serikali

  1. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Zoezi la ukusanyaji taka ambalo wanachaji Tshs 3,000 hadi 5,000 kila kaya bila kutoa risiti za kielektroniki lina baraka za mamlaka?

    Habari wadau, Kwenye mitaa yetu hususa huku uswazi kuna zoezi la ukusanyaji taka ambalo wanachaji 3000/= mpaka 5000/= kila kaya kiukweli hii ni pesa nyingi sana ambayo serikali za mitaa/mkandarasi wa taka anakusanya cha ajabu ukilipa haupewi risiti ya electronic. Ila point yangu ni: Je, hili...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Serikali ndio wanufaika wakubwa wa zoezi la Serikali kuhamia Dodoma

    Dodoma sasa ni HQ ya Serikali hii ya JMT. Sijabahatika kuona umuhimu wa moja kwa moja kwa wananchi tangu Dodoma iwe makao makuu. Tuje kwenye point, madereva wa wizara mbalimbali na taasisi mbalimbali zilizohama Dar na kuhamia Dodoma ndio wanufaika wakubwa wa zoezi hili. Ukizingatia mishahara...
  3. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Serikali yatenga Bilioni 4 kuimarisha miundombinu Jangwani

    Serikali kupitia Mfuko wa Barabara (Road fund) imesema ipo tayari kupitisha kiasi cha shilingi bilioni nne kwa ajili ya kumlipa mkandarasi atakaepatikana ili kuboresha miundombinu ya Jangwani mara baada ya uhakiki wa makisio hayo kukamilika na kujiridhisha. Akizungumza kwa niaba ya wajumbe wa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Vyuo vipi bora vya serikali kwa kusomea Diploma ya Clinical Medicine?

    Naomba kujua ni vyuo vipi bora vya serikali kwa kusoma diploma ya clinical medicine?
  5. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Ombi: Serikali pandisheni Madaraja watumishi wa Umma. Ni miaka sita sasa, tuwe na huruma

    Tayari kuna ajira kadhaa zimetolewa kwa wafanyakazi wapya mwaka 2020 Hawa wataenda kuwa na mishahara sawa na Wale walioajiriwa mwaka 2014, Yaani miaka 6 iliyopita. Wafanyakazi hawa wamevumilia mengi. Uhakiki n.k, Mpaka leo bado wamebakia na mishahara Ile Ile ya mwaka 2015, Wakati mwingine...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Serikali: Walimu wa Shule za Sekondari na Msingi walioajiriwa ni elfu nane pekee

    Serikali imesema idadi ya walimu wa shule za msingi na sekondari walioajiriwa ni 8,000 pekee tofauti na 13,000 inayolalamikiwa na wadau. Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt Laurean Ndumbalo amefafanua kuwa katika kibali cha ajira za walimu elfu 13 alichotoa Rais...
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya nzige yavamia mazao Tabata Sukita

    Katika hali ya mstuko, wadudu jamii ya nzige wamevamia mazao eneo la Sukita huko Tabata. Wameleta uharibifu kama wa kutafuna miti, mahindi na mboga za majani. Wakazi wa eneo hilo wamesema kwamba nzige hao wamevamia eneo lenye kijani kibichi usiku wa kuamkia leo na muda unavyozidi kusogea eneo...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Natamani kuona Serikali ikisimamia haki, usawa na utu kwenye maamuzi Kama wafanyavyo CHADEMA

    Hakuna kitu kinanoga Kama kukaa kikao mkachambua hoja,mkatafuta facts za kikatiba na kisheria kisha mkatumia sheria na katiba kutoa maamuzi. Hii nchi ina wasomi wengi na wapo CCM, nimefuatilia mjadala na mahojiano mbalimbali hakuna msomi Wala mbobezi yeyote aliyejitokeza kukosoa maamuzi ya...
  9. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano serikali haiwatambui waliosoma shahada ya elimu ya awali

    Kulingana na matangazo ya ajira serikalini yanavyotoka na wanavyoajiri, sijawahi kuona wakiwazungumzia hawa wahitimu wa shahada ya elimu ya awali. Huenda Joyce Ndalichako aliiruhusu hii course kwa degree lakini baadae wakaona inacost serikali. Niiombe serikali iwape japo nafasi kwenye vyuo vya...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

    Kusema ukweli hizi ajira ni MAGUMASHI, hazina uhalisia wowote. Jina moja linajirudia mara nyngi na kituo ni kilekile. Kuna wengine wamemaliza fom4 mwaka 2019 eti na wao wameajiriwa. Swali: Kwanini hawajaandika vyuo walivyosomea? Kwanini hawajaweka serial number? MUNGU TUNUSURU --- --- ---...
  11. Nebuchadinezzer

    JamiiForums Tanzania Hujuma kubwa ajira za Serikali ya wanyonge

    Nachokizungumza hapa nina uhakika nacho asilimia 100% naombeni msinichukulie kama nalalia mlango wazi bahati za wengine. Kwanini mimi mwenye GPA ya 4.5 ya UDSM sijapangiwa shule japokuwa nina uwezo mzuri wa kufundisha? Huu ni mwaka wa pili nimekaa mtaani. Sawa, sijajitolea. Hebu fikirieni...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni Hospitali gani ya Umma (ya Serikali) hasa hasa Mkoani Dar es Salaam yenye Huduma Rafiki ya Kung'oa Meno?

    Kuna moja hivi ipo jirani kabisa na eneo ambalo Mvua ya Dar es Salaam ikianza tu Kunyesha basi Utepe wa Usalama wa Barabara Kufungwa huwa unawekwa karibu na ilipo. Kuna Mtu alinishauri niende hapo Kung'oa ila nimefanya Survey yangu naona kila wanaoingia hapo wakitoka ama wanakuwa Wanalia sana au...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Kura ya maoni ACT - Wazalendo kuamua Serikali ya Umoja

    Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa chama cha ACT-Wazalendo Zanzibar, Salum Bimani, amesema viongozi wa chama hicho wanafanya vikao na Wanachama wake katika majimbo ya Unguja na Pemba kufikia uamuzi wa endapo kishiriki kwenye Serikali ya Umoja. “Chama bado kinaendelea na vikao vyake kuhusu...
  14. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Tanzania should account for COVID-19 funds and stop hiding behind the facade of sovereignty

    Taasisi moja ya utafiti ya nchini Denmark imechambua hoja za Prof. Kabudi na serikali ya Dr Magufuli juu ya matumizi ya fedha za msaada kupigana na COVID-19. Tanzania inadai maombi ya siku tatu yalifutilia mbali novel coronavirus, sasa Bunge la Umoja wa Ulaya linahoji pesa zimetumikaje au...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani, kwanini mliususia Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na mkakubali kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020?

    Kuna vitu vinatufanya sisi wananchi tufanye hitimisho kuwa viongozi wakuu wa upinzani ni wabinafsi wanaojali matumbo yao tu. Twende kwenye swali husika ambalo linavijiswali vidogo ndani yake; - Kwanini mliususia Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na mkakubali kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020...
  16. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Serikali yasalimu Yawaachia huru Wavuvi haramu 8 kutoka Iran

    Wavuvi wa Iran walioachiwa huru kutoka Magereza ya Tanzania walipokelewa kwa furaha na Viongozi na familia zao huko Nchini Iran baada ya Maongezi na Serikari ya Tanzania. Bado wengine hawajaachiwa ni miaka minne sasa ishapita tokea wasweke ndani... ===== Eight Iranian sailors, held in...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Weka siasa pembeni, tafakari "credibility" ya Mamlaka za Serikali katika sakata la CHADEMA

    Mnyika anasema... Uhakika nilio nao, hao 19 walioenda kuapa, walishirikiana na ofisi za NEC, pamoja na Bunge kughushi nyaraka za chama, kujiteua bila kikao na kujipeleka kwenda kuapa. Huu ni USALITI mkubwa. Wote 19 wanafahamu orodha haiwezi kwenda NEC bila kupitishwa na Kamati Kuu ikiwa na...
  18. Bowie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya is in financial distress, government admits

    Low revenue collection, a ballooning debt and the economic challenges of Covid-19 have plunged Kenya into a cash crunch, with all indications clear that the government is struggling. On Monday, Interior CS Fred Matiang'a hinted at a looming pay cut for civil servants in a desperate move to...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali ya India yafungia App ya AliExpress na nyingine 42

    Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanategemea kusafiri kwenda nchini India basi ni muhimu kujua kuwa Apps mbalimbali ambazo zinamilikiwa na kampuni za kichina ikiwemo TikTok na nyingine kama AliExpress zote zitakuwa hazifanyikazi. Kwa mujibu wa serikali ya India, Sababu za kufungiwa kwa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha kuwakatalia Wakurugenzi wa Kenya na kuruhusu wengine ni ubaguzi

    Tanzania tumekuwa na tabia ya kuwakatalia Wakenya kwenye nafasi za juu vibali vya kazi huku tukiwapa wale wengine ambao sio Wakenya bila sababu ya Msingi. Nimesikia Mkurugenzi wa Cocacola Kwanza kakataliwa kibali wakidai kuna Watanzania wenye uwezo lakini vilevile Mkurugenzi wa Voda naye wa...
Back
Top Bottom