serikali

  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Jinsi Serikali ya Hayati Magufuli ilivyoichezea Katiba ya Nchi, inatia uchungu

    Tukiwa katika kupigania katiba mpya nimejikuta natafakari jinsi serikali ya Magufuli ilivyoichezea katiba ya nchi. Hii ni sababu tosha tunahitaji katiba mpya ya kuweza kuchukua hatua kali dhidi ya mhujumu wa katiba. Katiba iliyopo imeweka kinga kwa Rais. Kwa nini ajiwekee kinga kama anafanya...
  2. Replica

    JamiiForums Tanzania Serikali yaunda Kamati kuchunguza chanzo cha moto Soko Kuu Kariakoo. Waziri Mkuu asema hatua zitachukuliwa moja kwa moja ikijulikana kuna mkono wa mtu

    Habari wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa Soko Kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na...
  3. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Serikali yako imekiri Corona ipo na bado inashiriki kuisambaza kwa kuruhusu matamasha

    SOCIAL DISTANCING Hakuna asiyejua hii ndo key element ya kupunguza maambukizi ya magonjwa yanayofanana na Corona. Nimeanza na hilo Tangazo hapo juu ili hili suala lieleweke kwa sababu tukiacha matangazo ya uwepowa Corona nchini ambayo yanahusishwa na "Kujenga Mazingira ya kupata misaaa" kutoka...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali kurejesha leseni kwa maduka ya kubadili fedha yatakayokidhi tathmini inayofanyika

    WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, ameagiza wataalamu wa wizara hiyo kufanya tathmini ya maduka ya kubadilisha fedha na kurejesha leseni kwa wenye vigezo ambao awali walifutiwa. Katika mahojiano na Kituo cha Azam TV jana, Dk. Nchemba alisema kwa sasa wanafanya tathmini mpya...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Wabunge wanatuona ‘SISI’ wananchi ni wajinga sana

    Tunategemea Wabunge wawe watetezi wa wananchi kwenye masuala mbalimbali kurahisisha maisha yetu badala yake wao ndio wamekuwa wawakilishi wa serikali kutugandamiza. Wabunge wameridhia serikali kupunguza kodi kwenye bia na kuongeza kodi kwenye mafuta ya petrol, hawaoni kuwa ni mzigo kwa...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mifumo mingi ya serikali imelala, asilimia kubwa ya Wanachi tunaumia sana

    Ufanisi wa utendaji katika utumishi wa umma huleta tija hasa katika kukuza maendeleo ya nchi. Dhana hii inachagizwa kwa karibu sanaa na matokeo ya ufanisi katika utendaji hasa katika taasisi asasi za serikali. Aidha uadulifu ni dhana na kiungo muhimu Sana katika kulisukuma gurudumu hili la...
  7. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’

    Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’, “hili ni eneo jipya ambalo tunalifanyia kazi, katika bajeti zinazofuata litakuwa ingizo jipya. Mataifa mengi yanageukia kodi hii.” Kazi na iendelee!
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia ndiyo itakayoumiza sana Wanyonge. Hili tuendelee kukumbushana

    Ndani ya miezi yake michache ameendelea kunyonya watu wenye kipato cha chini na kufaidisha Matajiri. Kodi iliyooongezeka kwenye mafuta si rafiki kwa maskini. Ni kodi ya kinyonyaji,wizi na ulaghai mkubwa. Kodi kwenye miamala ni kodi hiyo hiyo endelevu ya kunyonya watanzania maskini. Bado kodi...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Serikali yatoa toleo la pili la Muongozo wa Huduma kwa wanaohisiwa kuwa na COVID-19

  10. Yohimbine

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe somo la ujasiriamali shuleni

    Habari za uzima wapendwa poleni na majukumu ya wiki nzima. Turudi kwenye mada yetu, hivi sasa ukiangalia kumekuwa na wimbi kubwa sana la wahitimu wanaomaliza masomo yao ya elimu ya juu lakini ufinyu wa ajira umekuwa mkubwa sana na kusababisha watu wengi kuwapo mtaani bila ya kuwa na shughuli...
  11. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Bunge ni mtoto wa Katiba, Mahakama ni mtoto wa Katiba, Serikali ni mtoto wa Katiba

    Penda tusipende, Katiba mpya ni Takwa la Wananchi wa Tanzania. Bunge ni mtoto wa Katiba, Mahakama ni mtoto wa Katiba, Serikali ni mtoto wa Katiba. Kwa kawaida mama anamzaa mtoto, mtoto hamzai mama na mama ni Watanzania, ndiyo wenye Katiba-M/kiti NCCR-Mageuzi, James Mbatia.
  12. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mitungi ya Oxygen yawasili Bugando; tusichoke kupaza sauti kuishauri, kuipongeza na kuikosoa Serikali

    Hapo ni Bugando hospital,imeonekana mitungi inayosemekana ni ya Oksijen ikishushwa. Ikumbukwe wiki hii nzima kumekuwa na kelele nyingi mitandaoni kuhusiana na ukosefu wa au upungufu wa mitungi hiyo katika hospitali hii na nyinginezo. Ni imani yetu Serikali imelisikia hilo na kulitatua haraka...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Tunisia: Serikali yasema Virusi vya Corona ni janga

    Serikali imesema hali ya COVID19 ni janga na Mfumo wa Huduma za Afya umekufa. Hospitali za muda mfupi zimeanzishwa kote Nchini humo lakini Wizara ya Afya inasema hazitoshi, na wana changamoto ya utoaji Oksijeni Taifa hilo limekuwa likirekodi idadi kubwa ya maambukizi ambapo visa 9,823 na vifo...
  14. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM, kwanini tunashindwa na wenzetu wanaweza? Mtupishe!

    CCM kila siku inajisifu "sisi ni chama Tawala" bila kuwaonyesha chini ya utawala wao kipi cha kujivunia hasa katika dunia ya leo tuwezacho kuionyesha dunia? Ona hii, leo 2021 Waziri wa Viwanda anasimama kwa mbwembwe kuzindua Trela la kwanza kuundwa nchini na kujisifu kwa uvumbuzi huo wakati...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi mkubwa wa Serikali za Afrika

    Kuna ubinafsi mkubwa ambao unashangaza wengi sana kwenye nchi zetu za Afrika na zinazoendelea. Mfano kwenye magari ya Serikali mimi naishi state ya Texas magari mengi ya Serikali ya hili jimbo ni Ford, Toyota, Nissan, Jeep . Cha ajabu ukienda kuulizia Toyota wenyewe wanakwambia Gari za hapa USA...
  16. msovero

    JamiiForums Tanzania Serikali kuajiri walimu wapya wa masomo ya Sayansi na Hesabu kukabiliana na uhaba uliopo

    Serikali inatarajia kuajiri walimu wengine wapya hususani wa masomo ya sayansi na hisabati ili kukabiliana na upungufu mkubwa wa walimu wa masomo hayo katika shule za sekondari nchini. Hayo yamesemwa na waziri wa nchi ofisi ya Rais-TAMISEMI, mheshimiwa Ummy Mwalimu(mb) akiwa ziarani katika mkoa...
  17. technically

    JamiiForums Tanzania Bei za bidhaa Afrika Mashariki; Tanzania tunakamuliwa na Serikali

    Cement 50kg Dar 15000 Nairobi 10000 Kampala 11000 Kigali 11000 Bujumbula 12000 Sukari 1kg Dar 2800 Nairobi 1600 Kampala 1500 Kigali 1500 Bujumbula 1800 Petrol 1 litre Dar 2400 Nairobi 1800 Kampala 1900 Kigali 1850 Bujumbula 2050 Bei ya umeme kwa unit Tanzania 290 Kenya 185 Uganda 140 Rwanda...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kuna kundi kubwa la watoto wenye jinsia mbili, lakini wanafichwa na wazazi na kushindwa kupatiwa matibabu

    MAMLAKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), imesema kuna kundi kubwa la watoto wenye jinsia mbili, lakini wanafichwa na wazazi, hivyo kushindwa kupatiwa matibabu. Kutokana na hatua hiyo, jamii imetakiwa kuacha imani potofu na kutumia fursa zilizopo katika mamlaka hiyo, ili watoto...
  19. J

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Nitawashtaki Wenyeviti wa Serikali za Mitaa Wazembe kwa Wakurugenzi ili wabadilishwe

    IGP Sirro amesema atawashtaki kwa wakurugenzi wa halmashauri wenyeviti wazembe wa serikali za mitaa ili ikiwezekana waondolewe na nafasi zao kujazwa na watu wengine. Sirro amesema wenyeviti wa serikali za mitaa wanapaswa kusimamia ulinzi katika maeneo yao na kwamba hapa Tanzania askari mmoja...
  20. Tembomtata

    JamiiForums Tanzania Utunzaji wa Magari ya Serikali

    Huwa inaniuma sana ninapo pishana na magari ya serikali, madereva wengi (sio wote) hawafuati sheria, uendeshaji wao sio wa kujali utunzaji wa haya magari. Haya magari yangekuwa yanatunzwa vizuri both na taasisi lakini pia na madereva wenyewe yangepunguza gharama kubwa zinazotumika kwenye...
Back
Top Bottom