serikali

  1. O

    “Cruise Ship Virus Yafika Radar ya Kenya?” Serikali Yatoa Tahadhari ya Hantavirus Baada ya Vifo 3

    Wakenya wameombwa kuwa alert baada ya World Health Organization na Ministry of Health Kenya kutoa advisory kuhusu mlipuko wa Hantavirus ulioripotiwa kwenye cruise ship iliyokuwa na abiria kutoka mataifa 23 tofauti. Kwa mujibu wa taarifa ya serikali ya tarehe 8 May 2026, hadi sasa kuna cases 8 —...
  2. ndege JOHN

    Kisaikolojia, mtu anapaswa kufanya nini anapofikia hatua ya kuhisi anaichukia serikali ya nchi yake?

    Toka maza juzi atoe boko mbele ya jukwaa la biashara kwa kuwapiga mikwara vijana kwa atawatandika mikwaju basi ni kelele kote watu walidhani maza angekuwa kinyonge kumbe unyonge sio pigo zake sasa watu ndo wameshamwelewa... Me kila siku nawaambia unatakiwa kuishi kama vile serikali haipo yaani...
  3. O

    “Ukishinda Dunia, Serikali Inashinda Pesa Yako — Sawe Tax Saga Yaibua Hasira Kenya

    “Hata Mabingwa Hawaponi!” — Sawe Tax Saga Yafungua Macho ya Wakenya Kuhusu Mzigo wa Ushuru Unaowakandamiza Wananchi Mjadala mkali umeibuka nchini baada ya taarifa kuwa marathon star alikatwa karibu KSh 18 million kama tax kutoka kwa winnings zake za zaidi ya KSh 48 million baada ya mashindano...
  4. McLaren

    Abdul Nondo: Serikali ichangie Tsh 400 kwenye kila lita ya mafuta kama ruzuku. Tozo jumla zimefika 1,113

    Msemaji wa Ngome ya Vijana wa ACT-Wazalendo, Abdul Nondo, ametoa tamko kali akiibana serikali kuchukua hatua za haraka kudhibiti kupanda kwa bei ya mafuta ambayo sasa imefikia takriban shilingi 4,200 kwa lita ya petroli na dizeli. Katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Mei 8...
  5. E

    Kwanini Serikali ndio iwe mwamuzi wa nani awe mwandishi wa habari na nani asiwe?

    Wakati Serikali ikitangaza kuwepo kwa mpango wa kuwatambua waandishi wa habari wakongwe ambao hawakusomea uandishi wa habari kwa ngazi ya stashahada, swali linalogonga vichwa ni kwa nini Serikali ndiyo iwe mwamuzi wa nani awe mwandishi wa habari na nani asiwe? Hivi karibuni, Msemaji Mkuu wa...
  6. ngara23

    Nakataa kuihusisha serikali na mauaji ya Kijana James Temba

    Pamoja na uana Chadema wangu na kupenda haki kwangu ila haya mauaji ya Kijana mdogo mwanafunzi wa IFM Bado nagoma kwenye akili yangu kuyahusisha na serikali au Kisiasa Kijana James Temba hakuwa na threat yoyote Kwa watawala na inasemekana yeye na familia yake ni makada wa CCM Nadhani waharifu...
  7. Zack Abdul

    Serikali yatoa Ruzuku ya Dizeli kulinda Wananchi

    Serikali ya Tanzania imechukua hatua ya kulinda wananchi dhidi ya ongezeko la bei ya mafuta duniani kwa kutoa ruzuku ya takribani shilingi 259 kwa kila lita ya dizeli. Kwa mujibu wa taarifa ya EWURA, mabadiliko ya bei za mafuta kwa mwezi Mei 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na hali ya soko...
  8. Zack Abdul

    Ruzuku ya Dizeli: Serikali Yalinda Wananchi

    Serikali ya Tanzania imechukua hatua ya kulinda wananchi dhidi ya ongezeko la bei ya mafuta duniani kwa kutoa ruzuku ya takribani shilingi 259 kwa kila lita ya dizeli. Kwa mujibu wa taarifa ya EWURA, mabadiliko ya bei za mafuta kwa mwezi Mei 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na hali ya soko...
  9. O

    Finance Bill 2026: Serikali Yalenga Mitumba, Simu na Magari — Je, Mwananchi wa Kawaida Ataumia Zaidi?

    Finance Bill 2026 imeleta mjadala mkali sana miongoni mwa Wakenya, especially kwa sababu inagusa vitu za everyday life kama mitumba, simu na hata juice. Serikali inasema hii ni njia ya kuongeza revenue, lakini wananchi wengi wanaona mzigo unaongezeka. Kwa mfano, wafanyabiashara wa mitumba sasa...
  10. Tochuku

    Kinachowasaidia yanga ni UCHAWI na siasa za watu Fulani wa serikali, ila Hawana UWEZO WOWOTE KIMPIRA.

    Huo NDIO ukweli. Ukifanikiwa kujua mitego yao ya kichawi, kisiasa kimipango, basi umewashika makendeni. Kuna nguvu kubwa kichawi inafanyika Sasa mvua inyeshe sana na pia nguvu kubwa kisiasa na wanasiasa baadhi watumie ushawishi na nguvu zao kimaamuzi mechi iharishwe halafu mechi ijayo...
  11. Alloyce PR

    Wito kwa serikali kuhusu uzingatiaji wa sheria ya takwimu (sura ya 351

    Kwa kuzingatia masharti ya Kifungu cha 37 cha Sheria ya Takwimu, kinachokataza utoaji na upotoshaji wa takwimu rasmi kwa nia ya kuwahadaa wananchi, Serikali inapaswa kuimarisha usimamizi kwa wanasiasa na viongozi wa kijamii wanaotoa takwimu bila weledi. Nukuu ifuatayo inapaswa kuwa muongozo...
  12. B

    Nilichojifunza kwenye hii Dunia, unatakiwa kuheshimu Dola na serikali, uki Mess Up hata Mungu Hana cha kukusaidia

    Ukitafakali kwa undani Mwenyezi Mungu hana muda wa kuhangaika na mambo ya duniani, yeye ni Mtakatifu ktk Mambo ya Mbinguni tu. Hahangaiki na mambo ya ulimwengu huu, uki mess up imekula kwako Je wewe umejifunza nini kwenye dunia ya leo?
  13. Think2

    Serikali mmeweka WIFI masokoni na stendi ila mmezipiga pin( password)

    Serikali mmefanya jambo zuri kuweka kufunga public WIFI masoko makuu na stendi lakini cha ajabu mmeweka password , lengo lenu kuweka ilikuwa ni nini kufunga WIFI kwa matumizi yenu binafsi? Kama mmeamua kuweka free Internet basi tueni password ili abiria waweze kutumia huduma ya Internet na sio...
  14. Mkalukungone Mwamba

    Watumishi Geita waomba serikali kuwawezesha bando

    Wafanyakazi kutoka idara tofauti mkoani Geita, wameiomba Serikali kuangalia uwezekano wa kutenga fedha kwaajili ya vifurushi vya Intaneti, ili kuwawezeaha utumaji wa taarifa na madokezo kwa waajiri wao kwa wakati. Kutokana na kupanda kwa gharama za maisha nchini na baadhi ya watumishi kuishi...
  15. A

    KERO Wenye magari ya Serikali wanaowasha ving’ora wao ndio wanaharaka kuliko wengine kila siku?

    Naomba kuuliza swali, Hivi haya magari (basi) ya Taasisi na Serikali yanayowasha taa na ving'ora ili kufanya Wananchi na Watumiaji Barabara, kuwapisha nyakati zote tena hasa wakati wa foleni - je, ni sawa? Wao ndio wana haraka muda wote kuliko Wanachi wengine wa kawaida? Au mimi ndio sielewi...
  16. Roving Journalist

    Prof. Nagu: Serikali imewekeza zaidi ya Shilingi Trilioni 1.34 kuboresha Huduma za Afya Msingi

    Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia afya Prof. Tumaini Nagu amesema kuwa, Serikali imewekeza zaidi ya Shilingi Trilioni 1.34 kuleta mageuzi katika utoaji wa huduma za afya msingi ndani ya kipindi cha miaka minne iliyopita ya uongozi wa...
  17. Tlaatlaah

    Tetesi: AZAKI ndiye mpangaji na mfadhili mkuu wa matukio ya kigaidi na vurugu za Okt. 29.2025

    Asasi za Kiraia hususani zile zilizotajwa na tume ya jaji chande ndie mpangaji, mratibu na mfadhili mkuu wa magaidi na wa matukio yote ya vurugu za Okt 29.2030. Ndizo zilizotoa mafunzo ya nadharia na vitendo kwa magaidi waliosababisha uharibifu na maafa mabaya sana yaliyotokea nchini kuanzia...
  18. MakinikiA

    Mbona siku hizi serikali haipewi gawio kama kipindi cha JPM

    Crdb yapata faida ya bilion 206 robo ya mwaka huu. Nategemea serikali itakapo kuja na mambo ya kusema kwenye mei mosi waje na hili . Sio mnapokelea vichakani hizo gawio then mnagawana watu wachache....
  19. M

    Zitto Kabwe: Mkuu Usalama wa Taifa (DGIS), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Wakuu wa mikoa wapo ofisini hata baada ya mauaji ya Oktoba 29, 2025

    Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa. Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na Tume). Jumla watu 1,724 HAWAPO kama matokeo ya hicho kilichopngwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na...
  20. M

    Makonda: Kabla hujainyooshea kidole Serikali tafakari kwanza familia yako

    Itakua ni ngumu sana kupiga vita madawa kulevya kama familia haijakaa sehemu yake, itakuwa ngumu mno kuwapata viongozi bora kama familia haijakaa sehemu yake, kwa hiyo ni wito wetu kama Serikali ya kwamba jukumu walilonalo kila mwananchi ni kuitafakari kwanza familia yake kabla hajanyoosha...
Back
Top Bottom