoa ya kaskazini, hususa Tanga, Kilimanjaro (Moshi) na Arusha litakuwa mojawapo. Hongereni sana.
Hata hivyo, nataka kumkumbusha Raisi Magufuli na serikali yake, na mashabiki wake...
Kwanini wale wanaojiita kamati ya viongozi wa Dini wana sambaza ajenda ya AMANI na sio HAKI?
Kipi kinatakiwa kuanza amani au haki? Naweza kusema hawa watu ni wanafiki na wachumia tumbo.
Kinachoendelea sasa nchini katika zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu imekuwa vita hasa kwa upinzani na...
Sisi wananchi wa kijiji cha Igingilanyi kilichopo katika manispaa ya Iringa ambao tunatakiwa kuhama katika makazi na maeneo yetu ili kupisha upanuzi mkubwa wa uwanja wa ndege wa Iringa ulipo katika vijijji vya Nduli na Igingilanyi lakini kwa sehemu kubwa utachukua sehemu ya Ingilangyi ambako...
ZAIDI ya watu 4,000 wameng’atwa na mbwa katika kipindi cha mwaka mmoja wilayani Moshi huku wafugaji wa wanyama hao wakitakiwa kuwapa chanjo kabla ya utaratibu wa kuwaua haujaanza.
Aidha imebainika asilimia kubwa ya wanaong’atwa na mbwa hao ni wanafunzi nyakati za asubuhi wanapokwenda shule...
Serikali yaagiza halmashauri nchini kujenga vituo vya kupumzikia watoto sokoni
SERIKALI imeziagiza halmashauri nchini kujenga vituo vya kupumzikia watoto katika masoko yote ili kuwaondolea adha wanawake ya kunyonyesha wakati wakifanya biashara zao.
Agizo hilo linakuja ikiwa halmashauri ya Jiji...
CHAMA cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA), kimesema kuna umuhimu kwa serikali kupitia upya na kushirikisha wadau kikamilifu kuhusu kanuni za sheria ya usafiri, ili kuondoa tozo zitakazoongeza gharama za uendeshaji kwa usafirishaji wa abiria.
Kwa mfumo mpya, kwa sasa tiketi za usafiri...
Jamani Kama mjuavyo Simba na yanga ndio mihimili ya soka Tanzania.
Mpira Tanzania ni maisha ni siasa ni uchumi usalama na amani.
Bila yanga imara hata sisi Simba hatutakuwa na raha.
Naitahasharisha serikali iingilie Kati kuiokoa yanga inaenda kufa kabisa itakuwa Kama mji mpwapwa tukuyu stars...
Huyu ndugu anaweza kuchukua nchi moja kwa moja kupitia sanduku la kura tukiwa na uchaguzi ulio huru na wa haki, lakini pia anaweza kusababisha mambo yatayosababisha mageuzi yatokee katika nchi yetu.
Wanasiasa wa aina hii husababisha katiba na sheria za nchi katika mataifa mbalimbali duniani...
Habari wana JF,
Nilikuwa nasafisha tanki yangu ya kuifadhia maji, of cause baada ya sedimentation, ni udongo wa kutosha.
Now, natafakari mtu akinywa say litters 2000 za maji ya DAWASA kwa muda wa fulani say 20 years, si atakua amehifadhi kiasi kikubwa cha udongo achilia mbali sumu nyingine...
Wadau heshima kwenu.
Taifa lolote likitaka kufanikiwa ni lazima liwekeze kwenye elimu. Uongozi wa awamu zote umefanya ulivyoweza Kuboresha elimu nchini Tanzania. Serikali ya awamu ya tano nayo haiko nyuma na imejitahidi sana katika Kuboresha elimu.
Serikali ya awamu ya tano ndiyo inayotekeleza...
Kati ya makosa yaliyofanywa na Serikali yangu ya CCM ni kushindwa kutoa ajira kwa vijana na kuacha wazagae mitaani bila kazi.
Ni kosa kubwa sana kwa sababu vijana hawa ni bomu tulojitegea wenyewe kutumaliza.
Maelfu ya vijana wanaojitokeza kwa wingi kwenye hadhara za bw. Tundu Antipas Lissu ni...
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa serikali ya Tanzania kulipa gharama zote za Uchaguzi Mkuu tokea tuingie kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.
Ieleweke kuwa Mwaka 2015, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilitumia jumla ya Shilingi 534,499,415,599/= katika zoezi zima la Uchaguzi Mkuu. Pesa kati ya...
Kilichotokea nchini Mali na nchi mbalimbali duniani kuhusu viongozi madikteta kuondolewa madarakani kinatoa somo kwa maafisa waandamizi wa serikali ya Tanzania kwamba kwa kuwa hawaijui kesho yao basi ni vema kutenda haki na usawa kwa watu wote bila kujali vyama vyao vya siasa kwa kufuata katiba...
Nina uhakika tena wa 100% kabisa kuwa hii juhudi yako ambayo sioni haya wala aibu kuiita ni ya 'Kinafiki' ya 'Kuwapatanisha' akina Emanuel Mbasha na Adam Mchomvu tena ukiwa 'Mubashara' kabisa katika Kipindi cha XXL cha Clouds FM leo ungeitumia katika 'Kumpatananisha' Bosi wako Mkuu (Rais...
SERIKALI YASHINDWA TENA KUWALETA MASHEIKH MAHAKAMANI.
Mawakili wanaowatetea Masheikh (Uamsho) walifika Mahakamani leo kama kawaida yao.
Hata hivyo serikali haikuwaleta viongozi hao wa Dini kutoka gerezani.
Shauri lilipoitwa mbele ya hakimu upande wa serikali ulidai kuwa sasa wanashughulikia...
Ndugu zanguni, katika kipindi cha hivi karibuni sote tumeshuhudia matukio ya KUOGOPESHA yakiendelee nchini. Kwa uchache tu, kupotea kwa vijana walioonekana kuikosoa serikali kama Ben Saanane na wengineo, kuchapwa mvua za risasi Lissu mchana kweupe (tena katika makazi ya viongozi), viongozi wa...
Hello JF,
Ningependa kujua sera ya kilimo ya serikali hii ya Magufuli kama ipo?
Leo sijui mtalionaje hili wazo..au kama lishawahi kufanywa before?!
..ila ningependekeza serikali kuwa na Supermarkets zake:rolleyes::rolleyes:
😂😂😂
Watu wanunue na kuuza huko.
Iwe cheap compared na supermarket...
Wadau,
Ni almost miezi Tisa tangu Tanzania ifanye uchaguzi wa serikali za mitaa. Kama mtakumbuka, uchaguzi huu uligubikwa na kila aina ya hila na vituko.
Matukio kabla ya Uchaguzi
Miongoni mwa matukio ya makubwa ilikua ni pamoja na kuenguliwa kwa Wagombea wa upinzani kwa kigezo cha kukosea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.