serikali

  1. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Kubenea dhidi ya Makonda ni dhihaka, fedhea na 'kichekesho' kwa Ofisi ya DPP na Serikali kwa ujumla

    Si jambo la kulikalia kimya. Lazima niseme ukweli juu ya jambo hili. Ukweli wa heri na si wa shari. Ingawa ni jambo linaloruhusiwa kikatiba na kisheria kuwepo kwa uwezekano wa mtu binafsi kumshtaki mwingine kijinai, masuala yote ya kijinai yapo chini ya Ofisi ya Mashtaka ya Taifa iliyo chini ya...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mwajiri kutoa mkono wa pole(rambirambi) kwa mtumishi wa serikali baada ya kufiwa na mama au baba upoje?

    Viongozi naombeni kujua utaratibu wa kupatia pole(rambirambi) na mwajiri(serikali) baada ya kufiwa na mzazi. Na kama upo huwa ni shilingi ngapi? Documents zipi zinahitajika ili mtumishi aweze kulipwa? Naombeni msaada viongozi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imewezesha kushuka kwa bei ya mafuta

    Kupanda kwa bei ya mafuta kuna athiri kwa ujumla maisha ya wananchi, kwa sababu kunapelekea kupanda kwa gharama za vitu vingine. Lakini licha ya kuwa inaonekana bei ya amefuta imepanda, kwa namna nyingine unaweza kusema bei imeshuka. Imeshuka kwa sababu serikali imeondoa ada ya mafuta ya TZS...
  4. ommytk

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti serikali za mtaa mkoa dsm msaidie mkuu mkoa na serikali kwa jumla kwenye hili la wamachinga wamerudi upay

    tuwaombe wenyeviti serikali za mtaa mkoa dsm wamsaidie mkuu mkuu mkoa dsm pamoja na serikali kwa jumla kwenye hili la wamachinga ni ngumu mkuu mkoa kuzunguka kila mtaa kujua wamachinga ambao wamerudi upya katika maeneo ambayo waliondoka wenyewe kwa hiyari .maeneo ayo yote kuna viongozi wapo na...
  5. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Serikali kulazimisha Watumishi wa Umma kuchanja chanjo ya UVIKO-19

    Watumishi wa umma ndio wanaowahudumia wananchi,kasi ya ugonjwa wa uviko-19 inaweza kupungua kwa serikali kuwalazimisha watumishi wa umma kuchanja. Hii itasaidia 1. Watumishi kuto ambukizana 2. Watumishi kuto ambukiza wananchi 3. Wananchi kuto kuwaambukiza watumishi Nchini Kenya idadi ya...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali imesitisha uzalishaji wa pombe ya Banana kwa kutokidhi viwango vya ubora

    Siku chache zilizopita, mdau wa JF aligusia juu ya Pombe hii kuwa hatarishi kwa wananchi. Serikali imechukua hatua mapema ili kuwalinda wananchi. Hoja ya mdau inapatikana hapa Unywaji wa pombe aina ya Banana inaathiri nguvu kubwa sana ya vijana ========== Serikali imesitisha uzalishaji wa...
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, kesi ya Mbowe na wenzake - 30 Nov 2021

    Kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 inaendelea mahakamani leo Novemba 30, 2021 ======= Wakili wa Serikali: Mheshimiwa Jaji Shauri limekuja kwa ajili ya Kusikilizwa, Naomba tupatiwe Nyaraka ilikuweza Kuzikagua. Wamekabidhiwa Nyaraka na Kuanza Kukagua Moja baada ya Nyingine. Wakili wa...
  8. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Enzi zetu Serikali ilikuwa inawasisitiza wazazi wawaruhusu watoto kurudi Shule kwa masomo ya ziada, eti leo hii inapiga marufuku

    Tangu lini Serikali yetu ikaanza kujali Afya za Watoto kuliko viwango vizuri vya ufaulu? Hii haijawahi kutokea na haitakaa itokee, tuache siasa kwenye mambo ya msingi, tusiue sisimizi kwa rungu, tutafute solution ambazo hazitawaweka kwenye wakati mgumu walimu wetu (maana watoto wakifeli serikali...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuipongeze serikali ya CCM kusambaza umeme vijijini kwa kasi na mafanikio makubwa kwa muda wa miaka sita

    Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) imesema imeongeza huduma ya upatikanaji umeme kutoka asilimia 2 mwaka 2007 hadi kufikia 69.6 Juni mwaka huu. kurugenzi Mkuu wa Rea, Mhandisi Hassan Saidy amesema malengo yalikuwa kufikia asilimia 50 hivyo wameweza kuvuka lengo walilojiwekea.
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Viongozi wa Serikali wasiochanjwa waachie ngazi

    Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima karudi na rungu. Ametoa rai kuwa viongozi ambao mpaka sasa hawajachanjwa, watatakiwa waachie ngazi kwani hawawezi kusimamia kampeni ya kusimamia uchanjwaji dhidi ya corona. Waziri wa Afya amesema kama Rais kachanja ili iwe mfano, sasa hao viongozi hawatetei...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serikali itueleze ukweli inapata wapi pesa za kununua ndege

    Katika vitu ambavyo serikali yetu imeonyesha determination, ni suala la kununua ndege. Katika suala hili, serikali imeweka pamba masikioni na kuignore kila sauti inayohoji suala hili la kununua ndege. Mimi binafsi ninajiuliza na kujihoji maswali yafuatayo kuhusiana na suala la ndege. JE SERIKALI...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali ya kijeshi ya Chad imetoa msamaha kwa karibu waasi 300 pamoja na wapinzani

    Serikali ya kijeshi ya Chad imetoa msamaha kwa karibu waasi 300 pamoja na wapinzani, ikiwa hatua kubwa kuelekea shinikizo kutoka kwa makundi ya upinzani yaliyoalikwa kuhudhuria kikao cha pamoja cha kujadili hatima ya kisiasa ya taifa hilo lenye matatizo. Kwa mujibu wa shirika la habari la...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Serikali Yaipongeza TotalEnergies Marketing Tanzania Limited Kwa Uwekezaji Mkubwa, Kujenga Uwezo wa Technology Transfer, na Kutoa Ajira Kwa Watanzania

    Serikali imeipongeza Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies, kwa kuunga mkono juhudi za Tanzania kujenga Tanzania ya viwanda kwa kujenga viwanda, kutoa ajira, na kuleta teknolojia kwa Watanzania, ambapo kabla ya ujenzi wa kiwanda cha vilainishi, Tanzania ilikuwa ina aagiza lubricants kwasababu...
  14. one one chief

    JamiiForums Tanzania Serikali ipeleke madawati ya jinsia katika Vyuo Vikuu

    Ukatili dhidi ya Mtoto wa kike huwakatisha tamaa maelfu ya mabinti kuzifikia ndoto zao. Eneo la vyuo vikuu ni sehemu hatari zaidi ambako bado hakujatiliwa mkazo unaostahiri. Serikali ipeleke dawati la jinsia kwa vyuo vyote ili kumsaidia Mtoto wa kike, kwa hali ya sasa anayehusika na kesi zote...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Kuna uwezekano wa Serikali kupoteza Mapato ya TZS 265.85 Bilioni

    Kutokana na udhaifu katika mifumo ya ukusanyaji wa mapato, kuna uwezekano mkubwa wa Serikali kupoteza TZS 265.85 bilioni kutokana na vitendo vya rushwa, udanganyifu na ubadhirifu. Katika Serikali Kuu, kumekuwa na ongezeko la upotevu wa mapato kutoka TZS 7.70 bilioni kwa mwaka...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mkeka unakuja wa kuwaondoa Mawaziri nonsense kwenye Serikali ya Samia

    Salaam Wakuu, Tunashukuru rais Samia kwa kuanza kuwaona Mawaziri wanaotoa Matamko nonsense. Namuunga Mkono kwa kuliona hilo. Hii inamanisha kwamba, Mawaziri Nonsense Bye bye. Mkeka safari hii utakuwa wa moto. Mawaziri wameshindwa kumsaidia rais, wanatoa Matamko bila kumshirikisha rais. Mkeka...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mtaa wa Ufipa yalipo makao makuu ya CHADEMA wakumbwa na mafuriko, wakazi waililia Serikali

    Mtaa maarufu wa Ufipa uliopo wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam umekumbwa na mafuriko kufuatia mvua iliyonyesha leo. Wakazi wa mtaa huo wameiomba serikali kuwaondolea kero hiyo inayosababishwa na ujenzi wa barabara. Ufipa st ndipo yalipo makao makuu ya chama kikuu cha upinzani (Chadema)...
  18. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati Wizi unaofanyika kwenye Kumbi za Sherehe. Ni Wizi Mkubwa sana.....

    Hizi bei na kulazimisha ukichukua Ukumbi wao lazima utumie chakula,vinywaji na mapambo yao. Huu ni wizi. Bei wanazoweka kwa mambo hayo ni kubwa sana kwa makusudi kwa kujua huna namna isipokuwa kufuata wanachotaka. Wanatengeneza faida kubwa sana kiwizi. Huu ni Ukumbi mmoja upo Tabata nmekutana...
  19. Gamba la Nyoka

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali kwa kukubali kumtendea haki mtoto wa kike

    Hatimaye serikali imesikia kilio cha wadau wa elimu waliokuwa wakishauri kuitaka serikali iruhusu watoto wanaopata ujauzito wangali mashuleni waendelee na masomo, binafsi naipongeza serikali kwa kuona kuwa ni vyema na haki kuwaandalia utaratibu watoto hao kuendelea na masomo, Na sababu zangu ni...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ombi la kikao CHADEMA lakataliwa kutokana na tishio la Ugaidi

    Nani asiye na habari ya mizunguko ya akina Chongolo au Shaka nchi nzima, wakikusanyika na kufanya siasa bila kubughudhiwa? Vipi hii kuwahusu hawa wengine? Bado Rais Samia na serikali nzima wangependa kuaminika kuwa haki na usawa ni agenda zao pia?
Back
Top Bottom