serikali

  1. JamiiForums Tanzania Kivuko cha MV. Temesa huipa Serikali hasara ya Milioni 10 kila Mwezi. Kilitengenezwa kwa bilioni 3

    Kivuko cha MV. Temesa, kinachotoa huduma ya usafiri wa abiria kati ya Luchelele Jijini Mwanza na Kijiji cha Ilunda, kata ya Ngoma'B' Wilayani Sengerema kilichojengwa na serikali kwa gharama ya shilingi bilioni 3 kinadaiwa kujiendesha kwa hasara kutokana na kukosa abiria. Hatua ya kivuko hicho...
  2. JamiiForums Tanzania SoC01 Ushauri wangu kwa Serikali kupitia TRA

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Nianze na angalizo kuhusu andiko langu hili kuwa sio la kielemu wala kitaalam ni mawazo yangu binafsi ninavyotamani kuona kama yanaweza kuonesha njia ya mabadiliko kwenye ukusanyaji wa mapato nchini. Nikirejea motto wa mamlaka ya mapato...
  3. JamiiForums Tanzania Hadi sasa nimeshatumia 12,000$ kwenye matangazo Instagram (Facebook). Je, Serikali huwa inakusanyaje Income tax kwa hii kampuni?

    Ofisi zao hawa Facebook kwa hapa Dar ziko wapi? Na kwa mabilioni yote haya wanayochuma kama faida toka nchi Tanzania, wanalipa kodi ya mapato (income tax)? Na wanailipaje? Maana itakuwa sio fair makampuni mengine kama Wasafi Media, Clouds Media, IPP media na wengine walipe kodi ya mapato na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Siku 100 za CCM chini ya Rais Samia kwa Watanzania wa hali ya chini ambao wanategemea fadhila za watendaji wa Serikali

    Tumeshuhudia taarifa, michango, na report nyingi zikitolewa kuhusu siku 100 za utendaji wa mh. Rais Samiah Suluhu Hassan. Sijasikia popote yakielezwa mapungufu ktk siku hizo 100 zaidi ya pongezi nyingi zilizotolewa. Mimi naweka bandiko hili hapa kuonyesha mapungufu ndani ya siku 100 za mama...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM ina kitu cha kujifunza kinachotokea kuhusu Rais Mstaafu Zuma nchini Afrika Afrika

    Nafkiri Serikali ya CCM na Watanzania kwa ujumla wetu kuna kitu cha kujifunza kupitia VURUGU zinazoendelea kuhusu kifungo cha ZUMA. Kiuhalisia asilimia kubwa ya hao wanaondamana na kuleta fujo ni wale ambao wameona wamepata FURSA ya kuonyesha na kupunguza STRESS na HASIRA zao kwa mambo mengi...
  6. JamiiForums Tanzania Mwigulu awahakikishia Mabalozi kuwa Serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa

    Waziri wa Fedha Mh Mwigulu Nchemba amewahakikishia Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na Jumuiya ya Kimataifa kwamba Serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa ili kusisimua uchumi na kuondoa malalamiko yaliyotolewa na jumuiya hiyo.
  7. JamiiForums Tanzania IMF: Tanzania lazima iweke wazi takwimu za COVID-19 ili ipate msaada wa dharura

    Tanzania inahitaji kuweka wazi data ya ueneaji kwa Covid-19 kabla ya kupata idhini ya mkopo wa dharura wa Dola 574 milioni kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa. Maamuzi hayo yanatokana hali ya kutojulikana kwa takwimu halisi za ugonjwa huo tangu Serikali ilipoacha kuziweka wazi Mei mwaka 2020...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Dorothy Gwajima: Serikali haitatumia nguvu, jilindeni na Covid-19

    PICHA: Dkt. Dorothy Gwajima Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema serikali haitatumia nguvu katika kukabilia wimbi la tatu la virusi vya corona, na badala yake watajikita katika utoaji elimu zaidi. Akijibu maswali ya waandishi wa habari jana Dar es...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali isitishe zoezi la sensa mwakani 2022 ili pesa hizo zitumike kuboresha Sekta ya Kilimo

    Huu ni ushauri tu, Suala la sensa limetumika kipindi cha kale kuweza kupeleka huduma eneo husika. Mathalani nchi yetu haina mass internal migration ya watu na ongezeko la watu kwa nchi yetu linachangishwa na factors mbili tu ambazo ni birth rate factors and mutality rate factors tofauti na hapo...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tunaambiwa na Serikali tuchukue tahadhari ya Corona lakini matukio mengi ya chama na Serikali hayana hiyo tahadhari

    Nimemuona Katibu Mkuu wa CCM anaendelea na mikutano ya hadhara kule Songwe na anakusanya watu wengi tu huku viongozi wakituambia hali ya corona ni mbaya. Je, kuendeleza hii mikutano haiwezi kuwa kitisho kikubwa cha kusambaza hiyo corona? Ni kwanini CCM isiisitishe hii mikutano ili kuonesha...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mitaala ya somo la Historia iliyositishwa ilijaa propaganda za kumsifu Magufuli kuwa ni kinara wa mabadiliko nchini

    VITABU vipya vya “Historia ya Tanzania” vilivyokuwa vimechapwa kwa agizo la Rais John Magufuli havitatumika tena. Badala yake, vitaandaliwa vingine – endapo kutakuwa na umuhimu huo, SAUTI KUBWA imeelezwa. Somo hilo lilipangwa lifundishwe kwa wanafunzi wa shule za awali hadi sekondari za juu...
  12. JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu kutegemea vyombo hivi vya Umma ni hatari kuliko hatari yenyewe

    Mwaka fulani hapa Jijini Dar es salaam nikiwa naishi mitaa flani jirani yangu alipatwa na janga la moto. wakati tunapambana na huu moto jirani akawapigia simu zimamoto. tuliendelea kupambana na moto huo na baada ya muda mfupi (dk 50) walikuja zimamoto wakati huo kwa upande wa chini tumefanikiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Shule za Serikali kufanya vizuri kuliko za Binafsi: Je, ni mkakati wa kuzifuta shule binafsi, kama walivyokuwa upinzani?

    Sioni sababu ya shule za Sekondari za Serikali kufanya vizuri kuliko za watu au mashirika binafsi. Ila naamini kuna mkakati wa kuzifuta shule za binafsi kwa njia ile ile iliyotumika kuvidhoofisha vyama vya upinzani. Wenye povu au hoja tofauti mnakaribishwa.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Serikali inatudanganya kuhusu Corona au ni siasa za kuomba hela IMF na Europian Union?

    Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu Nawashukuru watanzania...
  15. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Aua mtoto wake kwa kutopokea fedha za COVID19

    Mkazi wa Kalaki katika kaunti ya Ogwolo nchini Uganda amemnyonga mtoto wake wa miezi 9 baada ya kutopokea hela za serikali wanazopewa watu wasiojiweza kipindi hiki cha COVID19. Mkuu wa Wilaya ya Kalaki, Paul Kalikwani amesema mtuhumiwa mwenye umri wa miaka 35 aliwaambia wanakijiji wenzake kuwa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe tamko suala la maziko ya watu waliokufa kwa COVID-19 au waliokuwa na changamoto ya upumuaji

    Sina takwimu zozote lakini hali ya vifo vinavyotokea sasa hivi, siyo ya kawaida. Inatia hofu kuona harakati za shughuli nzima ya msiba ni zile zile za kawaida. Hata Viongozi wa Dini wameamua kumjaribu Mungu kwa kushindwa kutoa tahadhari ili kuwalinda baadhi ya watu. Natoa rai kwa Serikali...
  17. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Serikali yaanza kutoa chanjo ya COVID-19 kwa wahudumu wa Afya

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Zanzibar Ahmed Mazrui amesema wameanza kutoa chanjo ya COVID-19 kwa wahudumu wa Afya wa hospitali za serikali, Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume na Bandari ya Malindi. Wamechukua hatua hiyo kwa kuwa nchi kadhaa za Afrika zimeonesha...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Serikali toeni takwimu kwa mujibu wa mapendekezo

    Inafahamika kuwa tume ya wataalamu iliyoteuliwa kushauri kuhusiana na ugonjwa huu ilitoa mapendekezo yake. Inafahamika kuwa % kubwa ya mapendekezo ya tume hiyo yamepokelewa na yako katika hatua mbalimbali za utekelezaji. Hata hivyo katika yote, mawili haya yangalipo yakielea angani yakiendelea...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali imefanya maboresho vipomo Corona uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    SERIKALI imefanya maboresho ya miundombinu kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ajili ya upimaji wa virusi vya corona kwa wasafiri wanaoingia nchini. Hayo yamesemwa jana na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi wakati alipotembelea uwanja huo akiwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi Serikali ya Hayati Magufuli ilivyoichezea Katiba ya Nchi, inatia uchungu

    Tukiwa katika kupigania katiba mpya nimejikuta natafakari jinsi serikali ya Magufuli ilivyoichezea katiba ya nchi. Hii ni sababu tosha tunahitaji katiba mpya ya kuweza kuchukua hatua kali dhidi ya mhujumu wa katiba. Katiba iliyopo imeweka kinga kwa Rais. Kwa nini ajiwekee kinga kama anafanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…