serikali

  1. S

    Rais Samia wasaidizi wako wa Uchumi pamoja na Jeshi la Polisi nchini vinaharibu mwenendo wa Serikali yako

    Rais samia tambua kuwa kila jambo litakalofanyika ndani ya serikali yako liwe zuri au baya ni wewe ndio unayenyooshewa kidole na si mtu mwingine , kuwa makini sana na hawa wasaidizi wako wanafanya maamuzi yao ikiwa pamoja na kujenga hoja juu ya maamuzi hayo kwa maslahi yao binafsi , husifikiria...
  2. Tundu Lissu: Mashtaka dhidi ya Freeman Mbowe ni mepesi kuliko pamba, awaponda Waendesha Mashtaka

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , amechambua mashitaka yaliyosomwa Mahakamani yanayomkabili Mwenyekiti wake Freeman Mbowe , huku akiyaita duni , mepesi na ya UONGO. Amedai ana uzoefu wa kutosha kwenye kesi za uzushi na uongo kama hii kutokana na kazi yake ya Uanasheria aliyoifanya...
  3. S

    CCM na Serikali yake sio wanamwogopa Mbowe. Hapana, CCM hawawaogopi Watanzania

    Ule mshiko wa kukazania kuwa sababu ya Mbowe kutiwa jambajamba kila wakati na sasa kukamatwa katika aina ya kesi zinazochukua muda mrefu hadi kufikia hukumu ya mkosa au si mkosa ni sababu CCM wanamuogopa Mbowe, sio kweli bali kwa hali ilipofikia inaonyesha wazi CCM wamejitoa hofu na hawamuogopi...
  4. Ombi: Serikali irudishe kodi ya kichwa

    Kila mmoja kwa nafasi yake inabidi awajibike kuichangia hii nchi tupate maendeleo Najua tayari kuna kodi nyingine ila hizi zilizopo sidhani kama zinatosha kuleta maendeleo kama wananchi tunavyotarajia sababu sio wote wanatoa. Nadhani ukiletwa utaratibu mzuri wa hii kodi Serikali yetu itapata...
  5. M

    Sasa ni dhahiri kesi ya Mbowe imekaa vibaya. Mashahidi 24 na vielelezo 19 vya serikali si mchezo. Ni mkao wa kunyolewa

    Kwa mashtaka yaliyosomwa leo tarehe 23 Agosti 2021 ni wazi serikali imejipanga ipasavyo kwa kesi hii ya Mbowe ya ugaidi. Serikali kuwa mashahidi 24 na vielelezo 19 siyo mchezo. Sasa tunafahamu kwa nini IGP alilizungumzia hii kesi kwa kujiamini sana na kueleza kuwa Mbowe kama ni mkristo mkweli...
  6. Dodoma: V8 ya milioni 140 mali ya Serikali yauzwa kwa milioni 4.9

    Dodoma! Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Dodoma ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Godwin Mkanwa imebaini uuzwaji wa gari la Halmashauri ya Wilaya ya Mpwawa lenye thamani ya milioni 140 kwa million 4.9 kinyume na sheria ya mali za Umma! Chanzo: Darmpya
  7. Nashauri Serikali iandae mdahalo mubashara wa Television baina ya Askofu Gwajima na Waziri wa Afya ili kumaliza utata uliopo juu ya usalama wa chanjo

    https://www.instagram.com/p/DI_yEyDICqU/?igsh=MTI5ZDUzaW5mNWM3Zg== Mdahalo wa wazi hutumika hata kule Marekani kipindi cha uchaguzi, ambapo wagombea kupitia vyama pinzani huwekwa kwenye jukwaa moja na kupitishwa kwenye ‘tanuru la moto’ ili kuona nani anafaa, vivyo hivyo ifanyike kwa Askofu...
  8. Hapa tunaishauri Serikali ivunje Katiba kwenye Baadhi ya Mambo. Inachanganyikiwa ifuate lipi na wakati gani

    Ukimsikiliza Gwajima Me ana hoja zake na Gwajima Ke ana hoja zake. Kikatiba wapo sawa. Na pia kwa Tamko la Rais. Wapo sawa. Chanjo ni Hiyari. Kwa nini? Ndio maana Serikali inatujazisha fomu kuwa Chanjwa by your own risk. Ukiwa Ok sawa Shukuru Mungu. Ukiathirika pole maisha yaendelee...
  9. Serikali ya Rwanda yaondoa Tozo kwenye miamala ya benki kwenda mitandao ya simu kuwalinda watumiaji

    Hii hapa taarifa kamili. Mungu ibariki Rwanda. ================ No charges and fees will henceforth be incurred when transferring funds from one’s bank account to their mobile money wallet and vice versa (push and pull charges). The Central Bank has scrapped costs in their latest directive...
  10. Serikali inahitaji kujitangaza kuwa imefirisika tuelewe Moja

    List ya Kodi anazolipa raia Mnyonge:- Pay as you earn Vat 18% kwa kila bidhaa 4% Tax on services - Ufundi n.k Ewura kwenye manunuzi ya umeme na Mafuta Tanroad kwenye Mafuta wanachukulia humo humo Rail Levy unapoagiza kitu kupitia bandari Takataka za Majumbani low density area elfu 20 wenye...
  11. S

    Katika Bajeti ya mwaka wa fedha wa 2024/2025, watafuta tozo zote huku wakidai Serikali yao ni sikivu

    Hawa watu wanajua uchaguzi bado uko mbali na ndio maana wanafanya yote haya licha ya kelele zote zinazopigwa na msitarajie watabadili chochote katika kipindi hiki(wakibadili, basi ni kidogo sana). Watachofanya ni kusubiri Bajeti ya kuelekea mwaka wa uchaguzi(Bsjeti ya 2024/2025) ndio watakuja...
  12. R

    Serikali wasikilizeni Wananchi kuhusu tozo

    Wananchi wa kawaida/maskini ni walipa kodi wazuri, kupitia huduma/manunuzi ya bidhaa wanayofanya direct wanakua wamelipa kodi ila tatizo lipo kwa serikali ktk kuhakikisha kodi hizo zinaingia serikalini. Mfano mdogo serikali inapoteza mabilioni ya kodi wanayolipa wananchi kupitia manunuzi kwa...
  13. Kwamba Serikali ya Tanzania haiwafahamu wenye nyumba kiasi cha kumkata mpangaji kodi ya Majengo ni uongo wa kiwango cha chini sana na ni wizi

    Kodi ya Majengo imelipwa ndani ya nchi hii kwa miaka na miaka , kwa kipindi kirefu ililipwa kwenye Halmashauri na kuwa mapato ya Halmashauri husika ili kusaidia miradi mbali mbali , mimi mwenyewe nina nyumba 2 kwenye halmashauri ya Temeke , nafahamu ninachoandika , Jina langu linafahamika vema...
  14. Serikali iliyoshindwa, vyanzo vya mapato vinachosha

    Serikali inayokkaribia kufeli, ukiona wananchi wanawekewa maneno mdomoni na watawala kwamba wamekubali mambo fulani. Ukiona wananchi wakilazimishiwa fulani awe kiongozi. Ukiona serikali inakosa kubuni chanzo cha mapato ambacho kila mtu ataridhia. Ukiona kila mtu anaongea kwa kiburi kama nchi...
  15. China, Marekani na Ulaya walitozana sana kufikia hapo. Maendeleo ni gharama, serikali isigeuke nyuma!

    Watanzania waelewe, serikali haina vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kodi ya Watanzania. Watanzania tunataka maendeleo,barabara nzuri,reli,umeme, shule,hospitali, miji iliyopangika,maji, serikali yenye ufanisi,ulinzi na usalama,lakini ili upate vitu hivyo lazima ugharamikie kwa tozo na kodi...
  16. Siamini serikali inakusanya kodi ipasavyo. Kanzidata ya wapiga kura 2015 na zingine zitumike kuwatambua walipakodi nchi nzima

    Kuna mambo ambayo nakubaliana na hayati Magufuli khasa katika utekelezaji wa sera za CCM hususani dira ya maendeleo ya 2015-2025. Hayati Magufuli alitaka kila mradi khasa ile miradi mikubwa ikamilike kabla ya 2020. Moja ya miradi ambayo hata hivyo alitaka ikamilike mwaka huu ni ujenzi wa mji...
  17. Serikali iliunganisha umeme kwa Shilingi 27,000 ili kupata watu wengi wa kukata tozo

    Na nimeelewa sasa kuwa 1. Umeme kwa 27,000 ilikuwa plan ya muda mrefu kwanza vijijini halafu Sasa mjini ili wapate vichwa vingi vya tozo. 2. Watu flani walioishika serikali wanataka wafanye biashara zao za solar na magenerator hivyo wakachampion tozo ili watu wachukie wahamie kwenye Sola Kama...
  18. Serikali watuambie ukweli wa hizi tozo

    Walisema wameongeza shilingi 100 kwenye mafuta kwa ajili ya barabara, wakaanzisha makato kwenye miamala wakadai ni kwa ajili ya barabara, wakakopa trilioni 2.7 kwa ajili ya barabara. Kwa nini wasituambie ukweli wasingizie barabara? Hii ni mbali na 1200 kwa kila lita moja ya mafuta ya kula...
  19. Baadhi ya viongozi wa serikali ni 'vichaa', wakiondolewa ndipo Watanzania watapata ahueni

    Habari za asubuhi! Leo kuna mtu alipost jambo humu akanikumbusha jambo, nikaingia library kupekua nikakutana na picha za matukio kadhaa ya nyuma yaliyofanywa na viongozi wetu. Hebu icheki hii picha chini kisha utagundua kuwa tuna baadhi ya viongozi vichaa katika Taifa hili. Hawa watu wenye...
  20. Hospitali za Serikali Wanatoa Huduma Jumamosi?

    Hospitali za Serikali Wanatoa Huduma Jumamosi kwa wagonjwa wa kawaida (OPD)? Kama Jibu ni Ndio, Ratiba ikoje? yani kuanzia saa ngapi hadi ngapi? Natanguliza shukran!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…