MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetaifisha mzigo wa madini ya almasi ambao ulikutwa uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, ukiwa unasafirishwa kwenda nchini Ubelgiji, wenye thamani ya sh. bilioni 61, 970,625,864.
Almasi hizo zina uzito wa carats wa 71,654.45 ambazo zilikuwa...