serikali

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi mkubwa wa Serikali za Afrika

    Kuna ubinafsi mkubwa ambao unashangaza wengi sana kwenye nchi zetu za Afrika na zinazoendelea. Mfano kwenye magari ya Serikali mimi naishi state ya Texas magari mengi ya Serikali ya hili jimbo ni Ford, Toyota, Nissan, Jeep . Cha ajabu ukienda kuulizia Toyota wenyewe wanakwambia Gari za hapa USA...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali kuajiri walimu wapya wa masomo ya Sayansi na Hesabu kukabiliana na uhaba uliopo

    Serikali inatarajia kuajiri walimu wengine wapya hususani wa masomo ya sayansi na hisabati ili kukabiliana na upungufu mkubwa wa walimu wa masomo hayo katika shule za sekondari nchini. Hayo yamesemwa na waziri wa nchi ofisi ya Rais-TAMISEMI, mheshimiwa Ummy Mwalimu(mb) akiwa ziarani katika mkoa...
  3. JamiiForums Tanzania Bei za bidhaa Afrika Mashariki; Tanzania tunakamuliwa na Serikali

    Cement 50kg Dar 15000 Nairobi 10000 Kampala 11000 Kigali 11000 Bujumbula 12000 Sukari 1kg Dar 2800 Nairobi 1600 Kampala 1500 Kigali 1500 Bujumbula 1800 Petrol 1 litre Dar 2400 Nairobi 1800 Kampala 1900 Kigali 1850 Bujumbula 2050 Bei ya umeme kwa unit Tanzania 290 Kenya 185 Uganda 140 Rwanda...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali: Kuna kundi kubwa la watoto wenye jinsia mbili, lakini wanafichwa na wazazi na kushindwa kupatiwa matibabu

    MAMLAKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), imesema kuna kundi kubwa la watoto wenye jinsia mbili, lakini wanafichwa na wazazi, hivyo kushindwa kupatiwa matibabu. Kutokana na hatua hiyo, jamii imetakiwa kuacha imani potofu na kutumia fursa zilizopo katika mamlaka hiyo, ili watoto...
  5. J

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Nitawashtaki Wenyeviti wa Serikali za Mitaa Wazembe kwa Wakurugenzi ili wabadilishwe

    IGP Sirro amesema atawashtaki kwa wakurugenzi wa halmashauri wenyeviti wazembe wa serikali za mitaa ili ikiwezekana waondolewe na nafasi zao kujazwa na watu wengine. Sirro amesema wenyeviti wa serikali za mitaa wanapaswa kusimamia ulinzi katika maeneo yao na kwamba hapa Tanzania askari mmoja...
  6. JamiiForums Tanzania Utunzaji wa Magari ya Serikali

    Huwa inaniuma sana ninapo pishana na magari ya serikali, madereva wengi (sio wote) hawafuati sheria, uendeshaji wao sio wa kujali utunzaji wa haya magari. Haya magari yangekuwa yanatunzwa vizuri both na taasisi lakini pia na madereva wenyewe yangepunguza gharama kubwa zinazotumika kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Jimbo la Kalambo kata ya Mambwe Nkoswe sio sahihi hivyo tunaomba Serikali iingilie kati

    Nimekuwepo huko katika harakati za maisha lakini naona kuna hali ya hatari hasa kwa wafanyabiashara wa mazao mana wanavamiwa na kupigwa mapanga na pia kupora hela zao. Matukio hayo yapo zaid katika vijiji vya legeza legeza mwendo,mkombo,kalembe na kitongoji cha utengule. Sisi kama raia wema...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi kuna tofauti gani kati ya GDP na budget ya serikali?

    Naomba msaada wajameni maana huwa siwezi kuvitofautisha kabisa.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Majigambo ya Serikali hii yameongeza gharama za maisha

    Kutokana na Majigambo ya Serikali hii mara tumepandisha madaraja na kulipa mabilioni ya nyongeza sasa yameanza kuleta madhara kwa mfano sasa chakula cha samaki ya zamani ilikuwa elf 8 sasa ni elfu 10 yaaninongezeko la 20% .Ukiuliza wanasema kodi kuongezeka lakini serikali kulipa wafanyakazi...
  10. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea sasa CHADEMA ni mpango toka nje kuingiza nchi matatizoni. Serikali ina kazi ngumu huko mbele

    Chadema ni chama cha siasa chenye wanasiasa ambao si makini. Ni chama kilichokusanya watu wanojiita wanasiasa lakini hawana mbinu za kuishi kwenye siasa. Miaka mitano ilopita Chadema walipata shida na hawakuweza kujinafasi na serikali ambayo iliongozwa na raisi ambae hakuwa tayari kuvumilia...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania kujenga kiwanda cha kuzalisha chanjo ya Covid-19

    Serikali imeanza mchakato wa kutengeneza chanjo ya Virusi vya Corona hapa nchini ili kupunguza gharama ya kuagiza nje ya nchi na kuzifanya ziwe karibu na wananchi. Akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dodoma Katibu Mkuu, Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Afya Prof. Abel Makubi amesema...
  12. JamiiForums Tanzania Masahihisho kwa Wapotoshaji: Mdude Nyagali aliishinda Serikali Mahakamani, hakutolewa jela kwa Msamaha wa Rais

    Pamoja na yote yanayoendelea kuhusu Mdude, ambayo nisingependa kuyarudia hapa, kinachopaswa kufahamika ni kwamba Mdude Nyagali alitolewa gerezani baada ya kuishinda serikali ya Tanzania Mahakamani. Hakutolewa kwa Msamaha wa Rais wala hakutolewa kwa Huruma ya Mtu yeyote yule, alishinda Kesi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali kuwapa mtaji wanaohitimu mafunzo JKT

    SERIKALI imesema itaangalia namna ya kuwapa mtaji vijana wanaohitimu mafunzo katika makambi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ili ujuzi wanaoupata usipotee badala yake wakautumie uraiani. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandika wakati akikagua mradi wa...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba Muongozo kutoka kwa serikali: Je, mwaka huu kutakuwepo sikukuu za Nane nane?

    Wakuu Kwema! Nafahamu viongozi wengi wa serikali wanapita humu JF. Naomba kujua Kama mwaka huu kutakuwa na sikukuu za Nane nane. Ili wakulima tujue tunafanyaje. Natanguliza shukran
  15. JamiiForums Tanzania Patrick Mfugale katika umri wa miaka 71 alikuwa anafanya nini ofisi ya umma?

    Umri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhusu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu. Madhara yake mnabana nafasi za ajira kwa wengine...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ipo serious kupambana na Delta variant (Corona 3)?

    Hivi Serikali yetu ipo serious kupambana na ugonjwa wa Delta (Indian variant)yaani corona 3? Wenzetu,ndugu zetu Waganda,DRC,Rwanda Serikali zao zimechukua hatua kali na madhubuti kukabiliana na huu ugonjwa hatari. SINA HAJA YA KUANDIKA MENGI,WENZETU WAAFRIKA WANATEKETEA HASA UGANDA NA...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali kuanzisha shule za michezo mikoa yote nchini

    Serikali imesema ipo kwenye hatua za mwisho za kuanzisha shule maalum za michezo, za msingi na sekondari, katika mikoa yote nchini lengo likiwa ni kuwa na shule na vituo maalum vya kuendelezea vipaji vya michezo (sports academies). Akizungumza kwenye Sherehe za kufunga mashindano ya Michezo na...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Michango ya kujiunga kidato cha tano kwa shule za Serikali isizidi Tsh. 188,000

    WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu, amepiga marufuku wakuu wa shule zote za serikali kutoza michango ya kujiunga na kidato cha tano zaidi ya Sh. 188,000. Amesema mkuu yeyote wa shule atakayebainika kukiuka agizo hilo, hatua kali...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati biashara na matumizi ya Vipipi utamu

    Last month nilienda Zanzibar business trip na wenzangu .tukiwa kule pamoja na mambo mengi tulikuwa tunaangalia fursa mbalimbali. Katika mambo mengi tuliofanya mle nikaamua kumulika hii biashara ya vipipi utamu nilikuwa navisikia Sana huku bara. Nikakutana na mpemba mmoja akaniambia bna vipipi...
  20. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Serikali kufunga vifaa vya kielektroniki kufuatilia nyendo za vyombo vyote vya usafiri

    Serikali ya Uganda imeingia mkataba na Kampuni ya Teknolojia ya Global Systems LLC ili kuweka vifaa vya kielektroniki (tracking devices) kwenye vyombo vyote vya usafiri nchini humo. Waziri wa Usalama wa nchi hiyo, Meja Jenerali Mstaafu Jim Muhwezi amethibitisha jana kuwa wamesaini mkataba wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…