serikali

  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Serikali kulipa makampuni ya mawasialiano ili wakasimike minara vijijini?

    Unakuta eti Serikali wanatenga bajeti kwa ajili ya kulipa makampuni binafsi ya mawasiliano ili waende wakasimike minara kwenye maeneo ambayo hayana mvuto wa kibishara hasa vijijini, hii ni sahihi? Kwanini wasiwakopeshe hizo pesa hata kama ni kwa 0% intrest rate, yaani warudishe baada ya miaka...
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Serikali yaanza kuprint vipeperushi vya mafanikio ya Awamu ya Tano, tuvisome?

    Nimeona vipeperushi vinaelezea mafanikio ya awamu ya tano. Vipeperushi hivi vinakuja baada ya joto la uchaguzi kuwa kali na kuonekana ngoma si kama tulivyoivalia kibwebwe. Ushauri: CCM achaneni na mliyofanya, jikiteni kuwaeleza wananchi mtakayofanya. TBC kwa miaka mitano imekuwa inatueleza...
  3. Gamba la Mbu

    JamiiForums Tanzania Scanned by CamScanner kwenye nyaraka za serikali

    Wakuu habarini! Binafsi nimekuwa mkereketwa sana kila nionapo nyaraka rasmi hususani ya serikali inapokuwa na maandishi haya kwa chini " Scanned by CamScanner " Huwa naona nyaraka hiyo inajitolea uthamani wake na hivyo kupunguza au kuondoa kabisa uhalali wake Wakati nafanya kazi shirika...
  4. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania CCM na Serikali imewaaminisha wananchi wizi kuwa halali katika mambo yafuatayo

    - Wanafunzi wa form 6 kulipia mtihani kwa gharama kubwa ya elf 50 - Maji kuuziwa unit 1 kwa Bei ya kuanzia 800- 1200 - Wajawazito kununua vifaa vya kujifungulia - Kulipia gharama za kununua kiwanja cha makazi au shamba kwa mwenyekiti wa mtaa/ kitongoji - Kusajili shule au taasisi lazima...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ili Kupambana na 'Umasikini' Serikali ya Tanzania haiwezi 'Kutulazimisha' Watanzania wote tuutumie 'Ubini' wa 'Laizer' ambao una 'Nyota' ya Utajiri?

    Mshindi wa Jackpot ya SportPesa, Lilian Ngitoria Laizer, amekabidhiwa kitita chake kiasi cha Sh. 267,800,060 na Kampuni ya Michezo na Burudani ya SportPesa Tanzania, huku akieleza mipango yake ni kufungua biashara kubwa. Nipashe Kuna Mtu aliwahi kuniambia huko zamani kuwa Pesa, Elimu na...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hai: Freeman Mbowe azindua kampeni kwa kishindo, apokelewa na Mabango, shangwe za Mwamba tuvushe zarindima

    Mwenyekiti wa Chadema ambaye pia ni mgombea ubunge wa Jimbo Hai Freeman Mbowe , amezindua rasmi kampeni za ubunge na kupokelewa na umati wa wananchi wenye mabango. Mbowe ambaye kampeni nzima hufanya mikutano mitatu tu ya kuomba kura kutokana na kuaminiwa na wananchi , ambao mara zote humtaka...
  7. F

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mfumo wa Majimbo wa Lissu na CHADEMA unatumika katika Mataifa na Taasisi kubwa duniani kuleta ufanisi wa kimaendeleo

    Wanangwa, Jana nilikuwa kanisani, mimi ni m- KKKT, na kama mnavyojua KKKT ni moja kati ya Taasisi kubwa sana hapa Tanzania ya kidini. Sasa wakati Mzee wa kanisa anasoma matangazo kikaja kipengele cha mapato, akasoma yote kisha akasema "Baki usharikani ni Tshs kadhaa", pia akataja asilimia...
  8. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Serikali msiwafanye watumishi haya mnayowafanyia mara kwa mara

    Yaani huu sasa unakuwa ni utoto na kufanyana wajinga. Mnaahidi kulipa malimbikizo yao ya madeni ya mishahara na fedha za likizo tena na kuwaletea fomu wajaze madai yao, ila cha kushangaza wakishajaza na kuwaletea mnawapotezea, viongozi wa kisiasa wa huko juu wakisharopoka huko kuhusu madai...
  9. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, wajua kuwa Mfumo wa Serikali ya Majimbo unatumika kwenye Nchi zenye kukosa Umoja wa Kitaifa?

    Waungwana, Chunguzeni leo hii nchi zote ambazo ni kinara wa mfumo wa Serikali za majimbo (federal government) duniani ni nchi ambazo zilikuwa zinakabiliwa Sana na tatizo la kukosa umoja wa Kitaifa kutokana na Vita, udini au Kukosa lugha ya kuwaunganisha. Marekani walikuwa mataifa huru 50...
  10. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nani anayebisha kuwa Serikali ya Magufuli ilijaa uonevu?

    Nasema imejaa uonevu kupitia kupita maelezo kwa sababu ya haya; 1. Watumishi wa umma kutopandishwa madaraja kwa wakati na wala ndani ya miaka 5 hapakuwa na increments kwa mujibu wa sheria.Watumishi zamani walikua wanapandishwa madaraja baada ya miaka 3, kwa sasa mpaka miaka 5-7 ndio...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia TAMISEMI, yawaita kazini waliotuma maombi ya Udaktari mwezi Agosti

    Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za ajira ya Madaktari zilizotangazwa na Serikali mwezi Agosti, 2020 kuwa zoezi la uchambuzi wa maombi yaliyopokelewa limekamilika. Aidha, waombaji wa nafasi za ajira ya Madaktari waliokidhi...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Askari wa Usalama Barabarani wanaichafua Serikali kwa uonevu wanaofanya kwa wamiliki wa magari

    Trafiki wamekuwa kero hasa kipindi hiki cha Uchaguzi ambacho viongozi wote wa serikali wamekimbilia kwenye majukwaa ya siasa. Wamefanya mradi kwa daladala, kila ukipita umwachie 1000 au 2000 bila hivyo anakuandikia elfu 30000. Zipo video na picha zinazoonyesha namna wanavyokusanya mapato...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hassan Abbas azungumzia Ukomo wa Serikali kwenye Uchaguzi. Rais yupo hana ukomo na Mawaziri wapo ila wana ukomo

    Wanabodi, Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas yuko Live on Times FM, 100.5, Azungumzia kuhusu ukomo wa Serikali wakati wa Uchaguzi, Rais wa JMT yeye yupo, in full, hana ukomo, pia mawaziri bado wapo ila wao wana ukomo!, hawaruhusiwi kutoa ahadi za kiserekali, na siku rais mpya...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Sio hongo, mimi bado ni Rais, natangaza tenda ya barabara za mjini Itigi KM 10

    Mgombea wa Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. Magufuli Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni na leo yuko Itigi mkoani Singida. Magufuli akiwa na Mwigulu na wanaCCM wakiserebuka Akiwa huko akaongelea uzuri wa nyumba za Singida na kusikitika zinavyopigwa vumbi ndipo ghafla akaitwa meneja wa Tanroad...
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Picha: Kwa uzembe kabisa Serikali isivyojali mitambo yake!

    Huu mtambo upo Bunju kando kando ya barabara ya Bagamoyo. Umeharibika na umekuwa hapo karibu mwezi mmoja sasa. Kabla ya hapo ulikuwa pale Mbezi Goig na pale vile vile ulikaa barabarani mwezi mmoja.. Huu ndo umakini wa idara za serikali-naamini huu ni mtambo wa Halmashauri fulani hapa Dar es...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Baada ya uchaguzi kuna dhambi gani kuunda Serikali ya Umoja Tanzania?

    Mpaka sasa CCM na CHADEMA vina wafuasi wengi sana kwenye mikutano yao ya kampeni. Kama wingi wa watu ni mojawapo ya viashiria vya kuungwa mkono na watu wengi basi ccm na chadema vinaungwa mkono wa watu wengi. Nionavyo mimi hamasa ni kubwa sana kwa vyama vyote, hivyo mtu atajidanganya mwenyewe...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mikataba ambayo Serikali ya Awamu ya Tano imeingia, nani kashuhudia au kujua kilichomo?

    oi
  18. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Kwanini Msemaji wa Serikali anadanganya Umma juu ya Mikataba ya Madini?

    Na Thabit Jacob Nimeangalia mahojiano kati ya @TZMsemajiMkuu na Salym wa @bbcswahili Jioni hii. Msemaji Amesema serikali ya awamu ya tano imeboresa sana uwazi kwenye sekta ya madini na mikataba. Huu ni upotoshaji na naomba niweke ufafanuzi na ukweli halisi. Thread Kwanza kabisa, wananchi wengi...
  19. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni jukumu la Serikali kuhakikisha watu wanafika kwenye vituo vyao vya Kupigia Kura

    Kwa mujibu wa Sheria ya gharama za Uchaguzi namba 6 ya mwaka 2010; Kifungu cha 23, Kifungu kidogo cha 6 (b) kinaeleza kuwa iwapo wapiga kura hawatokua na uwezo wa kufika kwenye vituo vya kupigia kura kutoka kwenye makazi yao bila kuvuka bahari au mto, itawekwa namna ya kuwafikisha wapiga kura...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tuache longolongo, Je ni kweli Halima Mdee hajawahi kuongelea barabara?

    Kama barabara za Kawe ni mbaya mchawi ni serikali ya CCM sio Halima Mdee. Kila mtu ahukumiwe kwa matendo yake.
Back
Top Bottom